D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Today Shoigu will make a very important report for Putin, Peskov.
Air defense clearly activeUkraine wamerusha tena drone kwenye base ya Russia,hivi hizi drone zinarukaje umbali mrefu hivyo bila kua tracked mpk kufikia kwenye hiyo base?!!!
In Engels, Russia, the sounds of explosions and the work of air defense were reported
Engels air base may be under attack again for the third time this morning.
Air defence clearly active.
Wacha urusi na yeye aonje joto ya jiwe kwenye mipaka yakeUkraine wamerusha tena drone kwenye base ya Russia,hivi hizi drone zinarukaje umbali mrefu hivyo bila kua tracked mpk kufikia kwenye hiyo base?!!!
In Engels, Russia, the sounds of explosions and the work of air defense were reported
Engels air base may be under attack again for the third time this morning.
Air defence clearly active.
Yaani cruise missile itunguliwe na manpad [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemjibu na kumuuliza maswali na hajajibu wala huwezi jibu. Kanitag na anajua kwanini kaamua anitag mimi, usinipangie cha kuandika kama vipi anzisha uzi wako. Usinikasirikie, sihusiki na poor performance ya superpower uchwaraAcha kuitaja taja Su 57 kufunika ubovu wa f 35.
Yaani unachotaka kusema ni kwamba F35 ni boflo ila angalia, su57 ndio boflo zaidi.
Huwezi kuzitetea f series bila kuzitaja su!? Huwezi kuitetea airforce ya marekani bila kuitaja airforce ya urusi!?
Haya Sasa...sababu imeshapatikanaBetween 10 and 11 a.m., a Ukrainian S-300 missile fell in Belarus .
Lukashenko was immediately informed, on his behalf, experts are establishing the reasons.
Zuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.F35 zipo nyingi sana nandio maana MKUU T14 Armata anajificha kwenye hicho kichaka kwamba zipo nyingi
Ila anasahau kua wingi ama laa hakuondoi ukweli kwamba madege yao yanaanguka hovyo hovyo
Hauwez kupita mwezi kama 35f hazijala mweleka mbili ama tatu
Na huko kuzuiwa kwa ndege kuruka nje ya halu ya hewa nidhahiri kwamba kuna tatizo kubwa mpaka ukiona ndege inazuiwa kuruka nje ya hali ya hewa jiulize maranne nne
Sent using Jamii Forums mobile app
Zuio kuisha mwezi January haiondoi uhalisia kwamba zina hitilafu ndiyo maana zimesimamishwa mpaka uchunguzi ufanyike.Zuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.
Jana nimeona zimepokelewa nne nyingine. Nijulishe hivi zimeshafika walau 20?
Nyinyi si ndege zenu mnadekeza mnazipaka rangi zinaruka kwa madoido kwenye parade za Victory Day na kuzionyesha Zhuai Airshow. Baada ya hapo ikitokea vita hazifanyi kazi zake ipasavyo. Si bora hata India walinunua ndege kwenu wanapiga mazoezi makali na wanapata ajari bahati mbaya wakati wa amani ila wakihitaji kufanya mission marubani wake wanatekeleza kwa ufasaha.
Jambo lingine, ni nadra kusikia ndege ya Marekani imeanguka na kuua watu. Nenda karudie kuona ile video ya F-35 pale airbase ambavyo rubani aliicontrol kisha akatumia ejection seat akiwa ground katoka na yuko salama (sijui kama Russia kuna zero gravity ejection seat). Nyinyi marubani wenu wakieject wanakufa zaidi ya Wamarekani, ndege wengine wanaangusha kwenye majumbaView attachment 2462376
Acha ushabiki.unaandika pumba sana.Zuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.
Jana nimeona zimepokelewa nne nyingine. Nijulishe hivi zimeshafika walau 20?
Nyinyi si ndege zenu mnadekeza mnazipaka rangi zinaruka kwa madoido kwenye parade za Victory Day na kuzionyesha Zhuai Airshow. Baada ya hapo ikitokea vita hazifanyi kazi zake ipasavyo. Si bora hata India walinunua ndege kwenu wanapiga mazoezi makali na wanapata ajari bahati mbaya wakati wa amani ila wakihitaji kufanya mission marubani wake wanatekeleza kwa ufasaha.
Jambo lingine, ni nadra kusikia ndege ya Marekani imeanguka na kuua watu. Nenda karudie kuona ile video ya F-35 pale airbase ambavyo rubani aliicontrol kisha akatumia ejection seat akiwa ground katoka na yuko salama (sijui kama Russia kuna zero gravity ejection seat). Nyinyi marubani wenu wakieject wanakufa zaidi ya Wamarekani, ndege wengine wanaangusha kwenye majumbaView attachment 2462376
Mwaka huu tu zaidi ya ndege 5 za F-35 zimeanguka.F-35 ni ndege mbovu kuliko ndege yoyote ile kuwahi kutokea hapa Duniani.Zuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.
Jana nimeona zimepokelewa nne nyingine. Nijulishe hivi zimeshafika walau 20?
Nyinyi si ndege zenu mnadekeza mnazipaka rangi zinaruka kwa madoido kwenye parade za Victory Day na kuzionyesha Zhuai Airshow. Baada ya hapo ikitokea vita hazifanyi kazi zake ipasavyo. Si bora hata India walinunua ndege kwenu wanapiga mazoezi makali na wanapata ajari bahati mbaya wakati wa amani ila wakihitaji kufanya mission marubani wake wanatekeleza kwa ufasaha.
Jambo lingine, ni nadra kusikia ndege ya Marekani imeanguka na kuua watu. Nenda karudie kuona ile video ya F-35 pale airbase ambavyo rubani aliicontrol kisha akatumia ejection seat akiwa ground katoka na yuko salama (sijui kama Russia kuna zero gravity ejection seat). Nyinyi marubani wenu wakieject wanakufa zaidi ya Wamarekani, ndege wengine wanaangusha kwenye majumbaView attachment 2462376
Usipanic sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Nimemjibu na kumuuliza maswali na hajajibu wala huwezi jibu. Kanitag na anajua kwanini kaamua anitag mimi, usinipangie cha kuandika kama vipi anzisha uzi wako. Usinikasirikie, sihusiki na poor performance ya superpower uchwara
Duh!....umezidisha chumvi.Mwaka huu tu zaidi ya ndege 5 za F-35 zimeanguka.F-35 ni ndege mbovu kuliko ndege yoyote ile kuwahi kutokea hapa Duniani.
Ya nini ?....Au Belarus kuisaidia Urusi.Haya Sasa...sababu imeshapatikana
Cruise missile ni cheap kivipi Mkuu?! Kalibr cruise missile moja inacost $6m wakati manpad Ile missile inacost $50k-$100ktatizo halipo kwenye manpad tatizo linakua ni cruise missle yenyewe. ipo so cheap.
Dollar million SITA, kombora 1!? ..,Cruise missile ni cheap kivipi Mkuu?! Kalibr cruise missile moja inacost $6m wakati manpad Ile missile inacost $50k-$100k
Unashangaa hilo, Hypersonic missile moja price yake inaenda mpk $50mDollar million SITA, kombora 1!? ..,
Kweli Vita ghalama [emoji134][emoji134]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app