Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zuio linaisha mwezi January, ni zuio la mwezi mmoja kufanya uchunguzi kwa ndege batch fulani tu. Su-57 haina hata injini yake, internal bay haijapewa missiles zote inabidi ndege ibebe missiles kwenye external hardpoints, kwa kufanya hivi unaua stealth capability yake.
Jana nimeona zimepokelewa nne nyingine. Nijulishe hivi zimeshafika walau 20?

Nyinyi si ndege zenu mnadekeza mnazipaka rangi zinaruka kwa madoido kwenye parade za Victory Day na kuzionyesha Zhuai Airshow. Baada ya hapo ikitokea vita hazifanyi kazi zake ipasavyo. Si bora hata India walinunua ndege kwenu wanapiga mazoezi makali na wanapata ajari bahati mbaya wakati wa amani ila wakihitaji kufanya mission marubani wake wanatekeleza kwa ufasaha.

Jambo lingine, ni nadra kusikia ndege ya Marekani imeanguka na kuua watu. Nenda karudie kuona ile video ya F-35 pale airbase ambavyo rubani aliicontrol kisha akatumia ejection seat akiwa ground katoka na yuko salama (sijui kama Russia kuna zero gravity ejection seat). Nyinyi marubani wenu wakieject wanakufa zaidi ya Wamarekani, ndege wengine wanaangusha kwenye majumbaView attachment 2462376
Kuna muda hua naona shida kukujibu MKUU sababu unabishana na ukweli

Zuio lanini liliekwa hii ndio hoja kabla ya hayo mengine

Kuanguka kwa ndege kawaida ila sio kwaspeed hii ya f35 nasio mpaka kueka zuio ujue kuna shida na hii ndio point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda hua naona shida kukujibu MKUU sababu unabishana na ukweli

Zuio lanini liliekwa hii ndio hoja kabla ya hayo mengine

Kuanguka kwa ndege kawaida ila sio kwaspeed hii ya f35 nasio mpaka kueka zuio ujue kuna shida na hii ndio point

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Marekani kuweka zuio kila ndege inapopata hitilafu ni kawaida,hua wanaziground wanafanya uchunguzi wakishakamilisha na kugundua tatizo ndege inarudi kazini

Mwezi huu pia waliziground B-2 bomber baada ya kupata ajali

The US Air Force has grounded all 20 B-2 Spirit bombers until further notice amid an ongoing search for potential safety defects following an accident, Air Force Times reported.

The decision to ground the entire fleet of nuclear bombers followed an emergency landing accident of a bomber on December 10 at Whiteman Air Force Base, Missouri, after an undisclosed in-flight malfunction, the report said on Monday.

The Air Force is currently investigating the accident, and the bombers will resume normal operations once the safety inspections are concluded, the report added.
US Air Force Grounds Entire B-2 Nuclear Bomber Fleet After December 10 Accident - Reports
 
Bei ya Gas Ulaya yashuka kama ilivyokua kabla ya Vita

European natural gas prices return to pre-Ukraine war levels.

Front-month natural gas futures on the Dutch Title Transfer Facility (TTF), the benchmark contract in Europe, plunged in recent weeks to bottom out below 77 euros ($81.91) per megawatt hour.
At their peak in August, European gas prices topped 345 euros/MWh as Russia's weaponization of its natural gas exports to the rest of the continent in response to punitive EU sanctions, and sky-high temperatures over the summer, drove up demand while constricting supply

LONDON — European natural gas prices fell this week to levels not seen since before Russia's invasion of Ukraine.

Front-month natural gas futures on the Dutch Title Transfer Facility, the benchmark contract in Europe, plunged in recent weeks to bottom out below 77 euros ($81.91) per megawatt hour, a level not seen since February — prior to the beginning of a full scale war in Ukraine.

As of Thursday morning, they were trading at around 81.5 euros.

At their peak in August, European gas prices topped 345 euros/MWh as Russia's weaponization of its natural gas exports to the rest of the continent in response to punitive EU sanctions, and sky-high temperatures over the summer, drove up demand while constricting supply.

The spiking prices sent household energy bills soaring and have fueled a cost-of-living crisis across much of the continent.

However, unseasonably warm weather through winter in much of northwest Europe has reduced demand for heating and allowed the continent to replenish its gas inventory following drawdowns during several cold snaps over the last few months.

Goldman Sachs in November predicted a sharp fall in European gas prices in the coming months as nations gained a temporary upper hand on supply issues.
European natural gas prices return to pre-Ukraine war levels
 
Acha ushabiki.unaandika pumba sana.
Uzuri uwezo wako ni kuandika hii sentensi siku zote wala huwezi changia lolote
20221229_192141.jpg
 
Si ni wao Wenyewe walikuwa wanasema Russia hana technology!!?? Humuhumu au walifungua Uzi mwingine ...wanapewa walichotaka hawataki tena ...Hawa jamaa wa HAKI SAWA chenga..sana
Ila mzee na wewe umewashushia mno pro nato nyundo za moto mpaka wanalalamika
Kweli russia sio zimbabwe
 
F 35 kwa sasa zipo store zinapigwa na vumbi tu na sizani kama zitakuja kutumika tena maana zishaonekana ni hatari, hazifai kutumika jeshini.ni project ya hasara


*F-35 A ishanguka

*F-35As ishanguka

*F-35B ishanguka

*F-35 C ishanguka


Sasa hapa hata kama ni wewe utaendelea na Ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Exxon Mobil Sues EU Over Fossil Fuel ‘Green Tax’

US corporation Exxon Mobil has filed a lawsuit against the European Union because of Brussels’ tax on excess profits of companies supplying fossil fuels in light of the energy crisis in the EU. (The Financial Times)

Exxon argues that the windfall profits tax - which the EU calls a “temporary solidarity contribution”, and estimates could generate around €25 billion - is “counter-productive”, given the company’s investment in refinery projects at a time when the continent is struggling to make energy affordable.

The West’s top 5 energy companies have raked in record profits of over $50 trillion combined in both of the last two quarters.

Subscribe to RT
 
F 35 kwa sasa zipo store zinapigwa na vumbi tu na sizani kama zitakuja kutumika tena maana zishaonekana ni hatari, hazifai kutumika jeshini.ni project ya hasara


*F-35 A ishanguka

*F-35As ishanguka

*F-35B ishanguka

*F-35 C ishanguka


Sasa hapa hata kama ni wewe utaendelea na Ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ya binadamu haikosi kasoro.....ila inaonyesha hizo ndege zinatumika mno ndio maana ajali zimekua nyingi.

Su-57 hatuzisikii zikianguka sababu hazitumiki Sana, zipo chache tena huko store.
 
Cruise missile ni cheap kivipi Mkuu?! Kalibr cruise missile moja inacost $6m wakati manpad Ile missile inacost $50k-$100k
Ndo shida yenu NYIE, mnafikilia urusi ataishiwa missile, nakumbuka mwezi wa 3 WALISEMA Russian run out of missile, vile vile WALISEMA mwezi wa 4, 5 na 6 , sasa hivi wamefunga midomo YAO. Kama juzi tuu wameangusha missile 120 , inamaanisha still wanazo za kutosha.
I tell you jamani.
Russia anahakiba kubwa sana ya siraha kuzidi hata USA. Na NATO wao.
 
Back
Top Bottom