Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
??&""&&&"?&"Ggg
Kula Sikh su 25 za urusi zinamwaga mabomu uwanja wa vita kumbuka su 25 hainaga air to ground misseli ambazo ni guided. Su 25 inauwezo mkubwa wa kuoambana na manpadSoma vizuri comment yangu niliyomjibu mwenzako.
Ndege za Urusi huko Ukraine zinaruka chinichini ili kukwepa zisionekane na hizi long-medium range air defenses kama S-300 na BUK. Sasa zikishuka chini ndio zinakutana na Manpads ndio maana imekua ngumu kwa Urusi kukamata anga la Ukraine kikamilifu.
Kuna Manpads kama Starstreak ya Muingereza hii inakimbia mara nne zaidi ya Kasi ya sauti (Mach 4) hakuna ndege inaweza kuiout run hyo missile maana inampa rubani muda mchache Sana kurespond.