Hahahaha haha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umerudi tena na picha zako za mchongo!!!!
Hiyo Bakhmut tangu wiki mbili zilizopita unatuambia warusi wanasonga mbele,ulisema wapo karibu kuingia mjini Bakhmut....Leo bado wanasonga mbele tu...hawafiki!!!![emoji23][emoji23]
Offensive ya Russia hapo Bakhmut ishapungua Kasi na sasa hawasongi mbele tena baada ya Ukraine kupeleka reinforcement hapo ikiwemo Azov battalion. Urusi kuikamata Bakhmut asahau.
Hapo Kreminna warusi wamehamisha HQ yao imepelekwa Rubizhne,ukihamisha military command maana yake inashambuliwa na huwezi ilinda tena....ipo kwenye range ya artillery za Ukraine.
Warusi wameanza kuretreat kwenda pembezoni ya mto Krasna.
Warusi walijaribu kufanya mashambulizi hapo Chervonopopivka Ukraine wakawabalasa.
Eti wanafanya mashambulizi ya ndege,ndege hizihizi ambazo kila siku zinashushwa na Stingers au!!!!!!!!? Halafu ndege inashambulia msitu Aiseeee [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2463244