LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tena hao wanajiita Waisrael matapeli wakajikusanya kutoka USA& UE wakaenda kuwavamia wapalestina katika Nchi yao,watu ambao walikuwa wanaishi bila buguza yoyote.
 
Hahahahaha ila nyie kwa propaganda mpo vizuri 18+ 11= 29 alafu wa Ukraine wamekufa 6 tu ila wameshinda Urusi kwenye mapigano.
 
Tena hao wanajiita Waisrael matapeli wakajikusanya kutoka USA& UE wakaenda kuwavamia wapalestina katika Nchi yao,watu ambao walikuwa wanaishi bila buguza yoyote.
Upumbavu kabsa kuskia eti wanalaani wkt waisraeli hawaja walaani wanawaita eti Ni taifa takatifu.

Upumbavu wa wapi ule
 
kwanza iran na venezuela hawataki marafiki wanafki wanaojali masilah tu,pili marekani hawezi kuruhusu kumtolea vikwazo iran ambaye ni adui mkubwa wa washirika wake israel na saudi arabia sababu kama wakilegeza mashariti kwenye mkataba wanaotarajia kwenda kuusaini unaohusiana na masuala ya nuklia ili tu wapate mafuta ya bei chee watakuwa wameisha... israel na saudi arabia itafikia mda nao watakuwa wanabweka kwa kulalama kila siku kama japan na south korea wanavyofanya kwa north korea....yeye marekani wakati anakurupuka kushinikiza kuweka vikwazo alikuwa anaona hapa tu sasa maji yamemfika shingoni anatapatapa kurudi kwa maadui zake kuomba msaada...anajidhalilisha
 
Hiyo haikuwa tarifa, It was fun, People wanaigiza that's all. Nothing personal, Nothing serious, mfano tu mdogo, Binadamu tuna matamanio na vitu vizuri, Unaweza kutamani kuwa na maisha kama flani au kuishi mahali flani. But huna choice sasa ndio upo hapo.

Vita ni Uzalendo na ndio mana watu bado wapo nchini kwao regardless hakueleweki au kumepigwa mabom. Desire zipo na nyingine utakufa na hutokuwa umezifikia au kuzifanya.

Amini Nyumbani ni nyumbani no matter what, Tunasikia na nyingine kuona watu wanabaguliwa nchi za watu, lakini ukiwa nchini kwako una amani.
 
Kwanini Iran akatae wakati kipindi kile amebanwa na vikwazo Urusi iliendelea kufanya biashara kama kawaida. Na Mrusi hakuonekana msaliti?
Hata mimi naona hivyo. Pia kumbuka kuwa Iran hajasahau usaliti unaofanywa na Russia kwa kutoa COORDINATE ya kambi zake Syria kwa Israel na kisha Israel kutumia COORDINATES hizo kulipua Kambi za Iran kule Syria. Kwahiyo Russia ajue kwa hili Iran hayuko naye kabisa.
 

Putin hakutegemea resistance
Yeye alijua watawapokea wanajeshi wake kwa shangwe na nderemo
Bahati mbaya haikuwa hivyo kwa hiyo akaenda na plan B
Ndio hii ya kuvamia na kuwa vita kamili

Tunajua kuwa Ukraine ni Warusi pia na wameishi pamoja na ni ndugu mpaka kuna mawaziri Kremlin ambao ni Ukrainian
 
RUSSIA AKI SURVIVE HAYA MAPITO YEYE MWANAUME.

The main thing from Biden's statements about the new anti-Russian sanctions:

- The United States prohibits the import of energy products from Russia;

- Biden understands that allies in Europe will not be able to join this ban;

- The states should become an energy independent country. Now they are discussing with the EU the prospects for their withdrawal from Russian oil and gas;

- gasoline prices in the United States, according to Biden, will continue to grow due to anti-Russian sanctions;

- US authorities urge the private sector not to inflate prices because of this. They intend to fight speculators;

- The United States will fulfill its collective defense obligations in NATO;

“Russia seeks to keep Ukraine under control, but will never be able to achieve this.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…