Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hizo si sheria za umoja wa mataifa. Umoja wa mataifa umetumika.kama.kivuli tu. Ni sheria za wababe wa dunia ili visitokee vitaifa vingine kuwaUrusi anaweza kukubali Ukraine,au Finland au Belarus amiliki nyukria?? Ukipata jibu Hilo rejea Tena kujiuliza kama hizo nilizosema ni Sheria za kimataifa au za collective west
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umejibu vyema..,nilitofautiana na huyo aliyesema kwamba Sheria za kuzuia umiliki wa silaha za nyuklia ni za mataifa ya magharibi..,Hizo si sheria za umoja wa mataifa. Umoja wa mataifa umetumika.kama.kivuli tu. Ni sheria za wababe wa dunia ili visitokee vitaifa vingine kuwa
Ebu rudia tena ?Ni 500,000 kijana,kwa sasa wapo mpakani mwa Belarus na Ukraine.Wanasubiri Jeshi la Anga liharibu miundo mbinu yote inayoweza kuiwezesha Ukraine kupigana Vita waingie kufagia.Believe me by Christmas Kyiv itakuwa imesha anguka.
It was an estimate,na hata hivyo I meant Orthodox X-mas ambayo ni January 6th.Ebu rudia tena ?
It was an estimate,na hata hivyo I meant Orthodox X-mas ambayo ni January 6th.
Estimate imekuumizae,pole.Estimates are usual,hata nyumbani kwako you make estimates.Do you ever loose credibility because your estimate did not makeup,never.Mkuu utajiondolea credibility bure acha kutabiri kitu usichojua.😂
Tofauti ni wewe umeanza kujitetea naada ya chrismass kupita na hakuna kilichotokea ndio ukaja na neno estimates unabisha tulete comment yako kama kulikuwa na estimates?Estimate imekuumizae,pole.Estimates are usual,hata nyumbani kwako you make estimates.Do you ever loose credibility because your estimate did not makeup,never.
Si mbali, ni kesho kutwa tu tutajua utabiri wako kama ni kweli au la.It was an estimate,na hata hivyo I meant Orthodox X-mas ambayo ni January 6th.