Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine anashambulia Russia muda huu

Happy new year Russia

BREAKING:
Explosions reported in Kursk, Belgorod, Voronezh and Rostov moments ago.

The picture is from Rostov.

Happy New Year’s Eve to Russia from Ukraine.View attachment 2464984
MKUU NAOMBA SOURCE YA HII HABARI , CHOMBO GANI CHA HABARI KIMETANGAZA MAANA NIMEANGALIA VYOMBA VYA HABARI VIKUBWA SIJAONA.
Inawezekana ikawa propaganda
 
sasa kama kwao WAMESHIDWA ndo wataweza kweli ,
Matumaini mengine hayo , ni vitisho tuu.
 
MKUU NAOMBA SOURCE YA HII HABARI , CHOMBO GANI CHA HABARI KIMETANGAZA MAANA NIMEANGALIA VYOMBA VYA HABARI VIKUBWA SIJAONA.
Inawezekana ikawa propaganda
[emoji23][emoji23][emoji23] achana na huyo jamaa uwa anatafuta views,video zake uwa ni zakuokota okota tu.kuna uyo bwan, pia yupo na pacha wake anaitwa Vunjo.akipata support kutoka kwa shoga yao Kipanya44[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zimebaki story tu siku izi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635].
Hii ni makao makuu ya police ya mkoa wa liman.R.I.PView attachment 2465371
Niltegemea kuona ammunition depot,au vifaru,au magari ya kivita yaliyoharibika,, badala yake unaonesha picha za magari ya kiraia tu yaliyoharibika.., urusi hajawahi kulenga valuable target,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aisee ni rahisi kumtoa mtu kwenye mazingira ya upumbavu ila sio rahisi kutoa upumbavu kwenye kichwa cha mtu...achana na huyo jamaa anayejiita kp kipanya44 huyu yupo inbed na west na hata aone madudu yao vipi bado atajaribu kuyatakasa
Kama wewe unavyoonekana kuwa mgumu kuacha upumbavu sio?
Ata kichaa huwaona wale wenye akili timamu kwamba wao ndio vichaa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Niltegemea kuona ammunition depot,au vifaru,au magari ya kivita yaliyoharibika,, badala yake unaonesha picha za magari ya kiraia tu yaliyoharibika.., urusi hajawahi kulenga valuable target,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ulitegemea media za west zitoe taarifa ya targets zilizopigwa za kijeshi za Ukraine?Huwa wanakimbilia kuonesha tu makazi yaliyoharibika!
Lakini kwenye updates za Russia,Huwa tunaoana wamepiga Amo depots!
Sasa ni wewe kuchuja na kuona ukweli ni upi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…