Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ulienda kuwahesabu hao 600?
 
Tuendelee kugonga mtori.nyama tutazikuta chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]










 
MIMI kipindi naanza kuchangia nilisema ni ngumu KUJUA kinachoendele Ukraine.
Kipindi vita vinaanza EU WALISEMA URUSI wamepeleka wanajeshi 150,000 Ukraine,
Na USHAHIDI urionyesha Ukraine walikuwa na zaidi ya wanajeshi 150,000.
Vita kipindi nimefika mwezi wa 8 VYOMBO vya habari wakasema URUSI imepoteza wanajeshi 80,000.
Na kipindi hicho ndicho majeshi ya Ukraine wamepoteza nguvu kwenye maeneo ya severodonetsk na mengine. Sasa unajiuliza wamepoteza askari 80,000 lakini ANANGUVU sasa hii vipi?
Baadae mwezi wa 9 bwana Zeke akasema anapoteza wanajeshi 200 kwa siku.
Zele akadai kapoteza wanjeshi 13000.
Tena mpaka sasa anacheza humohumo.
Ila taharifa za EU na USA WANASEMA Ukraine wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100,000.
Na URUSI wamepoteza zaidi ya 100,000.
Its means that VIKOSI vyote viwili vipi dhaifu.
Ikiwemo vya URUSI kama walikuwa na wanajeshi zaidi 150000 na 100000 wamekufa nawale wakuumia je watakuwa wangapi? Hii inamaanisha kuwa KIKOSI cha URUSI kilichoenda kule kimekwisha tangu last year mwezi wa 10.
mwezi wa 7 Kuna shirika moja la EU lilitangaza kuwa wanavyofanya uchunguzi wakagundua kuwa URUSI wamepoteza wanajeshi zaidi ya 3000.
Hio kulingana na makaburi ya wanajeshi waliozikwa tangu vita vilipoanza mapak mwezi wa 7,
Kule ni ngumu KUJUA taharifa.
 
Ila WARUSI wamepoteza wanajeshi wengi walikuwa kwenye vifaru, magari,
Ndiko wanajeshi wengine wa URUSI walikufa kwa mwaka jana. Mpaka mwezi wa 10.
 
WARUSI wadai kuwa maofisa wao walikuwa wazembe eneo lile.
Walikuwa wanajua kuwa eneo lile ni rahisi kushambuliwa na rocket za Ukraine, na wanajeshi wakakusanyika sehemu siraha zilipo.
Maana WANASEMA pale KULIKUWA na siraha nyingi na baada ya kugongana na himars siraha zililipuka na kusababisha hayo yote.
Ulikuwa ni uzembe wa maofisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…