Labda atumie nyukliaSitaki kuamini Russia anashindwa kufanya jambo pale Ukraine kwa muda mfupi litakalofanya Ukraine wakubali kukaa kwenye meza ya majadiliano
Urusi kashikwa pabaya.... sidhani kama alijiandaa vyema kupokea haya.Recently ni kama Russia anataka wakae mezani lakini Ukraine kwa sasa sababu anaona ameshamuweza Mrusi hataki majadiliano ila anadai atairudisha ardhi yake kwa mtutu wa bunduki.
hivi jamani visms vya telegram vimepinda hivi kweli viangalieni vizuri.Kawaulize ProRussia wenzako kwenye Telegram maana wao ndio waliotoa hizo takwimu View attachment 2468206
Ingia telegram kasearch jina la channels zao ziko nyingi,Mimi sipo huko hiyo ni screenshot toka Twitter.Tunaomba link ya telegram tujiunge mkuu.
Maana hata visms vinyewe tunaona vimepinda pinda.
Mkuu tunaomba link , yani utafikiri kama vikaratasi vimekatwa na kubandikwa.Kawaulize ProRussia wenzako kwenye Telegram maana wao ndio waliotoa hizo takwimu View attachment 2468206
Kumbe screenshotIngia telegram kasearch jina la channels zao ziko nyingi,Mimi sipo huko hiyo ni screenshot toka Twitter.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli unachekesha sana.shida mnakurupuka mnajua wote humu ni mazuzu kama mlivyo nyie.Sion ukweli wowote kwa hichouli hoandika , isipokuwa ushabiki tu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo katumia Google translate,lugha ilikua ni kirusi so kuileta kiingereza Google translate ndio inakuaga hvyo...hata wewe unaweza jaribuhivi jamani visms vya telegram vimepinda hivi kweli viangalieni vizuri.
Mkuu HIZO sms zimepinda we unaona za KAWAIDA hizo sms?Hapo katumia Google translate,lugha ilikua ni kirusi so kuileta kiingereza Google translate ndio inakuaga hvyo...hata wewe unaweza jaribu
Hii hapa Mimi nimeirudisha kirusi [emoji116]View attachment 2468214
Nenda hapo Twitter ukaombe linkKumbe screenshot
Screenshot eeee
Ushawahi kutumia Google translate kutafsiri lugha flani kwenda nyingine kupitia picha?! Kama umewahi bhas utaelewa nazungumza NN?!Mkuu HIZO sms zimepinda we unaona za KAWAIDA hizo sms?
Kila siku kuongeza masifuri tu ila mkiambiwa mlete ushahidi mnaishia kusema flani yupo twitter, kaongea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kawaulize ProRussia wenzako kwenye Telegram maana wao ndio waliotoa hizo takwimu View attachment 2468206
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona makasiriko,kasaidie kutoa miili ya vibaka wenu toka kwenye vifusi maana naona mpk Leo bado mnachomoa marehemu toka kwa kifusi[emoji16]Kila siku kuongeza masifuri tu ila mkiambiwa mlete ushahidi mnaishia kusema flani yupo twitter, kaongea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba link ya telegram channel mkuuUshawahi kutumia Google translate kutafsiri lugha flani kwenda nyingine kupitia picha?! Kama umewahi bhas utaelewa nazungumza NN?!
Halafu kama SMS zimepinda ndio za Uongo?! Kumbuka hizo SMS ni za tangu juzi kabla hata ya Urusi hawajathibitisha kutokea kwa tukio
Nyingine zilizopinda hizi hapa
View attachment 2468217
Kama nilivyokwambia awali,hizo figures walianza kutoa ProRussiaKila siku kuongeza masifuri tu ila mkiambiwa mlete ushahidi mnaishia kusema flani yupo twitter, kaongea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vinabaki huko kwa lengo gani wanalohitaji kulifikia?Kuondoa VIKOSI kutoka Ukraine hilo sahau mkuu
Shekhe huelewi Kiswahili?! Nimekwambia sipo kwenye Telegram channel yoyote ya Russia. Nina channel moja tu ambayo ni ya Ukraine inaitwa 'Horrors of war' unaweza kuisearch TelegramNaomba link ya telegram channel mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani ndugu yako Vunjo umempeleka wapiKama nilivyokwambia awali,hizo figures walianza kutoa ProRussia
Igor Girkin, a former Federal Security Service officer who helped Russia annex the Black Sea peninsula of Crimea in 2014 and then organise pro-Russian separatist forces in eastern Ukraine, said on Monday that “the number of dead and wounded runs into many hundreds.”
Girkin, who has bitterly criticised Russia’s military failures in Ukraine, said ammunition had been stored in the same building where the recruits had been accommodated.
Russia says 63 troops killed in attack on Donetsk barracks
nimesearch sijaonaShekhe huelewi Kiswahili?! Nimekwambia sipo kwenye Telegram channel yoyote ya Russia. Nina channel moja tu ambayo ni ya Ukraine inaitwa 'Horrors of war' unaweza kuisearch Telegram
Hiyo imetafsiriwa kiingereza,chukua Ile image ingiza kwa Google translator,then utapata jina sahihi la kirusi.nimesearch sijaona
Nimeandika
Turned on the Z war sijaona
Turned on Z war sijaona.
Maana picha zinaonekana majina yanatofautiana.