Kama hivi [emoji116] jaribu kusearch hizi [emoji116]Nilikuwa nataka kusearch ili nione
Sawa channel sijapa na ninashangaa sms zimepinda daaa.Hiyo imetafsiriwa kiingereza,chukua Ile image ingiza kwa Google translator,then utapata jina sahihi la kirusi.
AAA okay kumbe umeona sms za telegram zilivyo , naamini sasa umeona TOFAUTI kati ya hio ya juu na chini mkuu , thanksKama hivi [emoji116] jaribu kusearch hizi [emoji116]View attachment 2468247View attachment 2468248
Mkuu ni KAWAIDA ya vita propaganda zipo nyingi tuu sana.Mi sifatilii tena haya mapigano naona kuna uwongo mwingi mtakuja kuniambia mshindi baada ya kumaliza kupasuana
Source chombo gani cha habari[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779]Putin signed a decree on additional social guarantees for military personnel.
In the event of their death, the families will be paid 5 million rubles ($68K) and the wounded 3 million rubles ($41K).
View attachment 2468253
Naona sasa hivi kila tukileta habari mnadai source Ila upande wenu mkileta habari hamtoi sourceSource chombo gani cha habari
Hayo Ni maeneo tofauti mbon mkuuKwa akili yako unadhani wote Ukraine na Urusi wanatoa data za kweli?! Wote wanatia na kupunza chumvi.
Urusi anakwambia kapoteza wanajeshi 63 kwenye jengo lililokua na wanajeshi 600 bila kusahau kwenye basement kulikua na ammunitions kibao.
Ila ukiangalia jinsi lile jengo lilovyokua awali na baada ya kushambuliwa hizo data haziingii akilini maana limegeuka kifusii kabisa na mpaka Leo bado wanatoa watu kwenye vifusi.
Akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe View attachment 2468118
OkNaona sasa hivi kila tukileta habari mnadai source Ila upande wenu mkileta habari hamtoi sourceView attachment 2468264
Hiyo picha ya kwanza ni kablaa hata ya invasion,hilo jengo lilikua ni vocational school.Hayo Ni maeneo tofauti mbon mkuu
Ya pili si ndo baada ya jengo kulipuliwa?Hiyo picha ya kwanza ni kablaa hata ya invasion,hilo jengo lilikua ni vocational school.
Kama Una doubts ingiza hizi coordinates kwa Geo lacatorYa pili si ndo baada ya jengo kulipuliwa?
Haha mkuu kuna mwingine alisema hapa kwamba mpaka kufika tarehe 28 december kuna jambo kubwa litatokea na litalomaliza vita kabisa. Ila mpaka sasa sijui ni tarehe 28 ya mwaka gani?😂 1954Kuna jamaa fulani' alikuwa analeta update anaitwa Jesus Mlokozi sahizi kajikatia tamaa alikuwa pro Russia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hizi simuoni alikuwa anajaza page humu.
Nilimwambia muda ni daktari mzuri hebu tungoje tuone.