Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ijapokuwa Russia inaelewa nothing is certain and no law is fixed: Kwa sababu huwezi kujiamini kwa ubora wa mafunzo wa jeshi lako tu na ubora wa zana za kivita kwa teknolojia ya kivita uliyonayo!

Adaptable yake itamgharimu sana! Sjui anataka aonekane bingwa wa mbinu sijui nini itamgharimu sana! Ijapokuwa kuna propaganda nyingi kwa kinachoendelea lakini hii itamgharimu sana. Atapoteza wanajeshi wengi hali ya kuwa anao uwezo wa kuzuia hili. Hata kama akipoteza 20,000 na Ukraine 300,000 lakini bado ni ujinga kwa sababu wanaokufa ni watu hao si karatasi.

Ijapokuwa tuna tofauti ya kimtazamo zile fununu zilizokuwa zinasikika kwa baadhi ya majenerali kumwambia Putin hii OP tuimalize mapema na Putin kujiona ni bingwa wa mbinu nyingi na wengine kutofautiana naye kimtazamo naiona ni ya kweli hii taarifa.

Walimshauri tangu mwezi wa February au March, Putin akakataa. Haya maafa yote yanayotokea chanzo kikuu ni Putin mwenyewe. Huwezi ukadili na unyama waliyoufikia Ukraine na bado ukawa na mtazamo wa ndugu zako! Na siku Ukraine wakipata kombora la moja kwa moja la kufika Moscow watalituma tu. Kipindi cha nyuma walifikia hatua ya kuandaa bomu la nyuklia nchini mwake na makachero wa UK ili asingiziwe Urusi. Unafikiri wakipata zana za kufikisha ujumbe Moscow watashindwa kulituma? Watalituma tu.
 
The [emoji635] Defence Ministry has blamed the mobilised men in Makiivka for their own deaths

It says their use of mobile phones allowed [emoji1255] to determine their location

It's also revised its death toll from 63 to 89 (still many times lower than what [emoji1255] claims)
 
Moldova’s president Maia Sandu @sandumaiamd asked about negotiations with Russia.

"A state that kills its neighbors?

There is nothing to discuss with the aggressor state”

[emoji1168]
 
ProPutin akili zimeanza kuwakaa Sawa,Boss wa Wagner analialia huko baada ya kushindwa kuikamata Bakhmut miezi na miezi sasa

[emoji837]Russian forces are having to fight for weeks to capture β€œa single home” in Bakhmut, the head of the mercenary Wagner Group has said, as he appeared to cast the blame for slow progress on a lack of supplies from the Kremlin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…