Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kila kitu kipo wazi na hila za west azijaanza leo ..lakin watu wanajidai hamnazo...Kama huyo kipanya hata umpe fact vip atakupa jibu la kitoto yaan cjui waafrica tuna matatizo gan
 
Urusi katepeta
 
Hiyo pekee haitoshi kuwapa Ukraine green light.
 
Wanajeshi 700 kwa wakati mmoja?? Impossible wanajeshi 700 kwa mkupuo haimake sense kabisa.
Hapo kweli waliotoa namba wamedanganya, ndo maana mi nakataa hata shambulio la juzi kuua watu 600
 
Bei ya Gas Ulaya inaendelea kushuka

[emoji298]️ The price of gas in Europe fell below 750 dollars per thousand cubic meters, reports ICE.

The price reached this level for the first time since 18 February 2022.
Mabepari yakiwa na jambo lao hayashindwi, bahati mbaya sana pepari mkuu yuko upande wao hakuna watakaloshindwa. Juzi nimeshangaa kuona na Maduro kanyoosha maelezo kwenye wese nikasema masikini Puttin na wese/gesi yake


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimewaambia HAO URUSI wanajirinda, UKo Ukraine, na watafanya hivyo kwa gharama yoyote.
 
Hakuna jeshi duniani linaruhusu simu. Simu Ni njia rahisi ya mtumiaji kujulikana Geo -location yake. Mara kadhaa Askari wa ki syria hasa wa air defences systems wamekuwa wakishambuliwa kisa TU wanaji expose katika ishu ya Geo location
Sasa ilikuwaje hawa walio shambuliwa wakawa nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…