Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
We sijui TAARIFA zako unazipata wapiHuko bakhumut super pawer anazidi kusukumwa nyuma[emoji1255][emoji123]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Warusi ni waoga kama ni superpower anamchaguliaje marafiki jirani yake,chunguza majirani wake wote ashapigana nao mpk huyo chawa wake chechnya.Ulaya kazeni uzi mpaka ajute askari wake wafike 400k kutoka 100k ilivyo sasa.Eti Ukraine alikuwa anajiandaa kuivamia urusi..,hii inaingia akilini kweli? Ata darasa la Saba hawezi kuafiki hili
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uongo.Warusi ni waoga kama ni superpower anamchaguliaje marafiki jirani yake,chunguza majirani wake wote ashapigana nao mpk huyo chawa wake chechnya.Ulaya kazeni uzi mpaka ajute askari wake wafike 400k kutoka 100k ilivyo sasa.
Wanasema ukishakula nyama ya mtu ni vigumu kuacha,Sasa urusi aliivamia Finland akainyakua kimabavu ardhi ya Finland, hakuridhika,akaivamia Georgia na kunyakua ardhi Yao,,hata hapo hakuridhika, akaivamia Ukraine na kuinyakua Crimea,bado akaona Crimea haitoshi..,akaitaka Ukraine nzima..,huyu inabidi afunzwe adabu kwa kupewa kilema Cha maisha Ili asiwe Tena na nguvu ya kufanya huu upuuzi..,na bahati nzuri kazi ya kumfunga sipid governor Inakwenda sawa sawa kabisa ,Warusi ni waoga kama ni superpower anamchaguliaje marafiki jirani yake,chunguza majirani wake wote ashapigana nao mpk huyo chawa wake chechnya.Ulaya kazeni uzi mpaka ajute askari wake wafike 400k kutoka 100k ilivyo sasa.