Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Supa-pawa wa mchongo anafanya SMO kwa miezi 10 huku ameshindwa kuiteka nchi ndogo jirani yake.

Angeiweza NATO kweli huyu..
 
Kaka hii habari ni 3 weeks ago,
Jaribu kuwa update kidogo
 
Russia has been using its newest Sukhoi Su-57 combat jets, also known as Felon, to attack Ukraine since at least June, but only from its own territory, the UK Defense Ministry said.
Aisee kumbe UK wamepaniki. Russia iliposema haya hapa chini walielewaje?
  • Vladimir Putin revealed a slew of new defense systems Thursday, including a new prototype missile that "can reach any point in the world" and a supersonic weapon that cannot be tracked by anti-missile systems.
 
Program kubwa za silaha za gharama kubwa kama hizi zilichochea anguko la Ussr ya kale....

Huyu Mzee anaipeleka Urusi kwenye anguko.
 
Supa-pawa wa mchongo anafanya SMO kwa miezi 10 huku ameshindwa kuiteka nchi ndogo jirani yake.

Angeiweza NATO kweli huyu..
Nani alikudanganya Ukraine ni nchi ndogo....
Ulaya nzima kuna nchi chache sana zingeweza kwenda vitani na Ukraine na kutoka salama...labda France, UK,Germany..hizi nyingine haziwezi...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli upo interested na hii vita na unataka kujua zaidi juu ya chanzo chake, angalia hizi documentary mbili kabla ya kuchagua upande wa kuutetea.
1. IMDb: : Ukraine on Fire
Ukraine on Fire (2016) - IMDb
2. IMDb: : The Putin Interviews
The Putin Interviews (TV Series 2017) - IMDb
Zote zipo torrents.
Zimeandaliwa na director mmoja maarufu Mmarekani anaitwa Oliver Stone
 
I agree with him

Yani Kama kuna mtu anasubiria Russia aishiwe siraha basi hana tofauti na wale watu wanaosubiri Yesu/Issa arudi, ndio inaweza kutokea lakini itachukua muda mrefu sana na pengine hata isitokee kabisa.

Nadhani watu wengi wenye mawazo hayo wanaichukulia akiba ya silaha ya Urus nisawa na akiba ya silaha ya "Vatican city" ambao adui yao ni shetani na majeshi yake kama wachawi, majini na n.k pasipo kujua Urus ni taifa kubwa na lenye maadui dhidi ya mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi duniani hivo basi hata namna yake ya kujilinda ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria.

Huwezi kuwa hasimu wa USA, EU na NATO halafu ukawa na silaha za kumalizwa na vita moja tu ambayo haijamaliza hata miaka 5. Utafyekelewa mbali asubuhi na kupotezwa kwenye uso wa dunia.

Kitu kingine nikuwa wengi tunajizima data kwa kufikiri Russia imeanza kupigana vita mwaka jana pale Ukraine na kupuuza makumi ya vita iliyopigana kwa asilimia kubwa ya ushindi toka enzi ikiwa ndani ya Soviet union mpaka leo tena hadi vita za dunia imepigana halafu leo mtu kashiba viazi vyake huko Kakunyu ndani ndani anakuja hapa kubwabwaja "Urusi hawezi kuhimili hii operation silaha zitamuishia" daah! Wabongo bhana yani wanaamini nchi yao inasilaha za kutosha kupigana vita na kushinda dhidi ya nchi yeyote ya EA kwa zaidi ya mwaka mmoja ila Urusi haina silaha ya kutosha kuendeshea operation ya kijeshi pale Ukraine[emoji23][emoji23]

Nyie watu hivi hata huwa hamujiulizi yakuwa kama silaha zilishindwa kumuishia kwenye vita vya dunia, afighansitan, Vietnam, Korean, Syria, Venezuela, winter war na nk zije zimuishie kwenye operation ya kijeshi pale Ukraine kweli?

Hebu ndugu zangu tuacheni kujitoa ufahamu kwa mambo sensitive kama haya, mnadhani kama Urusi ingekuwa laini kama mnavyo lazimisha kuochukulia, USA na washirika wake (NATO) mpaka sasa wangekuwa wanabweka hovyo namna hii kama mbwa koko bila kuingia mzigoni kuichakaza Urusi kweli?

Ukiona wanabweka hivo bila kumsogolea basi jua hata wao wanajua Urusi ni kina kirefu wakiingia kichwa kichwa wanazama na ndo maana wahenga wa hapa jamvini wanasema;

"URUSI SIYO IRAQ, YUGOSLAVIA, ZIMBABWE WALA LIBYA" ambazo the so called international peace makers (USA&NATO) waliingia mzigoni kukichafua bila kupoteza muda.

Ndugu zangu, BILA URUSI [emoji635] HII DUNIA USA ANGEIFANYA KAMA JIMBO LAKE NAKUFANYA CHOCHOTE ANACHOJISIKIA BILA KUINGILIWA WALA KUPINGWA NA KIUMBE CHOCHOTE.

MUNGU WETU IBARIKI URUSI KWA USALAMA WA VIUMBE WAKO WAISHIO KWENYE DUNIA YAKO

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]URAAAAAA[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Vifaru vya msaada Toka Marekani vinazima kama bajaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukrainian Forces Complain US-Donated Military Vehicles Can’t Hack The Cold

Kiev’s forces have taken to social media to complain that Western-supplied vehicles don’t work in the cold: the tracks freeze.

"The American vehicle is absolutely not adapted for Ukrainian frost,” a soldier can be heard saying in the video.

The footage, shot by Ukrainian militants, was published by a LPR official.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

West’s Military Aid To Ukraine Almost Equals Russia’s Defense Budget

The estimated total of military aid sent to Ukraine from Western nations last year came to around $48.5 billion, just short of Russia’s $51.1 billion defense budget, according to TASS calculations.

Overall aid in all forms to Kiev amounts to over $150 billion according to official data, equal to almost three times Ukraine’s entire annual budget.

Russian Defense Minister Sergey Shoigu said Russia was fighting in Ukraine not against Kiev forces, but rather against the entire "collective West."

Subscribe to RT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…