kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Poland Hana huruma na jiraniye.Ukraine isha anza kupokea vifaru View attachment 2477628
CNN, BBC, FP, Afp nk ndo kazi yao kudunisha kila Jambo lifanywalo na Mother Russia. Ila yashawashinda Russia Ni ileile, acha waisome nambaa ehhhJamani hawa bado wanadanganyana kuwa URUSI anatumia siraha za zamani daaa
Hizo hizo br na sahizi wao wapo leopard 4 bila shaka but leopard si chochote kwa Aina ya viita ya kuleNaona wanaendelea kukopeswa ,
Hivi leopard tanks 2 za series gani au aina gani , maana kuna leopard tanks 2 za uturuki ziliendaga syria zimepigwa na IS mpaka uruma.
Sherehe ya nini kaka.kwani kuna nini ebu nipe na mimi taarifa maana nina wiki ya 2 sijui nini kinaendelea humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Naona warusi wa buza waliokuwa wamejificha mashimoni kama panya buku wamejitokeza Leo[emoji28]
Kweli Leo ni sherehe
Sherekeheni kwa amani lakini msilewe sana[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walikua encircled wamesurrender?
Wameona bora kujisalimisha kuliko kifo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chezea kifo weww
Yah wapo waliokubali kujisalimisha, ile wengine waligoma kwa iyo ikabidi Wagner wawalipe malipo wanayostahiliWalikua encircled wamesurrender?
Pole kwao freedom fightersYah wapo waliokubali kujisalimisha, ile wengine waligoma kwa iyo ikabidi Wagner wawalipe malipo wanayostahiliView attachment 2477895
They are DEADKuna wanajeshi wa Ukraine walichelewa kutoka mwisho wa siku Warusi wakatengeneza Duara.sasa sijui nini kitakuwa kimewakuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2476889View attachment 2476890