Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chief of the Ru General Staff Valery Gerasimov has been appointed commander of Russian forces in the 'special military zone' in Ukraine,

View attachment 2477692

Ukraine walitaka kumuuwa, putin amewaletea uwanjani
Shoigu kuongeza scope ya leadership kwenye hii operation inaweza kuwa na scope ya mashambulizi ikaongezeka zaidi!?

Isijekuwa ile winter offensive ya warusi ndio inaandaliwa hivyo.

Kuna taarifa za kijasusi kutoka Kiev zilisema huenda Warusi wakaanzisha mashambulio mengine ya kutaka kuikamata kiev kwenye mwezi wa pili hivi
 
Wanawazuga tu ila kwa sasa Kiev sio target.ila muda utasema kweli tuwe wapole
 
Yaani naona kbs jamaa wanakwenda kuanzisha offensive ya kuwarepel ukr kutoka maeneo yaliyokuwa annexed.

Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…