Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji28] Kamji kamoja hambako bado mapambano bado yanaendelea kamewafanya warusi wa buza wachanganyikiwe na kusahau kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi huko

Snake island

Izium

Khakivu

Kupyansk

Lyman

Kheson

Ni haki yenu, maana super pawer wa mchongo amewa-dissapoint kwa muda mrefu sana.., wakati huo Kuna counteroffensive nyingine ya moto inakuja..,stay tuned [emoji106]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We kenge wanamgambo wenzako wapo chimbo we unatoa amigo tutafumua ubongo huo ,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tafadhali jaribu kushika majina ya miji unayotaka kuteka (hapa: Bakhmut). Menginevyo kwanza wajaribu kufaulu kuteka Soledar. Hali halisi bado nikisikia vema wizara ya Urusi.
Ushabiki kweli ni tabia gumu, maana watu wanaanza kufurahia eti wameshiba wakisikia sauti ya kuku tu (hata kabla kumshika, kumchinja, kumpika, kumweka mezani..)
Tomorrow means near future. Means a goal or target
 
Back
Top Bottom