Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian-installed official says Ukrainian ‘resistance’ persists in Soledar: Report​

A Russian-installed official in Ukraine’s eastern Donetsk region has said “pockets of resistance” remain in the town of Soledar, according to a report by Russia’s state-owned TASS news agency.

Source Aljazeera

Russia now kuna Power struggle on how wanatakiwa kupigana Ukraine.

Yule bosi wa Wargner hakubaliani na maajenerali
Ndio maana boss wa Wagner, mwanzoni alidai kwamba askari wa kundi lake la Wagner ndio pekee wanapigana huko soledar, lakini baada ya kutoa matamshi hayo ,wizara ya ulinzi ya urusi ilijotokeza na kudai kwa kwamba madai hayo sio kweli,kwani hata askari wa jeshi la Urusi wanashiriki katika mapigano huko soledar
Hii yote Inadhihilisha ukweli kwamba Kuna jinsi mambo hayaendi sawa kati ya pande hizi mbili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Jamani Moderator tunaomba uungwana tafadhari,tufungulieni njia ya kuweka picha..,tuna picha nyingi za maiti nyingi za askari wa urusi tunataka kutupia hapa..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ninashukuru kama mods wanazuia picha za maiti.
1. Picha hizi ni dalili tu ya ushamba wa hao wanaofurahia picha za miili na damu (haidhuru kama inahusu picha za Warusi au Waukraine)
2. Picha hizi hazionyeshi wala hazifundishi chochote. Tunajua kwamba makumi hadi mamia wanakufa kila siku. Picha inaongeza nini??
3. Kila mtu, hata hao wauaji na majambazi kutoka gerezani wa Wagner Group, ni mtoto wa Mungu anastahili heshima (hata akikanyaga heshima ya wengine). Unapata nini kuonyesha picha za maiti yake??
 
Si tuliambiwa soledar yote imeshakombolewa na Wagner?[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tushasahau habari ya Soledar.sasa ivi tunaelekea sehemu nyingine
20230112_081346.jpg
 
Ndio maana boss wa Wagner, mwanzoni alidai kwamba askari wa kundi lake la Wagner ndio pekee wanapigana huko soledar, lakini baada ya kutoa matamshi hayo ,wizara ya ulinzi ya urusi ilijotokeza na kudai kwa kwamba madai hayo sio kweli,kwani hata askari wa jeshi la Urusi wanashiriki katika mapigano huko soledar
Hii yote Inadhihilisha ukweli kwamba Kuna jinsi mambo hayaendi sawa kati ya pande hizi mbili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Mnachekesha sana kwa kweli.ivi unajua Wagner group ni yanani?.

Kwa iyo unamini huyo aliyekuwa mpishi wa Putin ni yakwake.[emoji23][emoji23][emoji23]

Vifaa vya kijeshi na pesa za kuwalipa askari unafikiri ni kazi ndogo.Wagner wapo karibu nusu ya nchi za Africa.kote huko wana wanajeshi na vifaa vya kijeshi.

Wagner group ni ya mbwana mkubwa Putin
 
Switzerland has banned other countries from sending Swiss-made weapons to Ukraine
- The Swiss authorities rejected the German request for the transfer of ammunition for the Cheetah anti-aircraft guns to Ukraine, Ukrainian media write.
Denmark's request to send 22 Piran armored personnel carriers to Ukraine was also blocked.
The ban on the delivery of Swiss weapons to Kiev was also announced in Spain.
The Minister of Defense of the country, Margarita Robles, said that Switzerland does not allow the sending of military goods to Ukraine, the acquisition of which requires the consent of the producer country.
 
Ninashukuru kama mods wanazuia picha za maiti.
1. Picha hizi ni dalili tu ya ushamba wa hao wanaofurahia picha za miili na damu (haidhuru kama inahusu picha za Warusi au Waukraine)
2. Picha hizi hazionyeshi wala hazifundishi chochote. Tunajua kwamba makumi hadi mamia wanakufa kila siku. Picha inaongeza nini??
3. Kila mtu, hata hao wauaji na majambazi kutoka gerezani wa Wagner Group, ni mtoto wa Mungu anastahili heshima (hata akikanyaga heshima ya wengine). Unapata nini kuonyesha picha za maiti yake??
Tatizo huyu mtoto ukimwambia ukweli ye anajib shombo cjui Ni under 18 huyu..yaan mtu na akili timamu haezi kulia lia apewe uhuru wa kupost maiti ...
 
Ndio maana boss wa Wagner, mwanzoni alidai kwamba askari wa kundi lake la Wagner ndio pekee wanapigana huko soledar, lakini baada ya kutoa matamshi hayo ,wizara ya ulinzi ya urusi ilijotokeza na kudai kwa kwamba madai hayo sio kweli,kwani hata askari wa jeshi la Urusi wanashiriki katika mapigano huko soledar
Hii yote Inadhihilisha ukweli kwamba Kuna jinsi mambo hayaendi sawa kati ya pande hizi mbili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo?!?!
 
Back
Top Bottom