Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Takwimu kwa mujibu wa Ukraine!Tokea zele amind yule mama alivyotoa takwimu juu ya vifo vya Ukraine,Kyiv haiminiki Tena!Tayari moderators wamesharuhusu picha, ndio maana tayari nimeshaweka takwimu za warusi jinsi wanavyozidi kuchinjwa huko Ukraine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maana Kwa mujibu wa Ukraine,vifo vya Ukraine vilikuwa 13000 mwishoni mwa mwaka Jana!Do the math,kama Ukraine walikuwa sahihi,vifo per day mpaka yule mama anatangaza vilikuwa vingapi mpaka vifike zaidi ya laki ndani ya muda mfupi!