mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Nilichokiona hapo ni kama vile malipo ya kule LymanNi huzuni kwa kweli
Vita mbaya sana. Kuna mtu hapo kwenye comment kauliza 'All this for what!? To join the f*** NATO!?'
Ushambiwa wenye mamlaka ni ndugu wa Zelensk.sasa unategemea nini na uwanja umeinama[emoji23][emoji23][emoji23]Naamini JF ni jukwaa huru, vipi watu washindwe weka picha ama ni thread zote kwa leo?
Kenge hao wamepeleka front wakatelekezwa ngoja wachezee shabaJamani mamruki wa Ukraine huku wanalia jamani
Daaa[emoji1784][emoji1784][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]
We kenge wanamgambo wenzako wapo chimbo we unatoa amigo tutafumua ubongo huo ,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji28] Kamji kamoja hambako bado mapambano bado yanaendelea kamewafanya warusi wa buza wachanganyikiwe na kusahau kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi huko
Snake island
Izium
Khakivu
Kupyansk
Lyman
Kheson
Ni haki yenu, maana super pawer wa mchongo amewa-dissapoint kwa muda mrefu sana.., wakati huo Kuna counteroffensive nyingine ya moto inakuja..,stay tuned [emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mtachaguaje ikiwa picha zimefungiwa humu[emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kuhusu zile pc za soledar alizoombwa Putin ziletwe bongo
Tomorrow means near future. Means a goal or targetMkuu tafadhali jaribu kushika majina ya miji unayotaka kuteka (hapa: Bakhmut). Menginevyo kwanza wajaribu kufaulu kuteka Soledar. Hali halisi bado nikisikia vema wizara ya Urusi.
Ushabiki kweli ni tabia gumu, maana watu wanaanza kufurahia eti wameshiba wakisikia sauti ya kuku tu (hata kabla kumshika, kumchinja, kumpika, kumweka mezani..)
Upinde haoNaamini JF ni jukwaa huru, vipi watu washindwe weka picha ama ni thread zote kwa leo?
Mi mwenyewe nashangaa.Ila hii sio poa kabisa.mbona kipindi kile cha Kherson sisi tulikuwa watulivu tu.iweje wao watufungie picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo Moderator wametufungia njia ya kuweka picha,bila shaka tungeweza kuona picha za maiti zao kwa wingi hapa,wanachokifanya moderators sio poa hata kidogo,Jamani vipi kuhusu askari 500 wa zele walioshambalatishwa na wagner group.
Zele kasemaje
Vunjo ruhusu picha bossTatizo Moderator wametufungia njia ya kuweka picha,bila shaka tungeweza kuona picha za maiti zao kwa wingi hapa,wanachokifanya moderators sio poa hata kidogo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jeshi inatakiwa uwe na roho ngumu kweliItakuwa ndio hii