Sasa kama ndio hivyo si Poland apeleke moja kwa moja ndege hizo bila kupitishia Ujerumani? Mbona imepakana kabisa na Ukraine (angalia ramani yawezekana hujui)? Anashindwa nini?Poland na UK wameona Russia ana uwezo Mdogo sana kijeshi wanafanya Kila kitu aingie 18 zao
Labda Tubet, Sudan inapakana na Uganda kwa upande wa kusini.jamaa kachafukwa kiukweli ,yaani ukweli ni kwamba Putin hayuko tayari kuona Russia yake inadidimizwa kinamna yeyote ile .Sasa sijui ata backup vipi hii impact ya zuio la bidhaa yake ya nishati.na naskia amehamisha makumi ya midege yake ya Vita ,ameipeleka Sudan imepaki pale na bado anaihamisha na midege mingine kuipeleka hukohuko Sudan ,huyu jamaa sijui ana plan gani aise .ila yy anadai ameipeleka Sudan ili kukabiliana kwa dharula yeyote itakayojitokeza
Nilkuwa nakataa statement ya Waziri wa Ulinzi wa Russia aliyesema kuwa watu 1.5m wa Ukrain walikuwa wanataka kwenda Russia. Mkuu NYUNDO YA MOTO yeye ni mleta taarifa tu za kinachosemwa ndiyo maana aliweka wazi kuwa ni statement ya Waziri wa UlinziHuyo jamaa hajadanganya kabisa labda haujamwelewa.
Jana Urusi na Ukraine waliweka Cease fire ili kuwaondoa raia wa Ukraine kwenye mji wa Maliopor ambao ni mji wa bandari unaoshambuliwa na Meli za kivita za Urusi zilizoko Black Sea. Baada ya raia kuambiwa kuwa wanapelekwa Russia wakagoma na CEASE FIRE ikaisha na mapigano yakaendelea.
Ukraine iliishambulia Meli ya Urusi Black sea kwa kutumia Drone ya Uturuki na kusababisha MAJOR DAMAGE. Hapo ndipo Urusi ikaanza kushusha mamia ya CRUISE MISSILES za Kutosha na kuisambaratisha AIRPORT YOTE.
Britain Inamshawishi Poland akatumie silaha za aina ya M-29 kwasababu Polish wanaweza kuzioperate tofauti na zile za US na UK ambazo Poland soldiers hawawezi kuzioperateOk,kwa hiyo issues kubwa Ni kupeleka troops,ndio Maana nimeona Raisi wa Poland anasema hatopeleka wanajeshi wake Ila atatoa vifaa nikawa sielewi inakuwaje.
Ukiona mtu anaanza matusi na kubadili lugha kizungu ujuwe hoja hana. Hivi leo kuna mtu wa kumdanganya wakati kila kitu kiko kwenye records.Hjna akili pathetic!!
Sasa taja wewe aliyekubali kuongeza uzalishaji? Saudia Arabia jana kakataa haongezi uzalishaji? una lingine la kusemaWewe unaongeaga vitu vya ajabu sana ndugu yangu kwanini huwazi kwa akili yako ya kawaida ambayo haiitaji ata shule mzee emu niambie katika ixo nchi zoooote zenye makubaliano hayo ya OPEC sijui OPEC PLUS nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Marekani nitajie nchi mojawapo kati ya izo nchi zenye makubaliano ya OPEC mwenye uwezo wa kupinga matakwa ya USA sitaki porojo nitajie nchi moja wapo
Wewe unaongeaga vitu vya ajabu sana ndugu yangu kwanini huwazi kwa akili yako ya kawaida ambayo haiitaji ata shule mzee emu niambie katika ixo nchi zoooote zenye makubaliano hayo ya OPEC sijui OPEC PLUS nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Marekani nitajie nchi mojawapo kati ya izo nchi zenye makubaliano ya OPEC mwenye uwezo wa kupinga matakwa ya USA sitaki porojo nitajie nchi moja wapo
Kumbe hali ilishakuwa mbaya US kazidisha tu. Hapo umejijibuVikwazo vya marekani ndo vilifanya Hali ikawa mbaya Zaid kila mtu anajua labda wewe ndo hujui
Endapo Ukraine itakuwa kama Somalia,basi Russia kuendesha operation hii itakuwa haina maana kwake,na atakuwa exposed to risk zaidi kuliko hata alivyokuwa anaogopa Ukrain ya sasa.Ukraine itakuwa Somalia ya Ulaya soon.....
1.Si silaha zote zitarudi hata baada ya vita kuisha, lazima vitazaliwa vikundi vingi vya waasi kama sio magang ya Uhalifu ( Ukizingatia uchumi utakuwa umeyumba)
2.Kuna mahala nimeona wapiganaji kutoka middle East wanakuja kujitolea ( Tunawajua hawa watu, na tabia zao za looting zinafahamika). Watalowea hapo Ukraine na kinachofuatia kinafahamika.
Ndio Pro NATO walivyo huwa nikisoma michango yao nacheka mpaka natamani kulia yaani wana-comment kama wamaekatwa kichwa vile. Mtu mpaka ushahidi anapewa lakini anaendelea na ubishi utadhani hizo Taarifa anazo first hand kumbe na yeye anatakiwa kuzisoma kwanza sehemuUkiona mtu anaanza matusi na kubadili lugha kizungu ujuwe hoja hana. Hivi leo kuna mtu wa kumdanganya wakati kila kitu kiko kwenye records.
eti "mastring" imenichukua sekunde kadhaa kukuelewa hapa 😂Ndio najua .katka hawa donor wa mafuta,sio wote watamkubalia US.anyway si amesaini decree Leo ya zuio la kununua nishati kutoka Russia,picha halisi tutaiona baada ya wk 2 au 3.ma string sijui kajipangaje kwa haya yanayokuja kwenye wizara yake hapa tz