LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Screenshot_20220309-092818_Twitter.jpg
 
Poland na UK wameona Russia ana uwezo Mdogo sana kijeshi wanafanya Kila kitu aingie 18 zao
Sasa kama ndio hivyo si Poland apeleke moja kwa moja ndege hizo bila kupitishia Ujerumani? Mbona imepakana kabisa na Ukraine (angalia ramani yawezekana hujui)? Anashindwa nini?

Yaani ni sawa na Tanzania anataka kupeleka ndege Msumbiji, lakini Tanzania yataka ipeleke kwanza ndege hiyo Burundi, halafu Burundi ndio ipeleke Msumbiji. Kwa nini mzunguko wote huo kama anajiamini?

Screenshot_20220309-094216_Chrome.jpg
 
jamaa kachafukwa kiukweli ,yaani ukweli ni kwamba Putin hayuko tayari kuona Russia yake inadidimizwa kinamna yeyote ile .Sasa sijui ata backup vipi hii impact ya zuio la bidhaa yake ya nishati.na naskia amehamisha makumi ya midege yake ya Vita ,ameipeleka Sudan imepaki pale na bado anaihamisha na midege mingine kuipeleka hukohuko Sudan ,huyu jamaa sijui ana plan gani aise .ila yy anadai ameipeleka Sudan ili kukabiliana kwa dharula yeyote itakayojitokeza
Labda Tubet, Sudan inapakana na Uganda kwa upande wa kusini.

Mtoto wa M7 aliunga mkono operation inayofanywa na Russia pale Ukraine siku chache kabla ya kuandika barua ya kuresign Jeshini yakiwa kama maandalizi yake ya awali kuelekea 2026.

Kwa sasa haya yote hayana maana, Muda utaongea.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa hajadanganya kabisa labda haujamwelewa.

Jana Urusi na Ukraine waliweka Cease fire ili kuwaondoa raia wa Ukraine kwenye mji wa Maliopor ambao ni mji wa bandari unaoshambuliwa na Meli za kivita za Urusi zilizoko Black Sea. Baada ya raia kuambiwa kuwa wanapelekwa Russia wakagoma na CEASE FIRE ikaisha na mapigano yakaendelea.

Ukraine iliishambulia Meli ya Urusi Black sea kwa kutumia Drone ya Uturuki na kusababisha MAJOR DAMAGE. Hapo ndipo Urusi ikaanza kushusha mamia ya CRUISE MISSILES za Kutosha na kuisambaratisha AIRPORT YOTE.
Nilkuwa nakataa statement ya Waziri wa Ulinzi wa Russia aliyesema kuwa watu 1.5m wa Ukrain walikuwa wanataka kwenda Russia. Mkuu NYUNDO YA MOTO yeye ni mleta taarifa tu za kinachosemwa ndiyo maana aliweka wazi kuwa ni statement ya Waziri wa Ulinzi
 
Ok,kwa hiyo issues kubwa Ni kupeleka troops,ndio Maana nimeona Raisi wa Poland anasema hatopeleka wanajeshi wake Ila atatoa vifaa nikawa sielewi inakuwaje.
Britain Inamshawishi Poland akatumie silaha za aina ya M-29 kwasababu Polish wanaweza kuzioperate tofauti na zile za US na UK ambazo Poland soldiers hawawezi kuzioperate

British wamewaahidi Wapoland kuwa wakifanya hivyo watawasupport. Poland hawapo tayari kufanya hivyo kwasababu wanaogopa kuwa watakuwa na uadui mkubwa sana na Russia na wapo jirani.

Ila pia inapaswa kukumbukwa kuwa hizi rockets za M-29 ziligunduliwa kwa mara ya kwanza Urusi.
 
Wewe unaongeaga vitu vya ajabu sana ndugu yangu kwanini huwazi kwa akili yako ya kawaida ambayo haiitaji ata shule mzee emu niambie katika ixo nchi zoooote zenye makubaliano hayo ya OPEC sijui OPEC PLUS nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Marekani nitajie nchi mojawapo kati ya izo nchi zenye makubaliano ya OPEC mwenye uwezo wa kupinga matakwa ya USA sitaki porojo nitajie nchi moja wapo
Sasa taja wewe aliyekubali kuongeza uzalishaji? Saudia Arabia jana kakataa haongezi uzalishaji? una lingine la kusema
 
Wewe unaongeaga vitu vya ajabu sana ndugu yangu kwanini huwazi kwa akili yako ya kawaida ambayo haiitaji ata shule mzee emu niambie katika ixo nchi zoooote zenye makubaliano hayo ya OPEC sijui OPEC PLUS nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Marekani nitajie nchi mojawapo kati ya izo nchi zenye makubaliano ya OPEC mwenye uwezo wa kupinga matakwa ya USA sitaki porojo nitajie nchi moja wapo
 
Ukraine itakuwa Somalia ya Ulaya soon.....
1.Si silaha zote zitarudi hata baada ya vita kuisha, lazima vitazaliwa vikundi vingi vya waasi kama sio magang ya Uhalifu ( Ukizingatia uchumi utakuwa umeyumba)
2.Kuna mahala nimeona wapiganaji kutoka middle East wanakuja kujitolea ( Tunawajua hawa watu, na tabia zao za looting zinafahamika). Watalowea hapo Ukraine na kinachofuatia kinafahamika.
Endapo Ukraine itakuwa kama Somalia,basi Russia kuendesha operation hii itakuwa haina maana kwake,na atakuwa exposed to risk zaidi kuliko hata alivyokuwa anaogopa Ukrain ya sasa.
 
The European Parliament raised the issue of sanctions against countries supporting the Russian special operation in Ukraine.

In an appeal to the European Commission, which RT read, German MP Markus Buheit proposed to suspend negotiations on preparations for Serbia's accession to the EU or block the accounts of other countries.

“What action against countries such as Cuba, Serbia, Nicaragua and Venezuela… is the European Commission going to take on its own (for example, freeze funds immediately) or propose to the Council of the EU (for example, impose trade sanctions)?” he asked the EC.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Top news for the day:

- Russian Ambassador to Washington Anatoly Antonov said that the United States is afraid of confirmation of the facts of violation of the convention on the prohibition of biological weapons in Ukraine;

- The National Guard reported that the situation at the Zaporozhye NPP is under the complete control of the Russian military. The Ukrainian servicemen guarding the station handed over their weapons;

— The US Department of Justice accused Elena Branson, chairperson of the Coordinating Council of Russian Compatriots (KSORS) in the US, of illegal work as a Russian agent. The Russian embassy in Washington called the allegations against Branson outrageous and unfounded.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The face of Puma, French rapper Booba terminated the contract with the company after it announced the suspension of work in Russia.

He has been representing Puma since November 2020, advertising sneakers in particular. And in this case, he categorically disagrees with the position of his employer, writes Le Figaro.

“You leave and I leave. If you are in politics, then we should too ... I did not subscribe to this, ”he wrote on Instagram.

For the German company Puma, the Russian market accounted for less than 4% of turnover. The firm closed about a hundred stores.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The United States recognized the presence of its biological laboratories in Ukraine.

During a Senate hearing, Deputy Secretary of State Victoria Nuland said that Washington feared that the materials accumulated there would fall into the hands of Russian forces.

According to Ambassador Antonov, the State Department fears that Russian scientists can confirm the facts of violations by Ukraine and the United States of the UN Convention on the Prohibition of Biological and Toxin Weapons.

According to the Russian Ministry of Defense, the United States spent more than $200 million on the work of laboratories in Ukraine, which participated in the American military biological program.

Earli
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
er, a former member of the UN Commission on Biological Weapons, Igor Nikulin, spoke about leaks from such facilities.
 
Ukiona mtu anaanza matusi na kubadili lugha kizungu ujuwe hoja hana. Hivi leo kuna mtu wa kumdanganya wakati kila kitu kiko kwenye records.
Ndio Pro NATO walivyo huwa nikisoma michango yao nacheka mpaka natamani kulia yaani wana-comment kama wamaekatwa kichwa vile. Mtu mpaka ushahidi anapewa lakini anaendelea na ubishi utadhani hizo Taarifa anazo first hand kumbe na yeye anatakiwa kuzisoma kwanza sehemu
 
Ndio najua .katka hawa donor wa mafuta,sio wote watamkubalia US.anyway si amesaini decree Leo ya zuio la kununua nishati kutoka Russia,picha halisi tutaiona baada ya wk 2 au 3.ma string sijui kajipangaje kwa haya yanayokuja kwenye wizara yake hapa tz
eti "mastring" imenichukua sekunde kadhaa kukuelewa hapa 😂
 
The Ministry of Defense showed footage of a convoy of armored vehicles of the Russian Armed Forces, which is heading to a designated area to carry out a combat mission. Our troops continue to blockade and take control of the territories occupied by the battalions of Ukrainian nationalists.
 
Back
Top Bottom