kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo bakhumut warusi ndo wamechagua kama mji wa kupigia propaganda..,Toka mwezi wa Tano mwaka uliopita huo wimbo wa bakhumut hauishi [emoji16][emoji134]We mtoto wewe handaki lipi hapa
Io video ni wa Ukraine kutoka bakhmut. Wakiomba msaada mbaya zaidi wanahemeana kama wame katwa pua
Alafu ghafla likapigwa moja hapo ungefurahi ungeona walivyo wakitia huruma.
View attachment 2483388
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Humu kuna vichaa kama ndugu Yao zelenskyKuteka majimbo manne ambayo ndiyo yenye uchumi mkubwa na kuyafanya sehemu ya urusi halafu unasema hakuna alichoachive?
Huo moto unaounguza silaha zao hauuoni?Si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto mkuu..,au umeshasahau tulivyokubaliana na mkuu..,sisi tumechagua kupigana Ukraine tu na yeyote atakayeingilia kutoka nje tutamuwashia moto[emoji2][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tukubaliane kwanza kwamba urusi anapigana tu na Ukraine kabla hatujasonga mbele zaidi na zaidi,Huo moto unaounguza silaha zao hauuoni?
Kama urusi anazoazoa vijana na kuwapa mafunzo ya wiki 1 kisha kuwapeleka machinjioni, itakuwa hiyo mifumo ya ulinzi wa anga??View attachment 2483403
Patriot is one of the most advanced weapons in the world. But here's my problem with transferring them, like other weapons. This was needed much earlier. You can not fight through the sleeves. And that's exactly what we do in Ukraine. And you don't have to deceive yourself. We participate in the war, we are participants in the battles. 75% of money, humanitarian aid and arms goes through three American generals in Germany. I am very worried about adding many small changes to the project instead of a few carefully planned drastic steps. Retired US Army Lieutenant General Joseph Keith Kellogg.
Sema lakini mnavyomjibu huyu Chizi na ninyi mnaweza kuonekana machizi.Hoja haikuwa kuongeza nguvu front
Wala si kubadilisha majenerali.
Ulitakiwa kujibu maswali ya kwanini anae pigwa bado yuko uwanjani na wala humsikii akilia lia kama mbwa koko zele.
Je zelen halalamiki au alii?
Unaposema Mrusi kadebweda ilihali bado yuko uwanjani na wala halii
Unaonesha namna unavyo jifariji huku ukweli unaujua.
Kwa hiyo tulia endelea kuangalia mwanaume anacho wafanya huko!!!![emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii habari inaitaji kuongezewa nyama,haijitosheleziIn the Donetsk direction
units of the Southern Military District, in cooperation with units of the Airborne Forces, continue offensive operations. During the day, more than 50 nationalists, 1 armored personnel carrier and 8 cars were destroyed in this direction.
Hapo soledar warusi wanaendelea kuchinjwa Ili kumfurahisha tu dikiteta.., kweli kumtumikia kafili ni kazi sanaAl Jazeera
Zelenskyy mocks Russian forces fighting for ‘credit’ over Soledar
2 days ago
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy has mocked infighting between the Russian defence ministry and the Wagner mercenary group over who should take credit for efforts to seize the town of Soledar, saying it showed “a clear sign of failure for the enemy”.
In a late-night video address on Friday, Zelenskyy said the battles for Soledar and other eastern towns and cities in Ukraine were continuing despite competing claims by Wagner and the Russian government that it was their forces who had taken control of the salt-mining town.
The fall of Soledar would mark Russia’s first significant battlefield gain after months of military retreats and setbacks against Ukrainian forces, though military analysts and the United States have downplayed the strategic significance of the town, which has seen some of the bloodiest fighting in the warso far.
Putina akichukua huu mji itakuwa ni ushindi wake baada ya miezi mengi (goli la kufuta machozi)
Kumbe Ile kampuni ya Wagner bado haijakamilisha mradi (ushindi) huko Soledar pamoja na majigambo yote yale ?.............huenda na pesa ya umma wameshalipwa.
Moronight walker mbingunikwetu mohamedidrisa789 TUJITEGEMEE lee van cliff
but they say wa ukraine dont die only russians .kwani kunani tena my friend?mixx Bora hao Wana haki ya kujitokeza hadharani na kuulizia ndugu zao wako wapi..,kule kwa dikiteta Putin ukijaribu kujitokeza hadharani na kuulizia ndugu yako aliyepelekwa machinjioni,shaba ni Halali yako[emoji134][emoji134]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app