Hicho hapo?Kijue kinu hatari - The Challenger 2 cha Mwingeleza kinachoelekea Ukraine - tema mate chini... Shetani apite !!
Exactly, Russia advance more and more in social media [emoji134]Russia [emoji635] [emoji635][emoji123] is advancing
[emoji3479]Russian forces entered and captured part of the northern part of #Vodiane. https://t.co/oRUomGjlOj
View attachment 2483484
mturuki anajua kutengeneza nguo tu ndugu - haya mambo awaachie wenyewe
Ya Jana Cha mtoto..,kule makiivka warusi zaidi ya mia sita walichinjwa 🥱🥱Aloo jana tu leo umesahau!!!
Nakukumbusha tu wanagongana gongana wenyewe kwa wenyewe kuhusu mlipuko wa jana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ina maana teyar mmezidiwa propaganda za social media na warusi.Exactly, Russia advance more and more in social media [emoji134]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Now Inaporomoka unataka iporomoke mara ngapi?
Propaganda hazisaidii chochote Mzee ,kitu Cha muhimu ni kuendelea kumchakaza mrusi na kumtia kilema Cha maisha [emoji848]Ina maana teyar mmezidiwa propaganda za social media na warusi.
Imefikia wakati sasa hadi aljazeera anashindwa aseme nini [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]. Lol
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
GoodSema lakini mnavyomjibu huyu Chizi na ninyi mnaweza kuonekana machizi.
Sisi Warussia tuendelee kufurahia ushindi wetu hawa mashoga waendelee kuumia ndani kwa ndani.... Mkibishana na hawa mashoga mtapakwa mavi bure
kilema Cha kukosa makazi, chumvi, miji,Propaganda hazisaidii chochote Mzee ,kitu Cha muhimu ni kuendelea kumchakaza mrusi na kumtia kilema Cha maisha [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata kukosa chumvi mnaona ni hoja ya kuleta hapa? [emoji16][emoji2][emoji28]kilema Cha kukosa makazi, chumvi, miji,
Ok sawa na idadi ya watu na wanajeshi kufa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha kunishobokea bibie,Mimi sio mteja wa makahaba!!Sema lakini mnavyomjibu huyu Chizi na ninyi mnaweza kuonekana machizi.
Sisi Warussia tuendelee kufurahia ushindi wetu hawa mashoga waendelee kuumia ndani kwa ndani.... Mkibishana na hawa mashoga mtapakwa mavi bure
Duuuh,world war 2 Soviet walipiteza watu milioni 27,wengi wao wakiwa Warusi!Mpaka kesho wanasherehekea victory day!Propaganda hazisaidii chochote Mzee ,kitu Cha muhimu ni kuendelea kumchakaza mrusi na kumtia kilema Cha maisha [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo itakuwa imekuingia sawasawa bibie, [emoji3059][emoji3059] maana SI kwa mguno huu [emoji56]Pro NATO Naona wameingia mitini,kabaki mmoja anarukaruka!
Kumbe mnaona Raha warusi kuchinjwa eeh! Ngoja zelensiky aendelee kuwachinja tu hakuna namna [emoji848]Duuuh,world war 2 Soviet walipiteza watu milioni 27,wengi wao wakiwa Warusi!Mpaka kesho wanasherehekea victory day!
Leo hii haka la SMO ndio kamtie Urusi kilema?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Au una tafsiri ya peke Yako unayomaanisha!
Nakukumbusha walijifukia kwenye mahandaki kule walifurahia shooHata kukosa chumvi mnaona ni hoja ya kuleta hapa? [emoji16][emoji2][emoji28]
Kweli mnaishiwa hoja Sasa.., uzuri ni kwamba vijana wakakamavu wa rais zelensiky wataedelea kuwachinja kwa wingi tu kadri wawezavyo.., mwaka huu mtaita maji mmaa [emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Achilia hao waliojificha kwenye andaki,Hawa ndio waliona show sawasawa[emoji28]Nakukumbusha walijifukia kwenye mahandaki kule walifurahia shoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app