Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Amevuliwa suruali ya KIJESHI huyoAchilia hao waliojificha kwenye andaki,Hawa ndio waliona show sawasawa[emoji28]View attachment 2483556
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kazi yangu ni kuwaumbua mawakala wa fashisti wanaojaribu kuleta upupu hapa jukwaani.., hamuwezi kuendelea kupotosha tukawaangalia tu, lazima tuwaumbue!Leo meona Kuna baadhi ya pro rusia hawana akili ....yaani mnabishana na shoga kipanya mnaangaika kumletea evidence yeye ndio kwAnza anajibu uchoko alafu bdo hamkomi mnaendelea kubishana nae ...ukibishana na chizi nawe utakua chizi
Unakwama wapi?Matusi ya Nini?Hiyo itakuwa imekuingia sawasawa bibie, [emoji3059][emoji3059] maana SI kwa mguno huu [emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kavuliwa suluali ya kijeshi baada ya kujisalimisha!Amevuliwa suruali ya KIJESHI huyo
Tusi liko wapi hapo Mzee..,vip wewe hambaye unadai watu hambao wako seriously kwamba " wanarukaruka"Unakwama wapi?Matusi ya Nini?
Casualties ni kawaida kwenye uwanja wa mapambano!Kumbe mnaona Raha warusi kuchinjwa eeh! Ngoja zelensiky aendelee kuwachinja tu hakuna namna [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kurukaruka ni tusi?Mimi Mwanaume halafu unaniita Kwa namna uliyoniita na maneno yasiyo na staha juu yake,unaona ni sawa?Tusi liko wapi hapo Mzee..,vip wewe hambaye unadai watu hambao wako seriously kwamba " wanarukaruka"
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama wamarekani wenyewe hawaitaki NATO.
Kama maeneo huko Ukraine mbona urusi kayanyakua tangu 2014.., Putin alichofanyiwa safari hii ni kutegeshewa tu ndoano Ili ajae kabisa,na bahati nzuri kajaa.., Sasa hatua iliyobaki ni kuendelea kumswaga mpaka atafika Mahali atachoka mwenyewe..,na wakati huo atakuwa tayari Hana Malinda!!Casualties ni kawaida kwenye uwanja wa mapambano!
Lakini hao Urusi unaosema wanachinjwa basi ujue Ukraine ni mara kadhaa zaidi!
Kama unapigwa mpaka mtu anachukua eneo basi ujue wewe ndiye umepiteza watu zaidi!
Uzuri Urusi yeye anakuachia sensa ujifanyie mwenyewe!
Ukipika data ni juu Yako na haibadili hali halisi ya loses!
Mkuu,Sasa nitajuaje kwamba wewe ni mwanaume na unatumia I'd fake??Kurukaruka ni tusi?Mimi Mwanaume halafu unaniita Kwa namna uliyoniita na maneno yasiyo na staha juu yake,unaona ni sawa?
Dah aisee mambo kama haya yananifanya niione Urusi kama sio nchi ya kawaida aisee.Polish Prime Minister Morawiecki arrived in Berlin and called on the German government to hand over tanks to Kiev
Kumbuka pia Kuna warusi kadhaa walioandamana kupinga vita aliyoanzisha dikiteta Putin, hivyo usishangae sana kuona Kuna bahadhi ya wamarekani hawaitaki NATO!!Kama wamarekani wenyewe hawaitaki NATO.
Lkn utaona Kuna mtanzania anakuambia NATO ni nzuri.
Mpaka hapa Urusi anayo haki ya kufanya vita hii,kwani anajihami na maharamia NATO.
Kijue kinu hatari - The Challenger 2 cha Mwingeleza kinachoelekea Ukraine - tema mate chini... Shetani apite !!
Kumbuka pia urusi anamlazimisha Belarus kwa nguvu kutumia ardhi yake kufanya uvamizi dhidi ya Ukraine..,huyo lukashenko Hana ujanja zaidi ya kuendeshwa kwa remote control kutoka clemlin!!Dah aisee mambo kama haya yananifanya niione Urusi kama sio nchi ya kawaida aisee.
Yaani wanachangishana silaha Hadi kibabe ,dah
Urusi ningemuona wa maana sana kama angemalizana kwanza na HIMARS kabla hajafikiria British Challenger tanks!!Kremlin: British tanks ‘will burn just like the rest’
The Kremlin says that the tanks Britain plans to send to Ukraine “will burn”.
On Saturday, Britain said it would send 14 of its Challenger 2 main battle tanks and other advanced artillery support in the coming weeks.
“They are using this country as a tool to achieve their anti-Russian goals,” Kremlin spokesman Dmitry Peskov said.
“These tanks are burning and will burn just like the rest,” Peskov said.
Peskov added that new supplies from countries like Britain and Poland will not change the situation on the ground.
Hapana wamarekani hapo hawajakataa vita,wanaikataa NATO.Kumbuka pia Kuna warusi kadhaa walioandamana kupinga vita aliyoanzisha dikiteta Putin, hivyo usishangae sana kuona Kuna bahadhi ya wamarekani hawaitaki NATO!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe hujitambuiKwa kauli hii tunakubaliana kwamba urusi anapigana tu na Ukraine na bado anamtoa kamasi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Swala hapa ni raia kujitokeza na kupinga hadharani maamuzi yanayofanywa na mamlaka za nchi zao.., usitake kujizima data Mkuu,Hapana wamarekani hapo hawajakataa vita,wanaikataa NATO.
Hata Mimi sijazungumzia vita,nimezungumzia NATO.
IPO tofauti kati ya vita na NATO.
Aisee kumbe alimlazimisha kwa nguvu,Rais wa nchi nyingine ili kutumia ardhi yake kuipiga nchi nyingine,aisee sukujua.Kumbuka pia urusi anamlazimisha Belarus kwa nguvu kutumia ardhi yake kufanya uvamizi dhidi ya Ukraine..,huyo lukashenko Hana ujanja zaidi ya kuendeshwa kwa remote control kutoka clemlin!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app