NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Fak news,Ukreina inakwambia tuneharibu silaha za urusi na kuwateka wanajeshi. Mwamba putin yeye anaendelea kunyakulia majimbo
#mtu mkimya muogopo
kwasasa silaha ya ukraine ni progaganda tu ha ha ha ha
View attachment 2143065
Be fair kijana wangu Yupo ukraine ameolewa huko What I say ni realityKojoa ulale
Mungu aepushie mbali!!kama ujamaa wenyewe ndio huo tuliotaka kuingizwa chaka na JIWE!!Ubeberu uko katika pumzi zake za mwisho......
Ujamaa utatamalaki tena....
Siempre CCM🙏
Week ya pili sasa,bado hakijaeleweka.Endelea kuwa na subira.Siku wakishachukua Ukrain nafikiri ntakuwa na hoja za kuhoji.
If you have nukes no one can touch you,Marekani alipeleka meli kubwa na nyambizi kubwa na madege ya kisasa huko Korea but aliishia kupiga kelele tu akarudi kwake""Mpaka muda huu urusi imeshajirihidhisha ya kuwa haina lolote technically za kijeshi wamebakia kuringia silaha zao nzito za maangamizi ambazo haziwezi kutumika, vita hii ni kipimo madhubuti kwa Dunia"">silaha zake mjuzi akiziangamia Russian Kwishneyi! (America which this and calculate very well)
Hii ni faida kubwa sana kwa USA kujua ubora na Udhaifu wa silaha za Mrusi maana Russia inapigana na Silaha zake mwenyeweView attachment 2144201hii ni s 300 ya ukraine imezisumbua sana ndege za urusi .warusi walipokuja kuistukia wakaijam mpaka ikapiga shoti
Bidhaa ya mafuta na gesi haisusiwi ndugu yangu, utaikataa leo kesho utachukua tu. Uk mwenyewe anasema ata stop kuchukua crude oil mwishoni mwa mwaku huu, Germany na nchi zingine still bado hawaja burn uingizwaji wa ges toka Russia, niambie substitute ya gesi ulaya wataitoa wapi kwa miaka 3 au 4 ijayo?Kwa hali inavyozidi kwenda nashawishika kusema kuwa katika huu mgogo inaweza kuwa ndio njia ya ANGUKO LA DOLA LA RUSSIA. Japo natamani sana dunia isiwe na Mbabe mmoja lakini huu ni UKWELI MCHUNGU. Mwenye macho sahihi, mwenye masikio kwa yanayoendelea atakubali tu kuwa ni ngumu Russia kuhimili hii vita. Russia angeweza kuhimili hii vita hata kushinda kama kusingelikuwa na suala la vikwazo vinavyogusa uchumi wake kwa kiasi kikubwa hivyo. ATAJIKAKAMUA SANA LAKINI ITASHINDIKANA TU.
Pia huu mgogoro umedhihirisha ni namna gani USA alivyo Mkubwa kuliko nchi yoyote Dunia hii kwasababu alichokifanya Russia ndicho hichohicho alichofanya Marekani sehemu nyingi lakini hakuna Mbwa yeyote aliyebweka na hata Umoja wa mataifa. Na hata miaka ya mbeleni atafanya kama hiki cha Russia na hakuna wakumzuia au kuzuia biashara zake.
Pro Russia wenzangu tuzitendee haki akili zetu kuukubali ukweli. Russia itashinda tu iwapo ndivyo Mungu alivyopanda(Miujiza) lakini KWA HESABU ZA KIBINADAMU HAIWEZEKANI
Vikwazo vya kufungia macdonalds ni kweli vitaua Uchumi wa Russia😎Kwa hali inavyozidi kwenda nashawishika kusema kuwa katika huu mgogo inaweza kuwa ndio njia ya ANGUKO LA DOLA LA RUSSIA. Japo natamani sana dunia isiwe na Mbabe mmoja lakini huu ni UKWELI MCHUNGU. Mwenye macho sahihi, mwenye masikio kwa yanayoendelea atakubali tu kuwa ni ngumu Russia kuhimili hii vita. Russia angeweza kuhimili hii vita hata kushinda kama kusingelikuwa na suala la vikwazo vinavyogusa uchumi wake kwa kiasi kikubwa hivyo. ATAJIKAKAMUA SANA LAKINI ITASHINDIKANA TU.
Pia huu mgogoro umedhihirisha ni namna gani USA alivyo Mkubwa kuliko nchi yoyote Dunia hii kwasababu alichokifanya Russia ndicho hichohicho alichofanya Marekani sehemu nyingi lakini hakuna Mbwa yeyote aliyebweka na hata Umoja wa mataifa. Na hata miaka ya mbeleni atafanya kama hiki cha Russia na hakuna wakumzuia au kuzuia biashara zake.
Pro Russia wenzangu tuzitendee haki akili zetu kuukubali ukweli. Russia itashinda tu iwapo ndivyo Mungu alivyopanda(Miujiza) lakini KWA HESABU ZA KIBINADAMU HAIWEZEKANI
View attachment 2144201hii ni s 300 ya ukraine imezisumbua sana ndege za urusi .warusi walipokuja kuistukia wakaijam mpaka ikapiga shoti
Ukraine should have for protectionsIf you have nukes no one can touch you,Marekani alipeleka meli kubwa na nyambizi kubwa na madege ya kisasa huko Korea but aliishia kupiga kelele tu akarudi kwake
Vyuma chakavu vya mrusi dili.Fak news,
Warusi wanauwawa kweli wanaachiwa waingie wanazingirwa wanauwawa that what happening at now.
Mkulima akijisevia kifaru sijui anaenda kufanyia nini?
Be fair kijana wangu Yupo ukraine ameolewa huko What I say ni reality
View attachment 2144215