LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The British Ministry of Defense forbade its military to go to Ukraine, threatening disciplinary and administrative measures, British media write.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Ukreina inakwambia tuneharibu silaha za urusi na kuwateka wanajeshi. Mwamba putin yeye anaendelea kunyakulia majimbo
#mtu mkimya muogopo
kwasasa silaha ya ukraine ni progaganda tu ha ha ha ha

View attachment 2143065
Fak news,
Warusi wanauwawa kweli wanaachiwa waingie wanazingirwa wanauwawa that what happening at now.
Mkulima akijisevia kifaru sijui anaenda kufanyia nini?
Kojoa ulale
Be fair kijana wangu Yupo ukraine ameolewa huko What I say ni reality

Screenshot_2022-03-09-10-36-48.png
 
The international brewing company Heineken announced that it is stopping the production and sale of beer under the Heineken brand in Russia and refuses to receive profits from its Russian subsidiary, RIA Novosti.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Ubeberu uko katika pumzi zake za mwisho......

Ujamaa utatamalaki tena....

Siempre CCM🙏
Mungu aepushie mbali!!kama ujamaa wenyewe ndio huo tuliotaka kuingizwa chaka na JIWE!!
Nasema hivi kwa dunia ya sasa ujamaa , ni nuksi, kiongozi anakuwa kama ndiye MUNGU!!tulikuwa tukiyashuhudia N.KOREA, CUBA, CHINA, na URUSI, miaka 5, tu tulitaka kuingizwa huko, pumzi ilishaanza kukata!!MUNGU FUNDI.
 
The UK imposes a ban on the export of goods and technologies in the aviation and space industry to Russia.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Kwa hali inavyozidi kwenda nashawishika kusema kuwa katika huu mgogo inaweza kuwa ndio njia ya ANGUKO LA DOLA LA RUSSIA. Japo natamani sana dunia isiwe na Mbabe mmoja lakini huu ni UKWELI MCHUNGU. Mwenye macho sahihi, mwenye masikio kwa yanayoendelea atakubali tu kuwa ni ngumu Russia kuhimili hii vita. Russia angeweza kuhimili hii vita hata kushinda kama kusingelikuwa na suala la vikwazo vinavyogusa uchumi wake kwa kiasi kikubwa hivyo. ATAJIKAKAMUA SANA LAKINI ITASHINDIKANA TU.

Pia huu mgogoro umedhihirisha ni namna gani USA alivyo Mkubwa kuliko nchi yoyote Dunia hii kwasababu alichokifanya Russia ndicho hichohicho alichofanya Marekani sehemu nyingi lakini hakuna Mbwa yeyote aliyebweka na hata Umoja wa mataifa. Na hata miaka ya mbeleni atafanya kama hiki cha Russia na hakuna wakumzuia au kuzuia biashara zake.

Pro Russia wenzangu tuzitendee haki akili zetu kuukubali ukweli. Russia itashinda tu iwapo ndivyo Mungu alivyopanda(Miujiza) lakini KWA HESABU ZA KIBINADAMU HAIWEZEKANI
 
""Mpaka muda huu urusi imeshajirihidhisha ya kuwa haina lolote technically za kijeshi wamebakia kuringia silaha zao nzito za maangamizi ambazo haziwezi kutumika, vita hii ni kipimo madhubuti kwa Dunia"">silaha zake mjuzi akiziangamia Russian Kwishneyi! (America which this and calculate very well)
If you have nukes no one can touch you,Marekani alipeleka meli kubwa na nyambizi kubwa na madege ya kisasa huko Korea but aliishia kupiga kelele tu akarudi kwake
 
Kwa hali inavyozidi kwenda nashawishika kusema kuwa katika huu mgogo inaweza kuwa ndio njia ya ANGUKO LA DOLA LA RUSSIA. Japo natamani sana dunia isiwe na Mbabe mmoja lakini huu ni UKWELI MCHUNGU. Mwenye macho sahihi, mwenye masikio kwa yanayoendelea atakubali tu kuwa ni ngumu Russia kuhimili hii vita. Russia angeweza kuhimili hii vita hata kushinda kama kusingelikuwa na suala la vikwazo vinavyogusa uchumi wake kwa kiasi kikubwa hivyo. ATAJIKAKAMUA SANA LAKINI ITASHINDIKANA TU.

Pia huu mgogoro umedhihirisha ni namna gani USA alivyo Mkubwa kuliko nchi yoyote Dunia hii kwasababu alichokifanya Russia ndicho hichohicho alichofanya Marekani sehemu nyingi lakini hakuna Mbwa yeyote aliyebweka na hata Umoja wa mataifa. Na hata miaka ya mbeleni atafanya kama hiki cha Russia na hakuna wakumzuia au kuzuia biashara zake.

Pro Russia wenzangu tuzitendee haki akili zetu kuukubali ukweli. Russia itashinda tu iwapo ndivyo Mungu alivyopanda(Miujiza) lakini KWA HESABU ZA KIBINADAMU HAIWEZEKANI
Bidhaa ya mafuta na gesi haisusiwi ndugu yangu, utaikataa leo kesho utachukua tu. Uk mwenyewe anasema ata stop kuchukua crude oil mwishoni mwa mwaku huu, Germany na nchi zingine still bado hawaja burn uingizwaji wa ges toka Russia, niambie substitute ya gesi ulaya wataitoa wapi kwa miaka 3 au 4 ijayo?

Kama kweli unafuatilia siasa na uchumi wa ulaya utaona wazi, kuna kutegeana kwenye vikwazo kwa urusi, USA amezuia mafuta toka Urusi, nani mwingine kazuia?

Dunia ya sasa hakuna mbabe wa kiuchumi, ukiweka vikwazo mtaumia wote, vita ya uchumi haina mbabe kama ilivyo vita ya nyukilia. Dola ya urusi itayumba sawa lakin haitakufa, wale jamaa wana rasilimali zote unazozijua.
 
Putin anapingwa na raia wake mwenyewe,raia wa Ukraine,na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake,hawezi shinda hivi vita:
Assume mwanajeshi wa Urusi amkute huyu bibi, akilinda nchi yake halafu ampige risasi.Hii laana itamtafuna mpaka aingie kaburini!
This is the 68-year-old Ukrainian Kateryna Bilyk who protects her Homeland.

DON'T SCROLL BY WITHOUT WRITING RESPECT!
FB_IMG_1646813719547.jpg
 
Kwa hali inavyozidi kwenda nashawishika kusema kuwa katika huu mgogo inaweza kuwa ndio njia ya ANGUKO LA DOLA LA RUSSIA. Japo natamani sana dunia isiwe na Mbabe mmoja lakini huu ni UKWELI MCHUNGU. Mwenye macho sahihi, mwenye masikio kwa yanayoendelea atakubali tu kuwa ni ngumu Russia kuhimili hii vita. Russia angeweza kuhimili hii vita hata kushinda kama kusingelikuwa na suala la vikwazo vinavyogusa uchumi wake kwa kiasi kikubwa hivyo. ATAJIKAKAMUA SANA LAKINI ITASHINDIKANA TU.

Pia huu mgogoro umedhihirisha ni namna gani USA alivyo Mkubwa kuliko nchi yoyote Dunia hii kwasababu alichokifanya Russia ndicho hichohicho alichofanya Marekani sehemu nyingi lakini hakuna Mbwa yeyote aliyebweka na hata Umoja wa mataifa. Na hata miaka ya mbeleni atafanya kama hiki cha Russia na hakuna wakumzuia au kuzuia biashara zake.

Pro Russia wenzangu tuzitendee haki akili zetu kuukubali ukweli. Russia itashinda tu iwapo ndivyo Mungu alivyopanda(Miujiza) lakini KWA HESABU ZA KIBINADAMU HAIWEZEKANI
Vikwazo vya kufungia macdonalds ni kweli vitaua Uchumi wa Russia😎
 
The UK has already detained one Russian aircraft, the British Transport Minister said.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The dollar has updated its historical maximum on the Moscow Exchange, the rate rose to 119.91 rubles. - trading data.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Washabiki wa Putin wamekuwa corned😊 , hakukuwa na sababu yyte ya msingi kuivamia Ukraine huo ni ubabe wa wazi kabisa na kuingilia Uhuru wa nchi nyingine kimaamuz , Ukraine Wana haki kabisa kuchagua upande wanaounga mkono , hata kama tulikuwa pamoja now tumeachana Nina haki ya kuchagua upande salama kwangu,

Russia angesubir ashambuliwe na Hao anaowaita NATO na USA tokea Ukraine na sio kustrike first Kwa Hsia Hasi ambazo sizani hata NATO walikuwa na mpango huo Wa kusimika jeshi Ukraine ili wampige Russia ...

Narudia tena huwez kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye hata kama mnaishi jirani😊
 
Back
Top Bottom