kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Naendelea tu kukumbusha [emoji23][emoji28][emoji16]We kenge hata wafe warusi milioni poa tuh maana kila mtu lazima afe na kila cku wanazaliwa watu wanakufa watu ...tatizo hio ardhi ikichukuliwa ndio bye bye hakuna ardhi ya kuzaliwa tena ...
Tazama ile ni picha halisi hivyo kua makini wakati unajitoa akiliWewe unaielewaje hii picha??[emoji848][emoji848]View attachment 2483709
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata wakinizomea.,Cha msingi nazidi kuwaumbua na huo upupu mnaotaka kutulisha hapa,Tazama ile ni picha halisi hivyo kua makini wakati unajitoa akili
pro Ukrainians wenzio. Watakuzomea
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ongeza na nyingine umeisahau mobilization ya watu laki tu😃Point za uyo ratgay kila cku
1.operation ya saa 72 kua ndefu
2.kulambishwa mchanga ..hii huendana na kale kapicha Cha statistics
3.msafara mrefu ..hapo pia kanaekaga na hio picha ya msafara
4.hirmas ,hirmas,hirmas
5.putin kujuta kuingia kwenye hii vita 😂
Nk.
Imenistua sana,toka Soledar itiwe kwapani wamepotea ghafla,Kuna nini nyuma ya pazia?Pro NATO Naona wameingia mitini,kabaki mmoja anarukaruka!
Una isaidiaje hii sura ya huzuni ya huyu jamaa vipi tume I edit piaHata wakinizomea.,Cha msingi nazidi kuwaumbua na huo upupu mnaotaka kutulisha hapa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bado wana jiulizaImenistua sana,toka Soledar itiwe kwapani wamepotea ghafla,Kuna nini nyuma ya pazia?
Na wengine laki Tano mkuu [emoji28][emoji23][emoji16]Ongeza na nyingine umeisahau mobilization ya watu laki tu[emoji2]
Sawa,wewe kwanza niambie unasaidiaje kutibu hayo manundu anayozidi kupewa dikiteta [emoji16]Una isaidiaje hii sura ya huzuni ya huyu jamaa vipi tume I edit pia
Tafsiri yake hapo kasha kata tamaa!!!
View attachment 2483731
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkono mkuu.Leo meona Kuna baadhi ya pro rusia hawana akili ....yaani mnabishana na shoga kipanya mnaangaika kumletea evidence yeye ndio kwAnza anajibu uchoko alafu bdo hamkomi mnaendelea kubishana nae ...ukibishana na chizi nawe utakua chizi
Acha kudanganywa na propandist wa kirusi,huo mji ndio umekuwa kichinjio kwa askari wa urusi mpaka Leo hiiImenistua sana,toka Soledar itiwe kwapani wamepotea ghafla,Kuna nini nyuma ya pazia?
Huyo mwenyewe baada ya kutoa hiyo coment hajaacha kunikwot [emoji16][emoji23][emoji28]Nakuunga mkono mkuu.
Acha porojo wewe mamaWewe unaweza kumshitaki baba yako anayekupa ugali wa siku??
Huyo lukashenko hapo alipo ni Kwa msaada wa Putin tu, atawezaje kuinua kinywa dhidi yake?
Kilio Cha lukashenko huwezi kukiona wewe Wala Mimi maana ni kama kilio Cha samaki
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wamekutana karibia wote waongo waongo,unasoma comment unabaki kuduwaa.Acha kudanganywa na propandist wa kirusi,huo mji ndio umekuwa kichinjio kwa askari wa urusi mpaka Leo hii
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
.Na wengine laki Tano mkuu [emoji28][emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app