kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Pro Russia Kwa uongo hawajambo, ndio maana nawakalia kooni nikizidi kuwaumbuaWamekutana karibia wote waongo waongo,unasoma comment unabaki kuduwaa.
Hauna picha nyingine ya kubadilisha mkuu [emoji23][emoji28][emoji16]
Mnatuletea uongo hapa lazima niwaumbue,Acha porojo wewe mama
Huko soledar warusi wanazidi kutembezewa mkong'oto.., acheni kuwalisha watu matangopoli
Na ile picha ya nguruwe 🤣🤣🤣Ongeza na nyingine umeisahau mobilization ya watu laki tu😃
Ukiona urusi kakiri kudungua drone ya ukraine ujue tayari ameshaipatapata..,hata kule kwenye Lile shambulizi alilofanya Ukraine ndani ya urusi na kuwaua askari wanne wa urusi..,walidai kwamba drone imetunguliwa, baadae picha za satilaiti zilizoonesha uharibifu mkubwa zikawaumbua[emoji16][emoji779]️Air Defence Systems Shoot Down Suspected Ukrainian Drone Over the Sea Near Crimea Port City of Sevastopol - Local Governor
BREAKING @RT_India_officialView attachment 2483797
Yule sio nguluwe,ni dikiteta aliyejificha chini ya andaki [emoji28][emoji23]Na ile picha ya nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona urusi kakiri kudungua drone ya ukraine ujue tayari ameshaipatapata..,hata kule kwenye Lile shambulizi alilofanya Ukraine ndani ya urusi na kuwaua askari wanne wa urusi..,walidai kwamba drone imetunguliwa, baadae picha za satilaiti zilizoonesha uharibifu mkubwa zikawaumbua[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Narudia tena wewe hujitambui na hutaki kupata elimu kuhusu hii vita.Wewe ungekuwa unajitambua usingeunga mkono uvamizi wa taifa hambalo halijawahi kurusha hata jiwe kwenye mipaka ya taifa vamizi!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Watu wanaojitambua wapo upande wa urusi Kwa sababu wanajua sababu ya hii vita.Wewe ungekuwa unajitambua usingeunga mkono uvamizi wa taifa hambalo halijawahi kurusha hata jiwe kwenye mipaka ya taifa vamizi!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huo ni ukweli hambao Wala hauwezi kujificha.., kile alichokiita urusi operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka danadana hambazo hajui hatima yake itakuwa lini,Waekee ile comment yako pendwa ya kucheza danadana
Wewe ndio hutaki kujitambua kutokana na chuki na husda na roho mbaya kwa America kuwa super pawer.., marekani ndio kilanja wa dunia..,hiyo itabaki hivyohivyo mpaka nature itakapoamua vinginevyo,Narudia tena wewe hujitambui na hutaki kupata elimu kuhusu hii vita.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Huwezi kuw mtu anayejitambua halafu ukaunga mkono uvamizi unaosababisha umwagaji mkubwa wa damu..,ni shetani pekee asiyependa kuona amani ikitawalaWatu wanaojitambua wapo upande wa urusi Kwa sababu wanajua sababu ya hii vita.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Bwana mdogo, Russia alishaweka wazi siku nyingi kwamba yeye hana shida na huyo US kujipa au kupewa ukiranja wa Dunia na kusimamia Demokrasia ya Dunia. Wao wanachosimamia pekee ni mpuuzi yeyote asiwaingilie kwenye mambo yao.Wewe ndio hutaki kujitambua kutokana na chuki na husda na roho mbaya kwa America kuwa super pawer.., marekani ndio kilanja wa dunia..,hiyo itabaki hivyohivyo mpaka nature itakapoamua vinginevyo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huwa nacheka unavyowatoa povu, halafu wote wanajaa kama kumbi kumbi wameona mwanga wa taa.Wanatokwa povu weee [emoji3][emoji3]Pro Russia Kwa uongo hawajambo, ndio maana nawakalia kooni nikizidi kuwaumbua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nilidhani dada mpendwa ni vema usijiingize katika ubishi na hoja za huyo 'ki-rat'...utapoteza bure heshima yako.....hoja zake hazina mkia Wala miguu...utapoteza heshima dada...ni ushauri tu...Huwa nacheka unavyowatoa povu, halafu wote wanajaa kama kumbi kumbi wameona mwanga wa taa.Wanatokwa povu weee [emoji3][emoji3]
sasa waliojiondoa pale kiev ni akina nani? Haya ndo matatizo ya kutumia simu ya shemeji yako kinyemelaUle msafara ulichakazwa,hakubakia hata nzi,acha kutupiga fix
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app