kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Kifo kwa sisi wanajeshi ni kawaidaHaya hawa wase#$@ warusi wanapeleka hadi ndugu zetu Watanzania frontline.selikali ipo kimya tuView attachment 2484178
Ndio maana nilikwambia usome kuanzia mwanzoni mpaka mwisho wa hii thread,hizo video zipo humu, lakini Kwa kuwa wewe umeanza kufuatilia huu mgogoro wiki iliyopita,ndio maana unauliza mambo ya kitoto,
Tatizo linakuja pale Russia anapowapeleka machinjioni vijana wa nchi nyingine hambao Wala hawahusuki na hii vita,Kifo kwa sisi wanajeshi ni kawaida
Hakuna utoto hapa. Vita bado inaendelea huko Ukraine.Ndio maana nilikwambia usome kuanzia mwanzoni mpaka mwisho wa hii thread,hizo video zipo humu, lakini Kwa kuwa wewe umeanza kufuatilia huu mgogoro wiki iliyopita,ndio maana unauliza mambo ya kitoto,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuambia urekebishe kwanza mwandiko..,huo muandiko wako unachoshaHakuna utoto hapa. Vita bado inaendelea huko Ukraine.
Kumbe ulikuwa unaniambia kuchinjwa ni tangu mwaka jana
Anae sema kua warusi wanachinjwa huko vitani ni Wewe lakini ushahidi una wa mwaka jana
Mbona hueleweki sasa. Yani unataka tuendelee kubaki nyuma wakati siku zinaenda lol pole sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Swali jepesi unaumia kwa kufa kwa huyo mtanzania.?Tatizo linakuja pale Russia anapowapeleka machinjioni vijana wa nchi nyingine hambao Wala hawahusuki na hii vita,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Rekebisha mwandiko kwanza kijana,Swali jepesi unaumia kwa kufa kwa huyo mtanzania.?
Vipi kuhusu nchi ya Ukraine inavyo teketea na kubaki magofu?
Ipi hasara zaid?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tayari imepenya hiyo. Watu kama nyinyi ni wakujibiwa namna kwa mnavyo elewa!!!
Hapa umeandika vizuri Sasa...,leta hoja yako tuendelee [emoji106]Tayari imepenya hiyo. Watu kama nyinyi ni wakujibiwa namna kwa mnavyo elewa!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Gurudumu Moja inatosha kusukuma gari Mzee..,nawaomba wenzangu waendelee kupumzika huko waliko..,huu mziki waniachie[emoji16]'Ki-rat' inaelekea kwa sasa is a one man army. Wenzie naona wanajificha huku wakichungulia kwa mbali kuona kama the tide will change....This is for real guys....'Don't run you will die tired'.
Kwamba umejitoa ufahamuTatizo linakuja pale Russia anapowapeleka machinjioni vijana wa nchi nyingine hambao Wala hawahusuki na hii vita,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndiye unayejaribu kujitoa ufahamu kwa kujifanya huwaoni waafrika wenzetu wanaochinjwa kwa amri kutoka Kwa viongozi wa urusi,Kwamba umejitoa ufahamu
Putin Naye aache kukaaa kwenye andaki huko clemlin..,ajitokeze Naye front line aende kuwatia Hamas vijana wake kama anavyofanya mwenzake zelensiky..,HAYA HAYA, HUKO FRONTLINE MAMBO NI MOTO....SHOIGU NAYE ATEMBELEA FRONTLINE KUWEKA MIKAKATI YA KUWATOKOMEZA NATO
Russian defense minister visits frontline headquarters
Sergey Shoigu spoke with commanders and awarded medals to troops, the ministry says
Defense Minister Sergey Shoigu (L) at the headquarters of the ‘East’ grouping of the Russian forces taking part in the military operation in Ukraine. [emoji2398] Russia’s Defense Ministry
Russian Defense Minister Sergey Shoigu inspected the headquarters of the ‘East’ grouping of forces taking part in the country’s military operation in Ukraine, the Defense Ministry said on Tuesday.
At the battle HQ, Shoigu heard reports from commanders on the current military situation on the ground and the maneuvers performed by Russian units, the ministry said in a statement.
The minister paid special attention to the organization of comprehensive supplies for frontline troops, the construction of fortifications, and the creation of conditions for the safe deployment of servicemen in the field, as well as the work of medical and rear units, it added.
Shoigu thanked the troops for their service and personally awarded medals to a number of soldiers, including military medics, who had distinguished themselves in combat.
“You’re serving with dignity, protecting our Motherland, helping those who need help, doing everything to bring closer the day called the Victory Day. I’m sure we’ll do everything for this day to come,” he told the servicemen, as quoted by the ministry.
Shoigu has visited the frontline on several occasions since the start of Russia’s military operation in Ukraine last February. His last took place in December and saw the minister reviewing the accommodations of the personnel and talking with soldiers.
The most recent visit follows last week’s announcement of major changes in the command of the Russian military operation in Ukraine. The head of the Russian General Staff, General Valery Gerasimov, has been appointed to lead the joint forces group, while the former commander of the operation, General Sergey Surovikin, has become his deputy.
The Defense Ministry said the reshuffle was required to “raise the operation command level” due to the “increased scale of the combat missions” carried out by the Russian military in Ukraine, and achieve closer coordination between various services and branches of the armed forces.
READ MORE: Russia announces new head of Ukraine mission
Last week, Moscow also officially confirmed the capture by its forces of the key town of Soledar in the Donetsk People’s Republic. The success is considered crucial for the Russian operation to encircle the major Ukrainian stronghold and logistics hub, Artyomovsk (called Bakhmut by Kiev).
Nikweli wewe bisha migambo 8 masoja 2 ndiyo ratio anayo utumia urusi kwenye uwanja wa vita yaani 7 kwa 3 au 8 kwa 2 majuzi ndiyo ratio imeongezwa kuwa 6 kwa 4Hata huko field Huwa tunaambiwa kwamba urusi hajatumia jeshi lake kamili ( red army) tunaambiwa kwamba wale wanaotumiwa ni mgambo tu na jeshi la Urusi alijaingia front..,kitu Cha kushangaza tumeona majenelali wengi mashuhuli wa urusi wakichinjwa mchana kweupe kwenye uwanja wa vita..,pro Russia hamhishiwa vituko [emoji28][emoji16][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iyo air defence bora inaitwajeKama tu wabeba javelin Pamoja na manpad wamemchakaza huyo urusi mpaka akakimbiza vifaru na ndege zake kama mbwa mwizi,ataiwezaje islaer yenye Air defense Bora kabisa dunian??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umesahau Zelensk alisema ukienda Ukraine unapewa uraia na silaha juu ili kuwasaidia kupigana na Warusi.Tatizo linakuja pale Russia anapowapeleka machinjioni vijana wa nchi nyingine hambao Wala hawahusuki na hii vita,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafananisha Rais wa Dunia na takataka.Urusi anategemewa na Dunia nzima.Zelensk anategemewa na nani?.Putin Naye aache kukaaa kwenye andaki huko clemlin..,ajitokeze Naye front line aende kuwatia Hamas vijana wake kama anavyofanya mwenzake zelensiky..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app