Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yani mambo ya ndani ya jeshi la Urusi uje kujua wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ilo litakuwa jeshi la Urusi la Kibo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nani unayemjua ambaye yupo Urusi kalazimishwa kwenda kupigana.ebu mtaje mmoja
 
Juzi juzi jamaa katamka wazi kuwa hawezi kuiacha Russia ipotee. Ngoja waingie waone.
 
Mataifa Gani hayo. Watu wanaogopa kuingilia wanajua kitakacho wapata
 
Wote wataswagwa hao .., HIMARS Haina habari na vitu vipya kutoka kiwandani.,ni mwendo wa kupeleka moto tu, [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Himars zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.vitani hazina kazi[emoji23][emoji23][emoji23].

Ni machuma chuma ya kazi bure
 
Sasa umenyoosha maelezo....vgood
 
Hiyo ndio ghalama ya kulinda uhuru Mzee.., uhuru haupatikani Hivi hivi tu kama maji .., uhuru lazima uwe na ghalama yake, iwe mvua liwe jua lazima dikiteta apigishwe danadana kwa ghalama yoyote

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nikianza kuwataja hapa severs za jamiiforum hazitatosha kuwajaza hapa,kwa ufupi ni kwamba waafrika wenzetu wanaendelea kuchinjwa huko urusi Kwa hamri ya dikiteta Putin

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shida yako unapayuka tu kujifurahisha.ukiambiwa ulete ushahidi unakimbia mbio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…