Mkulima wa ngano na jeuri ya kuteka kifaru cha superpower Urusi. 🙂🙂🙂
Propaganda katika level nyingine hii, sasa na wewe unaamini huyu bibi analinda nchi? bunduki yenyewe kashika kama analenga paka na manati. acheni ujinga wanaopigana hata kwenye media hutawaona hawa wa kwenye media kila siku wauza sura tu wanaume wako frontline huko camera zenyewe hazifiki.Putin anapingwa na raia wake mwenyewe,raia wa Ukraine,na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake,hawezi shinda hivi vita:
Assume mwanajeshi wa Urusi amkute huyu bibi, akilinda nchi yake halafu ampige risasi.Hii laana itamtafuna mpaka aingie kaburini!
This is the 68-year-old Ukrainian Kateryna Bilyk who protects her Homeland.
DON'T SCROLL BY WITHOUT WRITING RESPECT!View attachment 2144263
Kipindi iran na Venezuela wamewekewa vikwazo ,russia haligoma kuuza nin ulaya,adi ionekane wakikubal wao kuuza itakua usalitHataweza kiuchumi.
Next week Iran na Venezuela wanaondolewa vikwazo vya kiuchumi na kuanza kuuza mafuta kwenye nchi za Ulaya.
Kama Iran watakubali basi Vikwazo vya Nishati kwa Urusi vitakuwa vikali kabisa,lakini kama wakikataa basi ni wazi Ulaya hawana mbadala wa mafuta ya Urusi kwa mda huu. Ndio maana wanaharakisha kuondoa vikwazo kwa Iran na Venezuela.
Kama Iran na Venezuela watakubali basi watakuwa wameisariti Urusi ambayo ilikuwa nao bega kwa bega pindi walipobanwa na vikwazo.
Poland ilitoa hiyo ofa jana kwamba itazipeleka kwenye airbase ya Marekani iliyopo Ujerumani na kisha Marekani ndio izipeleke yenyewe Ukraine. Leo msemaji wa Pentagon kakataa eti it will rise serious concern for the entire NATO alliance. Sasa walitaka Poland aingie mkengeunataka kusema hii habari sio ya kweli?
[emoji116]
Fak news,
Warusi wanauwawa kweli wanaachiwa waingie wanazingirwa wanauwawa that what happening at now.
Mkulima akijisevia kifaru sijui anaenda kufanyia nini?
Be fair kijana wangu Yupo ukraine ameolewa huko What I say ni reality
Kijana kuolewa ndio kuwa ripota wa vita?Mkuu bora ungechangia tu bila kuweka hili.Sidhani kwa purukshani zilivyo hatakuwa na muda wa kujua huyu ni mrusi au Wa Ukraine.Yeye nae anapata taarifa kama wewe.
View attachment 2144215
hawana akili kabisaHalafu kuna vijana wajinga wanakaa sebuleni kwa shemeji zao wanakaa hapa wanaanza kushabikia vita
Mbona marekani alizuia Russia kuweka military base Cuba?USA ilimwambia Russia kuwa meli zake za Kivita atazishambulia kabla hazijafika Cuba na kama itatokea vita ya 3 ya Dunia,so be it!Washabiki wa Putin wamekuwa corned😊 , hakukuwa na sababu yyte ya msingi kuivamia Ukraine huo ni ubabe wa wazi kabisa na kuingilia Uhuru wa nchi nyingine kimaamuz , Ukraine Wana haki kabisa kuchagua upande wanaounga mkono , hata kama tulikuwa pamoja now tumeachana Nina haki ya kuchagua upande salama kwangu,
Russia angesubir ashambuliwe na Hao anaowaita NATO na USA tokea Ukraine na sio kustrike first Kwa Hsia Hasi ambazo sizani hata NATO walikuwa na mpango huo Wa kusimika jeshi Ukraine ili wampige Russia ...
Narudia tena huwez kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye hata kama mnaishi jirani😊
kwa mabomu ya nyukriaWashabiki wa Putin wamekuwa corned😊 , hakukuwa na sababu yyte ya msingi kuivamia Ukraine huo ni ubabe wa wazi kabisa na kuingilia Uhuru wa nchi nyingine kimaamuz , Ukraine Wana haki kabisa kuchagua upande wanaounga mkono , hata kama tulikuwa pamoja now tumeachana Nina haki ya kuchagua upande salama kwangu,
Russia angesubir ashambuliwe na Hao anaowaita NATO na USA tokea Ukraine na sio kustrike first Kwa Hsia Hasi ambazo sizani hata NATO walikuwa na mpango huo Wa kusimika jeshi Ukraine ili wampige Russia ...
Narudia tena huwez kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye hata kama mnaishi jirani😊