Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Huyu jamaa kwa siku za hivi karibuni ndo nimegundua kuwa mind state yake inahitaji msaada hasa wa kiroho zaidi. Kwanza anaishi kwenye fantasy za west na nimtetea lgbtq at highest level, ebu angalia karibia timu upinde wote wamenyamaza na kuelewa matokeo ya vita lakini yeye haamini yaan yupo tayari hata kubishana na western media zaoPoint za uyo ratgay kila cku
1.operation ya saa 72 kua ndefu
2.kulambishwa mchanga ..hii huendana na kale kapicha Cha statistics
3.msafara mrefu ..hapo pia kanaekaga na hio picha ya msafara
4.hirmas ,hirmas,hirmas
5.putin kujuta kuingia kwenye hii vita [emoji23]
Nk.
Isis Ni zao la US.ukipata nafasi fuatilia kuhusu nyaraka zilizovuja za bi Clinton alizomtumia Obama kuhusu hao ISIS.Angetoka kweli, sema baada ya Isis kuibuka na kuteka maeneo makubwa huko Syria na Iraq wakubwa waliamua kupambana na adui mpya hatari zaidi yake na tishio kwao kwa wakati ule.
KHerí katanguliaMnamo mwezi wa 6 mwaka 2022 waziri wa mambo ya ndani wa Ukrein alisema kua. Rais wa URUSI mwamba PUTIN atakufa hivi karibuni.
Lakini bahati mbaya amekufa yeye kwanza.View attachment 2486471
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila mzee nasikia ni kampuni ya ulinzi kama ya masanja ndio inawapelekea moto natoMarekani hii vita inawatoa mshipa (busha) gharama za kufadhili vita hii ni kubwa kuliko hata bajeti ya jeshi zima LA URUSI .wakati huko majeshi ya urusi yakisonga mbele kwa kasi ya roketi
Lengo la sanctions ilikua kumdhoofisha kiuchumi Russia ili aondoe majeshi yake Ukraine.Naona sasa hivi zile tambo za Sanctions hazisikiki tena.
Maana ilikiwa kila wiki lazima watangaze. Lakini sasa hivi kimya..
Sijui Ukraine alikengeuka wapi, ukiangalia miaka ya nyuma kuna ripoti kutoka Ukraine walikua wanasema US inataka kuwapeleka kwenye vita na Russia ina maana walikua wanajua US yukoje.Miezi hii kiukweli ni raha sana kuona awa kenge waliopewa jeuri na Marekani wakipewa malipo yao ya Usaliti.
Hili ni funzo tosha kwa yoyote yule atakayefanya usaliti basi ategemee kulipwa kama ivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@T14 ArmataKerry says Syria’s Assad must go but timing negotiable
US secretary of state calls on Russia and Iran to use their influence to convince Syrian leader to negotiate.
Obama tells UN: Syria's Assad must go
Obama tells UN: Syria's Assad must goClose
US President Barack Obama says the United States is willing to work with Russia and Iran to remove Syrian President Bashar al
Naona sasa hivi zile tambo za Sanctions hazisikiki tena.
Maana ilikiwa kila wiki lazima watangaze. Lakini sasa hivi kimya..
Huyu ndio anafaa kua rais wa UKRAINEZelensky Is Destroying Ukraine — Exiled Opposition Leader
The policies of President Vladimir Zelensky's government – based on hatred and intransigence towards Russia – are inevitably driving Ukraine into poverty, the former parliamentary opposition leader has warned.
Viktor Medvedchuk, who was forced into exile after being arrested by the SBU (the successor agency to the Soviet KGB), claims that Kiev is encouraging the same approach in other European states. He believes that such dangerous sentiment could even lead to an eventual nuclear standoff.
Medvedchuk’s political party was the second largest in the current Ukrainian parliament, before it was banned last year. The rump of the faction is now closely controlled by Zelensky's "Servant of the People" group.
Read what else Medvedchuk had to say on RT’s website:
Zelensky is destroying Ukraine – exiled opposition leader
Viktor Medvedchuk has penned a keynote article on the Ukrainian conflict and on how it could be resolvedon.rt.com
Subscribe to RTView attachment 2486708
The US said that the defeat of Ukraine would have global consequences
US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interestsThe US said that the defeat of Ukraine would have global consequences
US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interests
Hilo jambo ni sawa na kusubiri siku swala amle chui!Bado huyu nguchiro [emoji3525][emoji3525]View attachment 2486491
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndio unayeshinda na hizo habari zako za mchongo [emoji16][emoji28] huchoki kiboko habari zisizo na kichwa Wala miguu,Kipanya44 unateseka ukiwa kwa mparange sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo ndio hoja dhaifu mlizobakizobakiwa nazo baada ya mambo kuwa moto huko battle frontUkraine sasa analipua maghara yao ya vyakula mwenyewe anasingizia Russia ili spate international attention huku kila mmoja Alisha muona fala