kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kama jinsi hambavyo urusi imebaki. History baada ya kusambaratika.., urusi ya Sasa bado yupo kwenye ndoto ya USSR ndio maana anajikuta anajitutumua tu wakati uwezo Hana[emoji2]Uingereza ya sasa ni just history broo na ndio ukweli mchungu
Infact imepigwa mara kibao tu just they are not invincible
Wanachinjwa lakini wanazidi kuongezwa wengine,na hii ndio hulka ya urusi,ni kama kenge tu, hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]Tatizo sio habari naona mnajidhalilisha maana tangu mlipo anza kutaja habari za wanajeshi wanao fia front line mpaka sasa miji ingekuwa isharudi mikononi kwenu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vita vikiisha naomba usikimbie hapa jukwaani sisi kama wazee wa URAAAAAAAA🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 tunataka utoe ushuhuda wako...Exactly, kazi yangu ni kuwaumbua mawakala wa fashisti hambao hawaishi kuleta uharo wao hapa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wemeongezwa wangapi. Kwa hiyo bado miji hamjaikomboaWanachinjwa lakini wanazidi kuongezwa wengine,na hii ndio hulka ya urusi,ni kama kenge tu, hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mpaka Leo unauliza wameongezwa wangapi? Ina maana huna habari na mobilization ya asikari laki tatu aliyofanya huyo super pawer wa kuchonga? Ndio maana nikakwambia usome kuanzia mwanzoni mpaka mwisho wa hii thread uielewe hii vita vizuriWemeongezwa wangapi. Kwa hiyo bado miji hamjaikomboa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unajua habari ya mobilization ya askari laki tatu imefanyika wakati gani na mpaka leo hii bado mnaendelea kutoa taarifa za vifo vya wanajeshi wa URUSI tu tena mnasema kwa siku wanakufa mpaka 700+ kwa mujibu wenuMpaka Leo unauliza wameongezwa wangapi? Ina maana huna habari na mobilization ya asikari laki tatu aliyofanya huyo super pawer wa kuchonga? Ndio maana nikakwambia usome kuanzia mwanzoni mpaka mwisho wa hii thread uielewe hii vita vizuri
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo hiyo itakayobaki,ilimradi jina lake liwe Ukraine!Ukraine ipi itayokujankudaiwa!!??😁😁😁 inaweza isiwepo au ikawa robo
Idadi ya warusi wanaochinjwa huko Ukraine ndo kwanza inakaribia laki mbili Mzee.., mobilization yenyewe ilijumuhisha asikari laki tatu, hivyo hizo takwimu mnazoletewa bado ni ndogo sana kulingana na idadi ya askari wa urusi walioko front..,na hii huenda ni Kwa Sababu ya ukweli kwamba Ukraine haitoi idadi ya askari wa urusi wanaojeruhiwa au kutiwa vilema huko battle front,,wao mameconcetrate kutoa tu idadi ya askari wa urusi wanaochinjwa,Unajua habari ya mobilization ya askari laki tatu imefanyika wakati gani na mpaka leo hii bado mnaendelea kutoa taarifa za vifo vya wanajeshi wa URUSI tu tena mnasema kwa siku wanakufa mpaka 700+ kwa mujibu wenu
Ina maana bado tu nguvu ya hao askari laki tatu iko, wakati miji iko iliyotekwa pia inahitaji askari wa kulinda, hiyo miji huoni kama nguvu ingekuwa ishapungua na hata miji kuirudisha.
Mwenzetu inatumia vipi akili katika kufikiria
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata ikibaki Kyiv Mzee, Ukraine iliyo chini ya rais zelensiky bado IPO sana na itaendelea kumtoa kamasi super pawer wa kuchonga kwa muda mrefu tu ujao!Hiyo hiyo itakayobaki,ilimradi jina lake liwe Ukraine!
So uvumilie unapoona mwenzako kapost silaha za Ukraine zilizotekwa/kuteketezwa!Kwa hiyo kama hiyo ndio kazi ya silaha unataka tukiona silaha za urusi zimetekwa tukae kimya ,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona kazi ya panya unafanya ww siku iz ..au ndio panya kaona ajigawe mara mbili ili kueneza ufala wakeJan. 19 update on russian losses in the warView attachment 2487273
😆😆😆😆,hata utukane haututoi kwenye reli!Aliyedhamiria kuwakera watu yeye ndiye kajaa upepo🤪🤪🤪!Pro NATO wana wakimbia kwa sababu wanaona wazi hamna hoja zaidi ya utopolo tu..,nyie mkipewa hoja hamna mnachojibu zaidi ya uharo tu..,ndio maana Huwa nawaambieni kwamba Mimi Niko hapa kwa ajili ya kuwafanya mkereke tu..,ndio! Niko hapa Ili mkelwe kwani unashangaa!?
Siwezi kuchosha akili yangu kujibizana na mtu hambaye hata ukimletea huja yenye ukweli namna Gani lazima apinge Ili asionekane ameshindwa..,hayo ni matumizi mabaya ya akili..,nyie kama mlivyo machoko, lazima mpewe majibu ya kichoko,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo sasa umedhihirisha ujinga wako vizuri. 1 ili uwaone kua hao wanao karibia laki mbili kufa ndio hao hao wanao miliki miji ya Ukraine. Hapa nili taka kuona namna ya uwezo wako wa kufikiri nimeona mdogo mno. Mobilization ni askari laki tatu halafu machizi wenzio wanasema askari karibu laki mbili wamekufa teyar miji ingekuwa ya kwenu.Idadi ya warusi wanaochinjwa huko Ukraine ndo kwanza inakaribia laki mbili Mzee.., mobilization yenyewe ilijumuhisha asikari laki tatu, hivyo hizo takwimu mnazoletewa bado ni ndogo sana kulingana na idadi ya askari wa urusi walioko front..,na hii huenda ni Kwa Sababu ya ukweli kwamba Ukraine haitoi idadi ya askari wa urusi wanaojeruhiwa au kutiwa vilema huko battle front,,wao mameconcetrate kutoa tu idadi ya askari wa urusi wanaochinjwa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii vita inapiganwa sana kwa kutumia media.mwanzoni walisema vifaru vya urusi vimeharibiwa ni vibovu.lakini leo naona tena ukraine inaomba vifaru toka western.pia naamini ukraine imebaki magofu tu.Wale wanaosema Urusi [emoji635][emoji635] inaishiwa makombora,mjadala umefungwa Leo
[emoji298]️We produce three times more air defense missiles than the United States, in general, we produce about the same amount of air defense missiles as all the defense industry of the world produce - Putin https://t.co/RZlHiMobmb
Unajua wakati mwingine tusiwe tunakuwa overly biased - hivi hujawahi kusikia raia wa Merikani kuuuwawa na wengine kuitwa vilema wanapo andamana kupinga Serikali yao kwenye msauala ya ndio sivyo, mkuu yaani umesahau raia walio uwawa na kutiwa vilema walipo vamia Bunge kupinga wizi wa kura zilizo mpa ushindi Joe Biden, Taifa unalo lisifia kila siku kwamba linajali demokrasia na human rights, kumbe ndio wakihukaji wakubwa wa haki za binadamu na demokrasia - haya sasa twende Continental Europe siku za hivi karibuni kumuzuka maandamano makubwa ya raia wa Ulaya kupinga Serikali zao kufuata American foreign policy blindly za kuichukia Urusi bila sababu za msingi, wanasema waache Warusi na Waukraine wamalize tofauti zao bila ya kuingiliwa/shinikizwa na Merikani ambayo lengo lake hasa ni kutaka kuchonganisha mataifa ya Ulaya na Urusi ili yasielewane mwisho wa siku Merikani iweze kuzitawala nchi za Ulaya kwa kupitia kwenye remote control, kama nakumbuka vizuri mwaka jana Amerika iliwahi kupendekeza Ujerumani ihamishie viwanda vyake Merikani ambako tarrif za nishati ni ndogo hata Taiwan na South Korea wameshauriwa wahamidhie viwanda vyao vya semiconductors huko Merikani!!! Jamaa hawa wapuuzi kweli kweli wanajali maslahi yao tu, hawajali chochote kuhusu ustawi/maendeleo ya raia wa Ulaya wala Serikali zao hata mataifa ya far east yenye modern foundries za ku-manufacture micro chips wanataka nazo zihujumiwe - jamaa hawa si watu wazuri hata kidogo - ndio maana hawampendi kabisa Putin ambaye anashauri kwamba Dunia hisikubari kuburuzwa/tawaliwa kiuchumi na mataifa wachache ya magharibi - Dunia iunde mfumo mpya unao jali maslahi ya mataifa yote na kikubwa kuheshimiana, Anglo-Saxon gang hilo hawataki kulisikia kabisa - wapo radhi hata kumuua Putin ikiwezekana.Unasema asilimia kubwa ya warusi wanamkubali Putin wakati maelf ya warusi walitiwa kilema kwa sababu ya maandamano ya kupinga vita ya kumpinga dikiteta.., tatizo mnaforce nyeusi iwe nyeupe,kitu hambacho hakiwezekani kamwe,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Warusi wenzenu wanaisha huko..,kaongezeni reinforcement,Jana tu walichinjwa zaidi ya 750🥱🥱View attachment 2487127
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii vita inapiganwa sana kwa kutumia media.mwanzoni walisema vifaru vya urusi vimeharibiwa ni vibovu.lakini leo naona tena ukraine inaomba vifaru toka western.pia naamini ukraine imebaki magofu tu.
Unasema siwezi kuwatoa kwenye reli wakati unahangaika kunikwot [emoji16][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],hata utukane haututoi kwenye reli!Aliyedhamiria kuwakera watu yeye ndiye kajaa upepo[emoji2957][emoji2957][emoji2957]!
Pro NATO wamekimbia baada ya kuona hali si shwari Kwa upande wao!
Ukraine akajikongongoja watakuja hapa!
Pole kama umeumia,ndio hivyo vumilia maumivu!
Sio ugomvi lakini