kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nivumilie tu wakuu,Mimi nipo hapa sana. , mkiletewa hoja za maana mnajibu uharo,ndio maana pro NATO wenzangu wakaamua kukimbia..tunachofanya hapa ni kupigishana danadana kama anavyofanya yule super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji1787]Mtu anasema yuko hapa kwa ajili ya kuwakera watu ..sizan Kama mwanaume anayejielewa anaeza kua na Mambo haya ..afu mda wote uko social media we huna watu wa kuongea nao ..tafuta kazi kijana huo ushoga hautakulipa kila cku
Nivumilie tu wakuu,Mimi nipo hapa sana. , mkiletewa hoja za maana mnajibu uharo,ndio maana pro NATO wenzangu wakaamua kukimbia..tunachofanya hapa ni kupigishana danadana kama anavyofanyiwa yule super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji1787]Mtu anasema yuko hapa kwa ajili ya kuwakera watu ..sizan Kama mwanaume anayejielewa anaeza kua na Mambo haya ..afu mda wote uko social media we huna watu wa kuongea nao ..tafuta kazi kijana huo ushoga hautakulipa kila cku
Nionyeshe comments yangu yoyote nilipoonyesha ku-mind kwa habari ya silaha za ukraine zilizotekwa au kuteketezwa!So uvumilie unapoona mwenzako kapost silaha za Ukraine zilizotekwa/kuteketezwa!
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha!
Wewe ulitaka zelensiky afanyeje kama sio kutekeleza sera za hao unaowaita marekani na EU?Unacho sahau maandishi haya niya Kiukraine sio Kurusi, now, knowing Senselessky as we do, that is a comedian per excellence anaweza kuandika chochote kwamba kisha chinja Warusi 1.5 million na kuteketeza vifaru laki nane - halafu Bunge la Merikani linampigia makofi ya kumsifia alivyo shujaa kwa kutumia Taifa lake na watu wake kutekeleza hidden agenda za Merikani - fyatu kabisa jamaa huyu.
Sio lazima silaha yoyote inayotumika huko vitani lazima upewe report ya performance yake Mzee..,waandishi Wana kazi nyingi za kufanya..,unataka upewe report kuhusu performance yaJAMANI DRONE ZA UTURUKI ZILE WALIZOKUWA WANATUMIA UKRAINE BADO ZIPO ZINAFANYA KAZI?
AU ZISHAANGUSHWA??
Tukumbushe mara ya mwisho imepigwa na nani ?Uingereza ya sasa ni just history broo na ndio ukweli mchungu
Infact imepigwa mara kibao tu just they are not invincible
Reporters hawawezi kumudu kutuhabarisha kila aina ya silaha inayotumika huko vitaniZILE AINA YA TB2,
Wanazo bado au tayari hazina kivu.
TB2
Wameuliza ili wajue maana jamaa hakauki kuomba omba silahaSio lazima silaha yoyote inayotumika huko vitani lazima upewe report ya performance yake Mzee..,waandishi Wana kazi nyingi za kufanya..,unataka upewe report kuhusu performance ya
HIMARS
Bylaktar
Challenger tanks
Reopad tanks
Kamikaze drones
Neptune missiles
Lisasi
Aina ya bunduki zinazotumika
Howitzer aina zote na silaha nyingine nyingi.., kwa Hali hiyo huoni kwamba unawatwisha mzigo reporters hambao hawawezi kuumudu??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zile drone ni kwa ajili ya vikundi and weak countries tu...Warussi wameishazitafutia ant- node.. zinashushwa tu....JAMANI DRONE ZA UTURUKI ZILE WALIZOKUWA WANATUMIA UKRAINE BADO ZIPO ZINAFANYA KAZI?
AU ZISHAANGUSHWA??
Kwa hiyo zelensiky kuomba silaha ndio Sababu ya kutaka muhabarishwe kila aina ya silaha zinazotumika uwanja wa vita??Wameuliza ili wajue maana jamaa hakauki kuomba omba silaha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jibu lilikuwa rahisi tu ngoja nikusaidie zile alizo pewa mwanzo hazifanyi kazi iliyo kusudiwa au zimesha chinjwa na wanaume wa RussiaKwa hiyo zelensiky kuomba silaha ndio Sababu ya kutaka muhabarishwe kila aina ya silaha zinazotumika uwanja wa vita??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Moto SI Ndo Kama Huu mkuu,Wazee wa winter is coming..,na winter inaelekea kuisha[emoji12][emoji16][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu, you know as I do kwamba Putin hakuwa na lengo la kuiteka/kupora Ukraine par se.Wewe ulitaka zelensiky afanyeje kama sio kutekeleza sera za hao unaowaita marekani na EU?
Asalimishe nchi kwa wavamizi,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maneno ya kutaka mazungumzo haya ila Kwa gia NyingineZelensky refuses to negotiate with Putin because he is not sure that the Russian president is alive
ππππππππππππZelensky refuses to negotiate with Putin because he is not sure that the Russian president is alive
Nyie watu huwa nawashangaa kuendelea kubishana na huyu 'ki-rat'..This guy is here for a mission..Hapo sasa umedhihirisha ujinga wako vizuri. 1 ili uwaone kua hao wanao karibia laki mbili kufa ndio hao hao wanao miliki miji ya Ukraine. Hapa nili taka kuona namna ya uwezo wako wa kufikiri nimeona mdogo mno. Mobilization ni askari laki tatu halafu machizi wenzio wanasema askari karibu laki mbili wamekufa teyar miji ingekuwa ya kwenu.
Unakaa unasema front line urusi bado anapeleka wengi huko tupe chanzo cha habari hii hata kikiwa ni cha mchongo
Maana yeye kaeka wazi tu ni askari laki tatu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Senselessky alifanya mobilization ya taifa zima kwa kuzuia wanaume wote milioni 20+ wasiondoke nchini na wote wamechinjwa. Au hujui hiloMpaka Leo unauliza wameongezwa wangapi? Ina maana huna habari na mobilization ya asikari laki tatu aliyofanya huyo super pawer wa kuchonga? Ndio maana nikakwambia usome kuanzia mwanzoni mpaka mwisho wa hii thread uielewe hii vita vizuri
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app