Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Achana nao wanaongoza kupiga taarabu ila ukiwambia watoe ushahidi wanakuwa wakali.izo silaha walizochukua North korea zinapigana kwenye vita sehemu gani.silaha zote uwanja wa vita ni made from russia.uyo Korea ana silaha gani jamani ya kuuza kwa Mrusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

North korea awa ninaowajua mimi wanavuta missile systerm kwa trekta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu kuweni na eshima kwa warusi
 
PRO NATO SAHIZI WANAANZA HOO ETI RUSSIA WAMENUNUA SIRAHA NORTH KOREA MARA HOO, WAMEENDA KUMBA MSAADA IRAN MARA HOOO KILE NA KILE.
HIYO NI KUISHOWA HOJA HUMU NDANI.
😁😁😁😃😂😂😂.
MAANA WAKUBWA WENU WALISEMA RUSSIA RUN OUT OF MISSILE ILIKUWA MWAKA JANA MWEZI WA 8.
 
Hao nao wanapenda uchumi wao ukue.
Belarus pekee ndo muoga
 
[emoji1087] Denmark bought 19 CAESAR 8x8 from France.
[emoji1087] Denmark's entire artillery is 19 CAESAR 8x8.
[emoji1087] Denmark donates 19 CAESAR 8x8 to Ukraine.

Be like Denmark (or [emoji1200][emoji636][emoji1236][emoji1103][emoji1086][emoji1086][emoji1217][emoji1058][emoji1179][emoji1218][emoji1250]) - never ever be like Germany. https://t.co/oyjaz8uuoJ
 
Kwani Wagner Group wakipewa silaha na North Korea Kuna shida gani.

Yaani wewe kwa Nini unaumia? Au kitu gani kinakufanya uumie.

Yes, wanapewa Silaha... Embu eleza shida yako Sasa.
 
BREAKING:

Lithuania will donate dozens of L-70 anti-aircraft guns, ammunition and two Mi-8 helicopters.

The value of Lithuania’s military aid package for Ukraine at Ramstein will be EUR 125 million.

[emoji1151][emoji1255] https://t.co/u8eZIlW8ib
 
Wakati Babu andunje kutwa kucha akitishia Nyuklia wenzake wanamuona kama mpuuzi mmoja hivi [emoji23]View attachment 2487905
MKUU NJOJA NIKUAMBIE KITU HIVI UNAJUA KUWA USA NA NATO NDO WAOGA SANA WA NUCLEAR? UNAJUA HILO.

USA ALIVYOTAKA KUIVAMIA CUBA MIAKA SIJUI YA 60 VILE KAMA SIJAKOSEA.
USSR WALIPELEKA NUCLEAR CUBA NA KUMWAMBIA AKIKUVAMIA TUPIA MIAMI NUCLEAR, ILA USA WAKAOMBA YAISHE WAO WENYEWE.

USA WALITAKA KUIVAMIA VENUZUELA KUMUONDOA MADULO MR KIDUME PUTIN ALIPELEKA NUCLEAR KULE USA WAKAFYATA MKIA MPAKA LEO WAKAISHIA KUWAWEKEA VIKWAZO.
YOTE HAYO NI UWOGA TUU.
SASA KAMA WALIJUA KUWA RUSSIA WATAINGIA UKRAINE KWA NINI HAWAJAWAPA UKRAINE SIRAHA ZA NUCLEAR KUMZUIA RUSSIA ASIINGIE WALISHIDWA NINI. USA NA NATO NDO WAOGA SABA WA NUCLEAR, WEWE HUJUI TUU.
 
Sasa huyu jamaa hapa si anaonyesha kabisa kwamba ni mtumiaji wa cocaine kabisa.
 
Wameanza kuongea ukweli Sasa.
 
Mimi Nina heshima zangu ...sitaki ubishi wa kitoto...Mimi hufuatilia habari zote ziwe za west, Russia, China, Japan na kadhalika ...nafahamu pia kuwa wengi humu hufanya hivyo...Sasa hayo mambo ya link sijui Nini na Nini ..sijui leta hiki na kile Mimi Sina time nacho..Mimi nimekupa information hiyo...it is up to you to take or leave it...,Jambo jingine ni kuwa kwenye mijadala usijifanye unajua Kila kitu...You have to be humble in debates and not arrogant...I have.been following your arguments and I should not mince words in this, you are arrogant in your comments..
..
 
Kutokea Belarus mpaka huko mpakani mwa Ukraine na Poland ni mbali saana hakuna General ataekubali kujirisk hivyo

Hapo saana ni kuikamata kiev
 
Ukiangalia misaada inayomwagwa Ukraine kwa sasa ni dalili tosha offence inakaribia fanyika
Baada ya winter Ukraine na Russia wote wanajiandaa kufanya counter offensive ndio maana unaona hizo armoured vehicles zinamwagwa za kutosha, wanajeshi wapatiwe mafunzo jinsi ya kuzitumia mpaka March mwishoni ziwe zishaingia mzigoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…