Mkuu naona umeandika kwa hisia sana na naona kabisa huu ni usia mzuri sana kwe Rais wa Ukrein mr zelenskyNawakumbusha tu kwamba OP inaendelea vizuri sana. Vijana wetu wanapiga kazi kama walivyofundishwa kwa mafanikio makubwa.
Mpaka sasa maadui wamechanganyikiwa. Marekani analialia hovyo, Uingereza ndo mayowe yamezidi, viwanda vinafungwa kwa kasi ya 5G.
Ufaransa yeye alishaona ameelemewa katuliza wenge. Habwabwaji hovyo tena. Mjerumani alijaribu kukaza fuvu ila sasa ameelewa kwamba Putin kwa kweli dume hasa. Mjerumani ameogopa kutoa kibali vyuma vyake chakavu vipelekwe Bakmut.
Anaogopa aibu itakayomkuta vyuma vitakapounguzwa.
Nawakumbusha tu. Marekani na wake zake walikuwa na mbwembwe mwanzoni, kila mtu akishindana kutangaza awamu ya vikwazo.
Mpaka sasa uchumi wa Urusi umesimama, biashara imeongezeka maradufu.
Mpangaji hawezi kushindana na mwenye nyumba akashinda hata mahakamani, ushindi unakuwa aidha arejeshewe kodi aondoke zake ila nyumba ni mali ya wenyewe.
Urusi ana rasilimali, anatengeneza zana zake za vita mwenyewe alafu mtu anajifanya kukaza fuvu akitaka kupigana na Urusi kwa kutumia silaha za misaada!?
Mwambieni Zelensky, mwaka huu ndo atajua Putin ni dume.
Russia is literally fighting the entire West, America, NATO and UK single handedly and it shall be in the history that Putin brought Russia back to its rightful position in the global setting.
The West are caught off guard, the dumb woman in Brussels doesn’t speak anymore. She thought Putin was a pushover like their men in the West who are so weak and have lost their position as men.
Guys, we are winning this fight big time.
Tatizo lenu linakuja pale mnapoona fahari warusi kuchinjwa..,mtu bila aibu anatamka wazi kwamba second world war warusi zaidi ya million ishirini walichinjwa 🥱 hiyo ni history mbovu hambayo inastahili hata kufichwa lakini badala yake mnazidi kui-expose tu..,hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwapeleka machinjioni raia wake namna hiyo..,ni bahati mbaya sana warusi wamekuwa na viongozi vichaa hambao hawaoni shida kuwapeleka machinjioni raia wao[emoji848]We jamaa kweli ni shabiki wala hauna ufahamu juu ya vita anavyopigana au alivyowahi kupigana Urusi, Urusi alipoteza jumla ya watu takribani million 20 in world war 2, na bado hakurudi nyuma hadi akashinda Vita.
Hii vita itamalizwa kwa majadiliano . Na vyombo vya habari vinasema, Ukrain ikichelewa zaidi kwenye majadiliano na ikitokea Urusi akashika maeneo zaidi 50% ya Ukrain basi Urusi atakataa majadiliano na kutaka Kuiangusha Ukrain nzima.
Hapa kinachotegemewa ni hii package ya mwisho, maana ndo package kubwa kuwahi kupelekwa Ukrain, kama haitaleta mabadiliko basi Ukrain atakuwa kwenye hali mbaya zaidi.
Kuwa objective Kipanya.
Usimsahau pia mtoto wa museveni na yeye alijionyesha hadharani kwamba anamuunga mkono urusi [emoji12]Naona South Afrika ameamua kujilipua kwa kumuunga mkono Putin. Je kwa nini kafanya hivi?
Zelensiky Yuko pale kwa mpango makhsus kabisa wa kuhakikisha Askari wa urusi wanaendelea kuchinjwa huko battle front Kwa wingi kadri awezavyo.., usitegemee kwamba Kuna seize fire yoyote inaweza kutokea wakati urusi yupo bado kwenye ardhi ya ukraine..,huyo super pawer ataendelea kutembezewa mkong'oto mpaka atajiondoa mwenyewe na kulipa ghalama za uharibifu,hapo ndipo unaweza kuwepo mwisho wa hii vitaMkuu naona umeandika kwa hisia sana na naona kabisa huu ni usia mzuri sana kwe Rais wa Ukrein mr zelensky
Kama atalifanyia kazi hili kwa wakati ataokoa vijana wa kiume wengi sana wanaoteketea kwa sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hawatamuweza,..,kipanya yupo na ataendelea kuwaumbua wote wanaosapot ufashistmwanaume anamtafuta kipanya
General Surovikin’s comment suggests that the Su-57 is being used both in the air-to-air and air-to-ground roles, and in both roles, it had scored hits.Unabisha ukilazimisha R-77 zinaweza tumika kwenye internal bay kisha unaleta utetezi unaoonyesha hazitumiki. Huu ni ubishi usio na msingi, nimeandika R-77 hazitumiki internal bay, unabisha kisha unaleta ushahidi unaoonyesha R-77 hazitumiki bali K-77M ileile niliyokwambia.
Na unakosea point moja ya msingi sana, "operational". Silaha nyingi tu Russia anazo kwenye testing. T-14 Armata haiko operational, Bumerang, Hunter-B, Poseidon, n.k. Sasa ukikuta T-14 Armata inatembea barabarani utoke unashangilia iko operational, wakati haijawa accepted wala deployed. Kufyatua K-77M ni jambo moja, kukubaliana nayo kuwa mass produced ni jambo lingine. Watu kama nyie mtasema Kipanya sasa hivi anatengeneza magari, kwa lile gari moja aliloendesha kwenye uzinduzi.
Special operation yenyewe hii walikuwa wanakana na wanaita taarifa za West ni propaganda, na nyinyi baadhi yenu humu shingo zilikuwa zinashupaa hakuna uvamizi.
Surovikin kusema Su-57 sishangai utamaduni wa jeshi la Urusi. Hata hapa walidai T-14 Armata zitanunuliwa 20 mwaka 2021 mpaka leo sifuri. Hapo kuna delays zilitangazwa mara nyingi kabla ya 2021 tena na Shoigu mwenyewe. Kila mwisho wa mwaka ukifika wanasema mwakaniView attachment 2492549
Na makampuni kusema vyovyote ni kawaida pia. Sukhoi hapa tuliambiwa Hunter-B drone itakuwa tiyari 2020, leo 2023 bado sifuri View attachment 2492547
Kwa nini tuishie tu kulalamika badala ya kuwachukulia hatua Kali wale walioingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji2][emoji1787][emoji16]The war with the West is no longer hybrid, but almost a real hot war, Russian FM Lavrov The word "almost" separates us from nuclear war.
Lol hivi hujui maana ya vita weweTatizo lenu linakuja pale mnapoona fahari warusi kuchinjwa..,mtu bila aibu anatamka wazi kwamba second world war warusi zaidi ya million ishirini walichinjwa 🥱 hiyo ni history mbovu hambayo inastahili hata kufichwa lakini badala yake mnazidi kui-expose tu..,hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwapeleka machinjioni raia wake namna hiyo..,ni bahati mbaya sana warusi wamekuwa na viongozi vichaa hambao hawaoni shida kuwapeleka machinjioni raia wao[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo warusi kuendelea kuuwawa kama utitili kwenye ardhi ya watu ndio mnaona ndio ushindi wenyewe,sio?Lol hivi hujui maana ya vita wewe
We unahisi wanaenda kukata nyanya kule kinacho takiwa ni ushindi. Ila kwa sababu nyinyi hamjielewi mmeona ushindi kwenu ni zile maiti
Alafu wenzenu wanachojua ushindi kwao ni kuimiliki Ukraine
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaa wewe teseka,ila kila mrussia anasherehekea ushindi wa world war 2,mpaka ni siku maalumu ya kitaifa inaitwa "Victory day"!Tatizo lenu linakuja pale mnapoona fahari warusi kuchinjwa..,mtu bila aibu anatamka wazi kwamba second world war warusi zaidi ya million ishirini walichinjwa 🥱 hiyo ni history mbovu hambayo inastahili hata kufichwa lakini badala yake mnazidi kui-expose tu..,hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwapeleka machinjioni raia wake namna hiyo..,ni bahati mbaya sana warusi wamekuwa na viongozi vichaa hambao hawaoni shida kuwapeleka machinjioni raia wao[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe Naona umeamua kujizima data kichwani!Zelensiky Yuko pale kwa mpango makhsus kabisa wa kuhakikisha Askari wa urusi wanaendelea kuchinjwa huko battle front Kwa wingi kadri awezavyo.., usitegemee kwamba Kuna seize fire yoyote inaweza kutokea wakati urusi yupo bado kwenye ardhi ya ukraine..,huyo super pawer ataendelea kutembezewa mkong'oto mpaka atajiondoa mwenyewe na kulipa ghalama za uharibifu,hapo ndipo unaweza kuwepo mwisho wa hii vita
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe unaona ni jambo la kujivunia na kuwekwa kwenye history kwamba warusi takriban million 27 walichinjwa?? ..,the same as wanavyoendelea kuchinjwa hivi Sasa??Hahahahaaaa wewe teseka,ila kila mrussia anasherehekea ushindi wa world war 2,mpaka ni siku maalumu ya kitaifa inaitwa "Victory day"!
Sasa wewe pro NATO wa buza unaleta porojo mfu!
Ila wee jamaa ni zumbukuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].SAS kam urusi wanakufa sana mbona Ukraine ndo inarud nyuma.Kwa hiyo warusi kuendelea kuuwawa kama utitili kwenye ardhi ya watu ndio mnaona ndio ushindi wenyewe,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu hambacho bado nasubiri kuona kitokee mpaka Sasa..,nilitamamani kuona warusi wakichinjwa Kwa wingi kadri iwezekanavyo baada ya kuanzisha uvamizi wao kwenye taifa hambalo halijawahi kurusha hata jiwe kwenye mipaka yake...,namshukuru mungu mwenyezi kwamba mpaka Sasa naendelea kushuhudia super pawer wa kuchonga akipoteza askari Kwa wingi sana.., Sasa Hilo unalosema nasubiri litokee hambalo halijatokea ni lipi?[emoji848]Wewe Naona umeamua kujizima data kichwani!
Yaani vitu unavyotamani vitokee haviwezekani!!
Utaendelea kusubiri na kuteseka bure!