professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Ushindi ni kuiteka miji yenu we huoni hamuna hata chumvi kwa sasa mnakula wali maharage chukuchuku bila chumvi kudadeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo warusi kuendelea kuuwawa kama utitili kwenye ardhi ya watu ndio mnaona ndio ushindi wenyewe,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni historia kwao,walishinda vita dhidi ya wanazi!Hiyo victory day ni siku kubwa sana Russia na Kwa nchi zilizokuwemo Soviet akiwemo Ukraine!Kwa hiyo wewe unaona ni jambo la kujivunia na kuwekwa kwenye history kwamba warusi takriban million 27 walichinjwa?? ..,the same as wanavyoendelea kuchinjwa hivi Sasa??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eti Ukraine inarudi nyuma ,[emoji1787][emoji2] kwanza naomba kujua umeanza kufuatilia hii vita tangia lini , maana naona ni mweupe sana kwenye haya mambo..,kwanza naomba nukujulishe tu kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi hukoIla wee jamaa ni zumbukuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].SAS kam urusi wanakufa sana mbona Ukraine ndo inarud nyuma.
Kuelewa Ukraine anapewa kipigo cha mbwa koko haihitaji elim ya kujua medani za kivita.
Haya urusi wamekufa 1000 je Ukraine wamekufa wangap?
Hahahahahahaaaaa,we si unasubirk Russia aondoke Ukraine na Crimea?Hakuna kitu hambacho bado nasubiri kuona kitokee mpaka Sasa..,nilitamamani kuona warusi wakichinjwa Kwa wingi kadri iwezekanavyo baada ya kuanzisha uvamizi wao kwenye taifa hambalo halijawahi kurusha hata jiwe kwenye mipaka yake...,namshukuru mungu mwenyezi kwamba mpaka Sasa naendelea kushuhudia super pawer wa kuchonga akipoteza askari Kwa wingi sana.., Sasa Hilo unalosema nasubiri litokee hambalo halijatokea ni lipi?[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ushindi mkubwa wa warusi Kwa Sasa ni Ukraine kula wali na maharage chukuchuku bila chumvi,sio ??Ushindi ni kuiteka miji yenu we huoni hamuna hata chumvi kwa sasa mnakula wali maharage chukuchuku bila chumvi kudadeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Propoganda za kipuuzi, kwa silaha gani alionayo 🇺🇦 au ni kujilisha upepo tu720 within twenty four hours..,kudadek, lazima Putin presha impande na kushuka,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Neno ambalo umekuwa ukilitumia Mara kwa Mara kwenye Uzi huu kwa karibu miezi miwili Sasa ni 'kuchinja', kumchinja' 'kuwachinja', ' wanachinjwa'....psychologists wanaweza kumtambua na kumfahamu mtu anayetumia maneno Kama hayo ni wa Aina gani....Yaani hasiti kutumia neno 'kuchinja' au ' kumchinja' binadamu...You can just imagine a type of a person we are dealing with...Zelensiky Yuko pale kwa mpango makhsus kabisa wa kuhakikisha Askari wa urusi wanaendelea kuchinjwa huko battle front Kwa wingi kadri awezavyo.., usitegemee kwamba Kuna seize fire yoyote inaweza kutokea wakati urusi yupo bado kwenye ardhi ya ukraine..,huyo super pawer ataendelea kutembezewa mkong'oto mpaka atajiondoa mwenyewe na kulipa ghalama za uharibifu,hapo ndipo unaweza kuwepo mwisho wa hii vita
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hao mbona ni wachache mkuu?? Nakukumbusha kwamba siku si nyingi zilizopita Ukraine aliweza kuwakaanga zaidi ya askari mia sita wa urusi with only HIMARS single hit!!Propoganda za kipuuzi, kwa silaha gani alionayo [emoji1255] au ni kujilisha upepo tu
Eti Ukraine inarudi nyuma ,[emoji1787][emoji2] kwanza naomba kujua umeanza kufuatilia hii vita tangia lini , maana naona ni mweupe sana kwenye haya mambo..,kwanza naomba nukujulishe tu kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi huko
Khakivu
Izium
Snake island
Kyiv
Kheson city
Lyman
Kupyansk
Tangia mwezi wa 6 mwaka uliopita urusi hajafanya progress yoyote ya maana kwenye uwanja wa vita..,yupo anahangaika na bakhumut tu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eti Ukraine inarudi nyuma ,[emoji1787][emoji2] kwanza naomba kujua umeanza kufuatilia hii vita tangia lini , maana naona ni mweupe sana kwenye haya mambo..,kwanza naomba nukujulishe tu kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi huko
Khakivu
Izium
Snake island
Kyiv
Kheson city
Lyman
Kupyansk
Tangia mwezi wa 6 mwaka uliopita urusi hajafanya progress yoyote ya maana kwenye uwanja wa vita..,yupo anahangaika na bakhumut tu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu,kama warusi wanachinjwa kila siku Kuna ubaya gani wa Hilo neno " kuchinjwa"" likitumika hapa??Neno ambalo Mara kwa Mara umekuwa ukilitumia Mara kwa Mara kwenye Uzi huu kwa karibu miezi miwili Sasa ni 'kuchinja', kumchinja' 'kuwachinja', ' wanachinjwa'....psychologists wanaweza kumtambua na kumfahamu mtu anayetumia maneno Kama hiyo ni wa Aina gani....Yaani hasiti kutumia neno 'kuchinja' au ' kumchinja' binadamu...You can just imagine a type of a person we are dealing with...
Ngoja nikutajie ushindi wa warusi kwa sasaKwa hiyo ushindi mkubwa wa warusi Kwa Sasa ni Ukraine kula wali na maharage chukuchuku bila chumvi,sio ??
Ushindi wa battle front tumeuweka pembeni kidogo [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Warusi wanachinjwa,na WA Ukraine wakifa Wanakuwa wamefanywaje?Mkuu,kama warusi wanachinjwa kila siku Kuna ubaya gani wa Hilo neno " kuchinjwa"" likitumika hapa??
Hii vita ikiisha na warusi wakaacha kuchinjwa Wala hutolisikia Tena Hilo neno masikioni mwako!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kabla hatujasonga mbele zaidi na zaidi,umekubali kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyomfurusha urusi kwenye hayo maeneo??Sawa mim ni mweupe na kuwa mweupe kweny hili swala sio shida, kwang sio kipaumbele [emoji23]
Mim natak nijue kidogo tu HOW bakhumut na sehem nyingine Ukraine zinachukuliwa hali ya kuwa Ukraine anampelekea moto urusi professional Driver atanisaidia kutaja hayo maeneo ambayo urusi ameyachukua.
Taarifa za urusi kuchukua hayo maeneo zimezagaa mpka sisi tunaofatilia kwa minyato tumejua, sas kivip mshind ndo anarudishwa nyuma.
Tupeane elim kaka.
#MtafutaElim.
Unasema urusi anaitikisa NATO yote wakati tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atashughulikiwa ipasavyo.., mbona mnapoteza kumbukumbu mapema hivi??[emoji28][emoji28]Ngoja nikutajie ushindi wa warusi kwa sasa
1. Mnakula chakula bila chumvi
2. Miji na vijiji vinamilikiwa na warusi naona utauliza mfano, mfano soledar
3. Urusi imeitikisa NATO yote mpaka sasa haijielewi wakiangalia silaha zao zinazidi kutekea
4. Vikwazo vya kiuchumi kwa sasa vina waadhibu wenyewe Urusi hajatetereka.
5. Raia wa Ukrein hasa wanaume kwa sasa wako wachache kutokana na katazo la rais wa nchi hiyo kuwazuia wasitoke. ili wapigane kwa ajili ya mwanaume Russia.
Kama unataka kuendelea kuorodheshewa mafanikio ya warusi Ukraine sema.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama wakiendelea hivi hivi wiki ijayo mapigano yataanza katika mji wa ZaporozhyeNimetoka kufatilia hapa kiukweli defence ya Zaporozhya hamna kitu kabisa bora hata wale wa upande wa Donesk.muda mfupi tu wametelekeza vijiji kibao tu .
Kuna taarifa kuwa jeshi kubwa lipo kwenye mpaka wa Kharkiv.inaonekana muda sio mrefu Kharkiv kitanuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,Mimi kazi yangu ni kukuhabarisha jinsi warusi wanavyochinjwa.., nafikiri kila mmoja wetu hapa jukwaani amechagua kutoa hoja au kuleta habari zenye mlengo flani..,hayo mengine Wala sipaswi kulaumiwa Mimi Bali ni jukumu lako wewe kusawazishaWarusi wanachinjwa,na WA Ukraine wakifa Wanakuwa wamefanywaje?
Aliyekuwa anajinasibu mstaarabu kumbe ndio mwehu kabisa ..we jamaa ni mwehu ...Kwani ni uongo ?
Mkuu,Mimi kazi yangu ni kukuhabarisha jinsi warusi wanavyochinjwa.., nafikiri kila mmoja wetu hapa jukwaani amechagua kutoa hoja au kuleta habari zenye mlengo flani..,hayo mengine Wala sipaswi kulaumiwa Mimi Bali ni jukumu lako wewe kusawazishaWarusi wanachinjwa,na WA Ukraine wakifa Wanakuwa wamefanywaje?
SAS nakubali vip hali ya kuwa mim kweny hii vita ni mweupe. Nipe a b c za hii vita kwa evidence, kwamb Ukraine amemfurusha mrusi evidence hii hapa. Pro urusi wanathibitisha Extrovert professional Driver na wengne weng wanathibitisha ikiwa kwel bas kheri.Kabla hatujasonga mbele zaidi na zaidi,umekubali kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyomfurusha urusi kwenye hayo maeneo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwehu mwingine ni wewe ndio maana ukajiita mtoto wa nzi....Aliyekuwa anajinasibu mstaarabu kumbe ndio mwehu kabisa ..we jamaa ni mwehu ...