Hizi ni hisia zako tu, sio kauli ya Shoigu.Kwa idadi hiyo mnayotaja wamekufa then uongo uko wazi!Aliingiza askari laki na nusu!Haya Inamaana wote wameisha waliongia,hao mobilized sio Kwa ajili ya kupambana front line,Bali wengi wako Belarus na wengine wako kwenye maeneo ambayo Yako liberated ambapo sio eneo active la vita wanalinda amani!
Sasa hao walioko front wametoka wapi?
Hizo ndo hadithi zinazowapa furaha Warusi.Russia kuondoka ndani ya ardhi ya Ukraine sio lazima iwe ndani ya mwaka huu, kwani nani aliweka time limit kwamba ukraine amtoe urusi kwenye ardhi yake within this year??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani Inamaana hujaona hizo parade wanazopiga hao mobilized huko Belarus?Hujaona taarifa ya hao mobilized wakiwa wanalinda maeneo liberated?Hizi ni hisia zako tu, sio kauli ya Shoigu.
Sawa mke wa babu
Sawa mme wangu [emoji3059][emoji3059]/QUOTE]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu super pawer ajiandae kuwatimua mabalozi wote hapo Moscow, maana wenye akili wote watazidi kusimama na Ukraine,[emoji298]️Moscow decreases diplomats in Estonia & tells ambassador to leave Russia - Foreign Ministry
It comes after reports that the Baltic state is giving all of its howitzers to Ukraine, with military support totalling more than 1% of its GDP.
Follow @RT_India_official
Super pawer kabanwa mbavu mpaka anafta huruma za waislam[emoji16]..,vita isikie kwa jirani tu, inakufanya uwe mpole hata kama hukuwahi kufikiria kuwa mpole [emoji28][emoji95][emoji845][emoji635][emoji1236]Russia condemned the burning of the Koran by radicals in Stockholm - Russian Foreign Ministry
The Ministry of Foreign Affairs called for measures to be taken against the Danish politician Rasmus Paludan, who publicly burned the Koran in front of the Turkish embassy in Stockholm.
The Russian Orthodox Church also condemned, calling the burning of the book sacred to Muslims an act of unacceptable vandalism.[emoji95][emoji95][emoji95]