Mzee nafikiri hujui kitu kuhusu Leopard 2 na Abrams - peruzi uone mziki wake - Tech ya west achana nayoRussia π·πΊ anakimbiza,ikitokea Abrams na Leopard tanks zikashindwa kumsimamisha Urusi π·πΊ,itakuwa ndo basi tena kwa Ukraine.
Leopard 2 | |
|---|---|
| Engine | 1,500 hp (1,119 kw) MTU MB 873 Ka-501 diesel |
| Range | 342 miles (550 km) |
| Fuel Capacity | 317 gal (1,200 l) |
| Road Speed | 45 mph (72 km/h) |
| Cross Country Speed | 25 mph (40 km/h) |
| Swim Speed | N/A |
| Fording Depth | 3.3 ft (1.0 m) unprepared. 7.4 ft (2.25 m) prepared. 9.8 ft (4.0 m) with snorkel |
| Grade | 60% |
| Trench Crossing | 9.84 ft (3 m) |
| Vertical Wall Climb | 3.61 ft (1.1 m) |
Duh.... Inatisha.... Mtu kala za uso....tuisikie tu humu. HAPA ZINAPIGWA USO KWA USO. TRENCH FIGHTING.
Kuchoma hako kadude si dhambiKwa dini yako, kukemea uovu ni dhambi?
Magazine yote imeishia usoni.Duh.... Inatisha.... Mtu kala za uso....
Hahahahahaah himers zimeenda wapi?Tulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
Chuma chochote kinachomeka tu.....vyote vitachomwa tu....halafu vifaru havifiki 50 wakataki front line iko more than 2000 km....hamna kitu hapoTulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
Yaani kifaru mpaka kina ghorofa halafu kipone mbele ya Russia ngoja mm Nile mtori kwanza nyama nitamalizia baada ya kuingia hivyo vifaru Ukraine.Chuma chochote kinachomeka tu.....vyote vitachomwa tu....halafu vifaru havifiki 50 wakataki front line iko more than 2000 km....hamna kitu hapo
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sema Ukraine vilaza sana...hivi kweli wanakubali kudanganywa danganywa tu kizembezembe...na wanaendelea kuteketea...Zelensky atapaswa kuwajibishwa...maamuzi anayofanya yamepoteza maisha ya watu wengi pasipo sababu ya msingi...Yaani kifaru mpaka kina ghorofa halafu kipone mbele ya Russia ngoja mm Nile mtori kwanza nyama nitamalizia baada ya kuingia hivyo vifaru Ukraine.
Ndugu vifaru vyote vitakuwa zaidi ya 200, Poland, Uingeleza na nchi nyingine za EU zipo tayari zitapeleka vifaru hasa vya Germany made - Leopard 2.Chuma chochote kinachomeka tu.....vyote vitachomwa tu....halafu vifaru havifiki 50 wakataki front line iko more than 2000 km....hamna kitu hapo
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwamba mtu akichoma Biblia nayenyewe fresh tu yani.Kuchoma hako kadude si dhambi
Hazita badili chochote mwanangu.Russia π·πΊ anakimbiza,ikitokea Abrams na Leopard tanks zikashindwa kumsimamisha Urusi π·πΊ,itakuwa ndo basi tena kwa Ukraine.
Russia [emoji635] anakimbiza,ikitokea Abrams na Leopard tanks zikashindwa kumsimamisha Urusi [emoji635],itakuwa ndo basi tena kwa Ukraine.