Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mujibu wa bibi yako.iyo imekuwa Tanzania au
 
Kwa hiyo unapinga, unajijibu mwenyewe, unajikosoa au nini??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Na Vyote Vitachomwa Motoo
Hata Leo vingine vimepigwa tayari
 
Hali ilivyo kwenye mji wa machimbo ya makaa ya mawe(Ugledar city)View attachment 2496324

Hapa tayari encirclement imeshakubalia.

Halafu nashindwa kuelewa ni kwa Nini hawa Ukraine kila siku wanaishia kuwa encircled. Kwani military planners wao wanafanya kazi gani?

Encirclement ingetokea Mara moja hapo sawa, lakini always wanaishia kuwa encircled.
 

Mkuu kwa hapa nawatetea Ukrain, hawana Aerial satellites za intelligence, na walizokuwa wanategemea kutoka USA na Britain ambazo zinakuwa Jammed pale Urusi anapokaribia eneo uhusika, hvyo urusi anasoma movements zote kutokea kwenye real time images na kufanya mawasiliano na wanajeshi wa Ardhini kuwa ni points zipi za kuwazunguka na barabara zipi za kufunga na vitu vingine kukamilisha encirclement kutokea. So ili lipo kiteknolojia zaidi.
 
Okay, for that reason ya jamming za satellites na technology naweza kukuelewa

Kwa sababu, hai make any sense kuona kila Mara jamaa wanakuwa encircled.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…