EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Nawasubiri😎Ngoja wazee wa RAINBOW waje huku wanavuja
Kwamba warusi ni wadhaifu kwenye mambo ya Anga.kumbe hujui chochote Bora unyamaze Tu upunguze kujiaibisha.Mkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS... Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
Mzee Putin Sasa amepanikiR.I.P wanakeshi wa Ukraine huko Ugledar. Hii mifereji ni ngumu kuwasaidia kwa sasa.dawa ni kuomba msamaha tu kwa Putin.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, kwa nini wafiche identity? Tena kwa njia hizo? Tangu miezi propaganda ya ya Kirusi inadai askari wa NATO wako , maana wanahitaji maelezo kwa nini hawapati maendeleo katika vita yao... Na katika miezi hii yote, pamoja na maelfu waliokamatwa, hawakumpata hata mmoja wa NATO... Wala Mariupol (sijui si wewe mwenyewe ulitutangazia kuna askari wa NATO au special forces huko Mariupol??) Walipata mavolunteer kadhaa walijitolea kama mamluki kwa Ukraine ila hakuna "mwanajeshi wa NATO" .Jifunze kuandika mkuu.Ila comment yako haina mantiki kama nimekuelewa vizuri.Kuua askari wenzenu for any reason inatokea sana vitani,so askari wa Ukraine kuwaua askari wa NATO, ili kuficha identity, si ajabu sana,it can happen.
Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.Kwamba warusi ni wadhaifu kwenye mambo ya Anga.kumbe hujui chochote Bora unyamaze Tu upunguze kujiaibisha.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Aisee wewe kumbe hujui kitu.acha kujiaibisha kila mara Tu warusi wanarusha masatelaiti ya kijeshi.Alafu marekani huwa wanatumia Engine za kirusi kwenye vyombo vyao kabla ya hii vita.mkuu Bora unyamaze Tu usijiaibishe hujui kitu Yani.Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .
Kama mtego wa panya tu wanajileta wenyewe kwenye vichinjio ...mambo ya kukimbizana kama kuku warusi hatutakiSahizi mrusi anatega chambo tu [emoji1787] wakikatisha anafyeka...Anatembea pembezoni haingii katikati.
Wanaficha aibu kuwa urussi anapigana na NATO YOTE NA KUWASHINDAMkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .
[emoji3][emoji3]wanavyokimbilia ktk mashimo utafikiri nguchilo vile[emoji3][emoji3]R.I.P wanakeshi wa Ukraine huko Ugledar. Hii mifereji ni ngumu kuwasaidia kwa sasa.dawa ni kuomba msamaha tu kwa Putin.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ikikusaidia endelea tu kuota ndoto. Ila NATO haipigani na Urusi. Kama ineingia katika mapigano, hali ingekuwa tofauti sana.Wanaficha aibu kuwa urussi anapigana na NATO YOTE NA KUWASHINDA
Hii inaonyesha wazi wazi kwamba you know so little about outer space exploration history - FYI, mapioneers wa masuala haya ni Warusi si Wamerican labda nikusaidie kidogo kwamba taifa la kwanza kuunda na kurusha satellite kwa mara ya kwanza Duniani walikuwa ni wana sayansi wa Urusi sio America, Wamerika walicopy tu kutoka Urusi.Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .
Achana naye huyo mwanamkiwi mpyaAisee wewe kumbe hujui kitu.acha kujiaibisha kila mara Tu warusi wanarusha masatelaiti ya kijeshi.Alafu marekani huwa wanatumia Engine za kirusi kwenye vyombo vyao kabla ya hii vita.mkuu Bora unyamaze Tu usijiaibishe hujui kitu Yani.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Nimefuatilia kwa umakini kidogo unachoandika humu..., aisee...ww jamaa with no doubts....hujui mambo mengi sana...yaani unaunganisha unganisha vitu humu hata uhakika navyo huna....,itoshe tu kusema ww ni KIPANYA uliechangamka..!!!...Mkuu ikikusaidia endelea tu kuota ndoto. Ila NATO haipigani na Urusi. Kama ineingia katika mapigano, hali ingekuwa tofauti sana.
Hadi sasa NATO inalinda Urusi kwa kuzuia roketi zenye masafa marefu yasifike Ukraine. Hivyo jeshi la Ukraine ina matatizo kupiga vituo vya ndege na manowari ambako Urusi inarusha roketi zake kwenye miji ya Ukraine.
Wamefaulu mara chache tu kwa kubadilisha roketi chache za zamani walizokuwa nazo . Lakini hawapewi zile za kisasa.
Unaona: Bado NATO inalinda Urusi, kwa matumaini kwamba akili itarudi siku moja.
ashki majunun....
Umelewa Wewe Sio Bure Eti wako WadhaifuMkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS... Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
Kusema warusi Ni dhaifu kwenye Mambo ya anga Ni umbumbu.itabidi aulizie kuhusu Sputnik satellite ya kwanza ya kirusiKwamba warusi ni wadhaifu kwenye mambo ya Anga.kumbe hujui chochote Bora unyamaze Tu upunguze kujiaibisha.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Soma ulichoandika.Mkuu ujielimishe kidogo kabla ya kuandika. Siyo hado leo wanasafirisha wanaanga hadi Kituo cha Anga kwa ile Soyuz ambayo ni kifaa kilichobuniwa miaka 40 iliyopita... Ilhali nchi mbalimbali wanaandaa vituo kwenye Mwezi, Warusi hawana mradi. Magari ya Marekani, China, hata Uarabuni yanazunguka Mwezini na kwenye Mirihi, ila Waarusi hawana kitu.
Roketi za kisasa zinapaa na kurudi kwa matumizi tena (roketi za Musk) - Urusi haina uwezo kuunda kitu kama hicho . . .