Kwani Putin anakulaga nyama za watu..? Maana sijui tulipigwaga kamba ati idd Amin alikuwa anakula..[emoji28]
Ukisema hivyo unajionyesha ulivyo ndezi ...Timbuktu Ili kuwa Jiji na kulikuwa na vyuo kabla ya Havard ...vipi Mali ana weza kumtandika Hata South Africa tu !!??Ukraine ni taifa la kale zaidi kabla ya Russia.
Kyiv ilikuwa jiji kubwa muda mrefu sana wakati Moscow ikiwa kijiji tu.
Mtu wa CCM akikuambia sasa ni saa saba mchana toka nje angalia jua kama linawaka na liko eneo gani!Tuwekee ushahidi sipendi sifa za kijinga
Akili zako za Kilofa zinawaweza kutandika tu, kilaza mwenzako alikuwa anapotosha Ukraine imetokana na Russia na WaUkraine ni sawa na Warusi.Ukisema hivyo unajionyesha ulivyo ndezi ...Timbuktu Ili kuwa Jiji na kulikuwa na vyuo kabla ya Havard ...vipi Mali ana weza kumtandika Hata South Africa tu !!??
Kwani unadhani marekani anahaha mataifa yasiwe na nuklia kwa nini? Ukiwa na nuklia hakuna anaweza kukuchezea, ndo maana hata north korea wanaweza kuwatambia USA.Ukiwa na nyuklia Basi umemaliza kazi ?
Na kwa ufala wako ndio ukasema kiev ni ya zamani kuliko Moscow .. hivyo hawawezi kupigika ulivyo bumunda ...Akili zako za Kilofa zinawaweza kutandika tu, kilaza mwenzako alikuwa anapotosha Ukraine imetokana na Russia na WaUkraine ni sawa na Warusi.
Mtoto wa inzi endelea tu kutua kwenye[emoji90], akili zako ndipo zinapotoshea.Na kwa ufala wako ndio ukasema kiev ni ya zamani kuliko Moscow .. hivyo hawawezi kupigika ulivyo bumunda ...
kwa bahati mbaya, hauna akili kufikiri na kuelewa kwamba waukraine zamani walikuwa warusi, na hata mle mle ndani kuna idadi kubwa sana ya warusi, na majority ya waukrain wanaongea kirusi. ni rahisi wafanya waadopt urusi hasa kwa kiongozi watakayemweka. kama wameteketeza vituo vya kijeshi, na wanaweka wazi hawatakubali ukrain iwe na nguvu ya kijeshi, ni mjinga gani atakayekataa kuwa pamoja nao ili awe salama? ni wajinga kama wewe tu ndio watakubali.
Ndio nipo kwenye kinyeo chako hapa nachezea mbolea Yako ya samadi ...Mtoto wa inzi endelea tu kutua kwenye[emoji90], akili zako ndipo zinapotoshea.