LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Siku 14 baada ya hii operation leo Marekani intelligence report yao inasema wanaamini Russsia amepoteza 8-12 percent ya silaha. Nahisi inachangiwa na kutelekezwa kwa hizo silaha. US intelligence pia inakadiria Ukraine imepoteza silaha kiwango hiki hiki.

Inaamini Russia imepoteza wanajeshi kati ya 2000 hadi 4000 ila inasema ni vigumu sana kujua idadi ya vifo tofauti na ya silaha. Haijajua Ukraine imepoteza kiasi gani

Imesema pia Russia inapata upinzani Mashariki na Kaskazini mwa Ukraine ila ina urahisi kwa Kusini. Kyev bado inasimama na hata ikizungukwa siku zijazo itapambana kiasi chake. Wakati Russia inapata upinzani mijini US intelligence inaamini mbinu zilezile zilizotumika Georgia na Syria za kushambulia miundombinu yoyote hata ya kiraia Russia itazitumia na huku
 
Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!
Kutumia Raia kama kinga ni kosa kisheria za vita mzee, we kaa kambine mukiwashe sio unakimbilia mashuleni na mahospitalini.
 
Siku 14 baada ya hii operation leo Marekani intelligence report yao inasema wanaamini Russsia amepoteza 8-12 percent ya silaha. Nahisi inachangiwa na kutelekezwa kwa hizo silaha. US intelligence pia inakadiria Ukraine imepoteza silaha kiwango hiki hiki.

Inaamini Russia imepoteza wanajeshi kati ya 2000 hadi 4000 ila inasema ni vigumu sana kujua idadi ya vifo tofauti na ya silaha. Haijajua Ukraine imepoteza kiasi gani

Imesema pia Russia inapata upinzani Mashariki na Kaskazini mwa Ukraine ila ina urahisi kwa Kusini. Kyev bado inasimama na hata ikizungukwa siku zijazo itapambana kiasi chake. Wakati Russia inapata upinzani mijini US intelligence inaamini mbinu zilezile zilizotumika Georgia na Syria za kushambulia miundombinu yoyote hata ya kiraia Russia itazitumia na huku
Sasa kama UKRAINE amepoteza silaha asilimia 8 hadi 12 kwann aombe msaada wakati hata rovo ya silaha hazijatumika.
 
WarnerMedia, which includes HBO and Warner Bros, is suspending broadcasting, licensing, and release of its films and games in Russia, media writes.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Sasa kama UKRAINE amepoteza silaha asilimia 8 hadi 12 kwann aombe msaada wakati hata rovo ya silaha hazijatumika.
Simple logic, 12% ya 50 siyo sawa na 12% ya 5,000.Huyu mwenye 50 ana haki ya kuomba kuongezewa zaidi kuliko mwenye 5.000.Ndiyo maana tangu awali aliomba kuongezewa kwakuwa alijua ana kidogo kuliko anaepambana nae.
 
Nigeria forbids its citizens from enlisting to fight in Ukraine

Nigeria has forbidden its citizens from enlisting to fight in Ukraine. This follows reports of alleged recruitment of
volunteers in the country to fight on the side of Ukraine
 
Wazamiaji hao hamna mpiganaji humo haha
 
Nigeria forbids its citizens from enlisting to fight in Ukraine

Nigeria has forbidden its citizens from enlisting to fight in Ukraine. This follows reports of alleged recruitment of
volunteers in the country to fight on the side of Ukraine
Wakati Boko Haram hapo kwao wanawatesa.
Chukua wote peleka wakapambane na Boko Haram mstari wa mbele hakuna kurudi nyuma.
Anayerudi nyuma piga risasi.
 
Ila bado kuna swali binafsi najiuliza, kwanini upande wa magharibi umejikita katika "Kukokea kuni" kwenye vita hii na sio kuitafutia suluhu.

Swali langu ni kua kwanini hawataki kuwakalisha chini wayamalize kwa "Dialogue" kama anavofanya Germany, France, China, Turkey na wengineo.

Why wao kila siku ni kutuma silaha but si kutafuta suluhisho...

Lingine pia huwa najiuliza. Hivi inawezekana nchi ikavamiwa na "Wavamizi" wanaoua watu kisha itumie week 2 kuteketeza idadi ya waty waso fika ata 500?
 
China anataka kupata kichaka cha kujificha dhini ya mlipuko wa corona ambao ulianzia wuhani nchini China ili ionekane us ndiye aliye genarate virusi hivi ,zote hizi ni propaganda za kutaka kuhalalisha plot zao .Katika vita hii putin amekosa basic reason katika kuhalalisha uvamizi huu nchini ukrein nchi ambayo ni huru na ina maamuzi yake
 
Suluhisho sidhani kama litapatikana
Maana matakwa ya Putin ni kama hayatekelezeki na yeye kashikilia hapo hapo
 
China anataka kupata kichaka cha kujificha dhini ya mlipuko wa corona ambao ulianzia wuhani nchini China ili ionekane us ndiye aliye genarate virusi hivi ,zote hizi ni propaganda za kutaka kuhalalisha plot zao .Katika vita hii putin amekosa basic reason katika kuhalalisha uvamizi huu nchini ukrein nchi ambayo ni huru na ina maamuzi yake
Vizuri, sasa em tuache mahaba twende na Fact bila kua biased.

Unafaham kama kulikuwa na zaidi ya Lab 30 ndani ya Ukraine zilizokuwa zinafadhiliwa na Pentagon?
 
Back
Top Bottom