MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mwangalie macho yake ,utagundua ana zungumza huku akiwa haamini anachosema kwamba wamesurrenderKweli Urusi sio Kenya
HahahaView attachment 2144842
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwangalie macho yake ,utagundua ana zungumza huku akiwa haamini anachosema kwamba wamesurrenderKweli Urusi sio Kenya
HahahaView attachment 2144842
Yanatokea Msumbiji, Congo Dr, Afrika ya Kati, Somalia, Ethiopia, na nchi nyingne hapa afrika ni dua za nani dada mfia dini?Nnaamini yanayotokea Ukraine ni dua za Waislam wa dunia nzima walizokuwa wakiziomba usiku na mchana wakati USSR walipoivamia Afghanistan na US na marafiki zake wa NATO walipoivamia Afghanistan. Hakuna dua isiyojibiwa na Allah. Sasa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, mpaka wafanye toba na wawalipe Afghanistan na nchi zingine walizozifanyia dhulma hao madhalim wakubwa wawili.
Hapo ka Ukraine nacho kalikuwa USSR enzi hizo, katashika adabu kama watazoshika US na USSR na NATO yao. Watamalizana bila kujitambua.
I vita nayo ili changia tubaki nyuma kiuchumiUmenifanya niipitie kwa juu juu historia ya vita ya kagera upya.
Tanzania ilitumia kiasi Cha USD million 500 mpaka USD one billion.
Hasa ilibidi inunue siraha kwa kipindi kifupi na hiyo ilikuwa miaka ya 70.
View attachment 2144891
Huyo Allah wako si akawapiganie watu wake huko Syria, Yemen, Afghanistan, Libya, Somalia, Mali, Lebanon maana ni wafusi wake, mbona wanakufa, kuteketea na kunyonywa na wamagharibi tu.Nnaamini yanayotokea Ukraine ni dua za Waislam wa dunia nzima walizokuwa wakiziomba usiku na mchana wakati USSR walipoivamia Afghanistan na US na marafiki zake wa NATO walipoivamia Afghanistan. Hakuna dua isiyojibiwa na Allah. Sasa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, mpaka wafanye toba na wawalipe Afghanistan na nchi zingine walizozifanyia dhulma hao madhalim wakubwa wawili.
Hapo ka Ukraine nacho kalikuwa USSR enzi hizo, katashika adabu kama watazoshika US na USSR na NATO yao. Watamalizana bila kujitambua.
Means anataka kushusha vitu vizito?!!Hatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
Upo sahihi kiongozi katika hiliI vita nayo ili changia tubaki nyuma kiuchumi
Yah, binafsi ningekuwa ni Rais wa UKRAINE hilo zoezi nisingelifanya. Kinachoenda kutokea na Total war.Means anataka kushusha vitu vizito?!!
ashushe mara ngapiMeans anataka kushusha vitu vizito?!!
Haya maswali waga wanaulizana watu wanaoshonda kwenye vijiwe vya kahawa ama kwenye vijiwe vya draft na sio maswali ya kuulizwa na great tjinker kama wewe broo!!Wewe Yale mapinduzi ya maidan square unayakumbuka?
Yale na kina nani ?
Kwa ufadhili wa nani?
Ile serikari iliondolewa kwa sanduku la kura?
Kumbuka ndio kipindi ambacho neo Nazi ilijipambanua.
Kwa nini Zelensky alipochaguliwa alikuwa na soft approach towards Russia?
Kwa nini alitishiwa kuuwawa?
Kwa nini alibadili approach yake ghafra na kuwakumbatia Azov batallion?
Kwa nini kiev walikuwa wanatumia nguvu nyingi kuwanyamazisha pro Russia?
Kwa nini ghafra lugha ya kirusi ilipigwa marufuku?
Kwa nini watumie nembo au ishara za kinazi?
Kwa nini wapate misaada mikubwa Toka Magharibi na ukijua Magharibi hawaupendi unazi?
Hule haikuwa uchaguzi kama uchaguzi, ni kundi tu la wahuni walio amua kuiteka serikari.
Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!Wanajeshi wengi UKRAINE wanajificha kwenye makazi ya watu na kufanya Ambush, hali hii inapelekea kuua hata watu wasiohusika. UKRAINE naona wanakuwa wagumu kuruhusu Raia wake watoke mijini hii ni kwa kujua wazi kifuatacho ni mashambulizi ya anga mfululizo.
Naomba tu wakubaliane kwa amani, lkn kama UKRAINE ataendeleza ukaidi amini nakwambia hiyo miji yao itakuwa kama Mogadishu.
What a joke kuachana na wananchi ? Serikali ngapi zimeangushwa na wananchi?Mkuu achana na mambo ya Wananchi kuna maamuzi mengi Serikali za Nchi zinafanya kwa maslahi ya Taiga.Ukiangalia Wananchi wanataka nini hutafanya chochote-kama upo Serikalini utalijia hili na kama haupo basi ndio nakutarifu.
Sio kitu kinafanyika kulingana na matakwa ya Wananchi.
Bungeni kwao!Weka chanzo cha taarifa..
Wa kizungu!Chawa