johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Kwasababu ile ilikua vita ya lazima kwetu, Nduli alitulazimisha kupigana kutokana na ukorofi wake, kama vile Putin anavyowalazimisha maswahiba wa Ukraine wampe chai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa bwashee!Kwasababu ile ilikua vita ya lazima kwetu, Nduli alitulazimisha kupigana kutokana na ukorofi wake, kama vile Putin anavyowalazimisha maswahiba wa Ukraine wampe chai.
Hata leo kuna maeneo Uganda ukizubaa unaliwa minofu. Cannibalism is real in some parts of Uganda, so sishangai sana kwamba huenda alikuwa anakula.Kwani Putin anakulaga nyama za watu..? Maana sijui tulipigwaga kamba ati idd Amin alikuwa anakula..😅
Nakukumbusha tu ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia TV chogo 1988 LAZIMA utimize la sivyo patachimbika humu ndani.Vichekesho kama hivi bonyeza *157*88#
Umenifanya niipitie kwa juu juu historia ya vita ya kagera upya.Kumbuka hata Idi amini alikuwa na zana nzuri kuliko sisi. Unajua ni kwanini tulimshinda!!?
Kwenye suala la zana katika hizi nchi zetu sidhani ni kigezo kikubwa cha kushinda vita kwasababu hata tukizidiana zana ni kwa kiwango cha kawaida tu hakuna atakayemzidi mwenzake ifike 70% kwa 30%.
Labda kitu cha kujiuliza je ile backup ya wananchi na spirit ya kujitolea kuipambania nchi kama ile ya 1978/79 BADO IPOOO???? Na je wapiganaji wa sasa ni aina ileile au??
Wewe pro Putin leta story unayo dai ni ya kweliPropaganda peddlers
Sio raia wote, sema western Ukrainians tu, east wapo tofautiTatizo kubwa ni kwamba wananchi wa Ukraine wapo na Rais wao na kubwa zaidi hawataki kusikia kuhusu Russia kwani wanaona Russia inawazuia kujiunga upande wanaoamini una neema kwao. Hivyo hata huyo Rais akiondolewa haitakuwa suluhisho
Weka chanzo cha taarifa..Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.
Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.
Maendeleo hayana vyama!
Wanajeshi wengi UKRAINE wanajificha kwenye makazi ya watu na kufanya Ambush, hali hii inapelekea kuua hata watu wasiohusika. UKRAINE naona wanakuwa wagumu kuruhusu Raia wake watoke mijini hii ni kwa kujua wazi kifuatacho ni mashambulizi ya anga mfululizo.Cardless kwann Urusi inataka raia waondoke sasa na si wakati walipoanza mashambulizi kuivamia Ukraine?
nukuu: Russia has about four times as many soldiers as Ukraine, twice as many tanks, and more than six times as many combat aircraft. The huge imbalance in forces reflects the defense budgets of the two countries. Russia spends about $78 billion on its armed forces annually, Ukraine $1.6 billion.Ukrane ni jeshi dogo una uhakika mzee.?
Kinyume chake ni habari zenye maslahi tofauti na maslahi ya NATO/USA.Tatizo hapo Ukrane habari zote tunalishwa na NATO/USA hivyo wanatulisha habari zenye maslahi kwao.
Wewe Yale mapinduzi ya maidan square unayakumbuka?Kaka SImon, unachekesha! Rais wa Ukraine hajapandikiwa huko na yeyote. Amechaguliwa na Waukraine wengi. Una habari yoyote kuhusu historia ya Ukraine na uchaguzi uliopita? Sidhani.-
Basi sikiliza: ilikuwa uchaguzi huru. Si kama Tanzania 2020. Kwenye awamu la mwisho (ambako wagombea wawili wenye kura nyingi zaidi walishindana) Zelensky alipata 72%.
Ni dhahiri: hata kama Putin akifaulu kumwua Zelensky, atashindwa kumnweka yeyote atakayekubaliwa.
Tukiona jinsi Putin alivyoandaa vita yake vibaya na jinsi jeshi lake lina matatizo kushindana na jeshi dogo kama Ukraine - basi tuone!