LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
KWEUPE, HII DUNIA YA SASA UKITAKA UWE MBABE SANA TAFUTA NAMNA YA KUWA TEGEMEZI KWA NCHI NYINGI.
This is how luxury boutiques in the Moscow Central Department Store look now after the announcement of a number of brands about the suspension of activities in Russia.

View attachment 2144583
Hapa aneumia ni hao matajiri na familia zao wanaovaa na kubeba designer bags,itabidi wakanunue kwa ndugu yao China 😕
 
SkyNews wanadai wanajeshi wa Russia waliofariki wanaweza kufika elfu 10:

Na wewe ukalibeba kama lilivyo? Ukisoma kitu basi tumia akili kabla ya kupost!
 
The World Karate Federation has suspended the participation of Russian and Belarusian athletes in international competitions under the auspices of the organization.

Earlier, the European Karate Federation deprived Russia of the right to host the European Championships in 2023.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The White House said that the United States would take action if Russia seized the assets of Western companies that stop work in the Russian Federation.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Haya maswali waga wanaulizana watu wanaoshonda kwenye vijiwe vya kahawa ama kwenye vijiwe vya draft na sio maswali ya kuulizwa na great tjinker kama wewe broo!!
Nipe sababu Moja kwa nini?
Maana Kuna mantiki kwenye kila swali nililouliza?
Tufahamu kuwa ujasusi una nguvu kubwa kabisa?
Na ndio Leo tunaiona nguvu yake Ukraine.
 
The Central Bank decided not to resume trading on March 10 on the Moscow Exchange in the stock market section.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The White House said that sending planes to Ukraine from a US base is not in the interests of Washington.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!
Rules of engagement, haitakiwi kutumia raia kama mateka, Wacha watoke ili wachapane tumjue kidume nani?
 
Kwa huu mfululizo wa vikao ni dhahiri Vita vimeshaisha hivi. Kama tayari kuna kikao kijacho kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Ukraine basi kila mmoja kashalainika hasa Russia.
Hatari na nusu,underdog Ukraine siyo wa mchezo mchezo.Hivi yale maagizo ya Putin kwa Wanajeshi wa UKraine kabla ya vita bado yapo au ndiyo anatafuta exit point ki utu uzima kupitia vikao.Siku zote maguvu mengi bila busara ni bure tu,

SLAVA UKRAIN
Slava Volodymry Zelenskyy 💪
 
Nipe sababu Moja kwa nini?
Maana Kuna mantiki kwenye kila swali nililouliza?
Tufahamu kuwa ujasusi una nguvu kubwa kabisa?
Na ndio Leo tunaiona nguvu yake Ukraine.
Kwaiyo wewe ulitaka Ukraine asiwe na nguvu hili iweje ujue wewe ni great thinker acha kuargue kitoto bhana kwaiyo ni sahihi kwa urusi kuwa na nguvu kijeshi, USA kuwa na nguvu kijeshi na nchi nyingine lakini ni kosa kwa UKRAIN kuwa na nguvu kijeshi wmeti si ndio mantiki ya hoja na maswali yako nikkikuuliza ok sasa nani anatoa ivyo vibali kwamba nchi ni sawa kuwa na nguvu kijeshi na nchi hii si sawa kuwa na nguvu kijeshi ni nani anatoa icho kibali?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bado hujaelewa logic ya Hilo swali, wengine watakusaidia ila nakubali uchambuzi wako.
 
Russia’s defence ministry has acknowledged that some conscripts have participated in the war in Ukraine days after President Vladimir Putin denied that was the case.

The ministry said that some of the conscripts had been taken prisoner by Ukrainian forces. But it claimed that “practically all” such individuals deployed to neighbouring Ukraine had now been pulled back to Russia.

Mkiambiwa Russia Hana jeshi zuri kama anazosema, hamuamini

Sasa unapelekaje mtu vitani hata miezi 6 jeshini hana.

Putin ameua sana vijana wa Russia
Vile vitoto vinavyoshikwa mateka vingine sidhani hata vina 20 yrs,Nimeshikwa na huruma sana kuna kimoja kidogo,Wazazi wake kama wana access ya kumuona mtoto wao akiwa mateka wanaweza kufa kwa kihoro😞
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bado hujaelewa logic ya Hilo swali, wengine watakusaidia ila nakubali uchambuzi wako.
Hamna logic yoyote apo mzee wa kisiju bali ni hoja za kitoto sNa zisizo na mantiki
 
Back
Top Bottom