Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nini cha ajabu kwa binadamu aina ya Amin kuwa cannibalist?
Hizo rumours za yeye kupenda nyama ya binadamu zilikuwepo muda mrefu kabla hata ya vita na hazikuanzia Tanzania.
Hizo rumours za yeye kupenda nyama ya binadamu zilikuwepo muda mrefu kabla hata ya vita na hazikuanzia Tanzania.
Kwani Putin anakulaga nyama za watu..? Maana sijui tulipigwaga kamba ati idd Amin alikuwa anakula..[emoji28]