Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Urusi alirudishwa nyuma na Himars kwa nini wasiongeze himars?.vifaru vya nini sasa wakati kilichomrudisha kinajulikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Himars zimekwisha zote marekani mwenyewe kabaki nazo pisi chache tu ...na wanaofia mrusi anaweza kuwa butua kwenye mojawapo ya nchi za nato hiyo kuleta aibu kubwa kwao ..kwa sababu watakosa cha kumfanya maana ghala zao zimebaki tupu ..
 
Baba NATO hawailindi Urusi Bali NATO wanahofia response ya Russia kwenye ishu hii. Hebu fikiria komboras la masafa marefu Tena kutoka NATO linapiga Moscow, Mara , Petersburg nk na warusi wanakufa. Huwezi kuamini mataifa makubwa hupigania ugenini sio nyumbani.

Kwanamna hiyo haitapita wiki nyuklia itatua kyv na kuibinua

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wanaogopana. Mbali na kila kelele na propaganda Warusi wanajua kwamba Marekani ina uwezo kuharibu nchi yao na Marekani inajua Warusi wana uwezo huo vilevile. Angalau wanajeshi wanaijua bila shaka. Hatari tu kama wanasiasa wasio na elimu ya kutosha wangeongezeka mamlaka - kila upande.

Ila bado naona NATO inalinda Urusi maana swali si masafa hadi Moscow. Kilomita 200, 300 tu zingeleta mabadiliko tena.
 
Wewe unazungumza ushabiki wa pitin, wewe unamuona zelensky mtakatifu. Sasa kuwa objective kati ya Putin na Zelensky Nani ameuwa watunwengi kwanzia 2008 mpaka sasa?? UKIPATA JIBU NDO UJE KULETA INJILI ZAKO MICHONGO HUMU
toka lini kosa linafuta kosa?
Mbwa apigwe kwenye tukio! Sasa unaongeza idai ya wahalifu! Kushabikia uovu kutakugharimu bro!
 
Mkuu naona umjisomea kidogo katika historia ya usafiri wa anga, ila hii haisaidii kama huna habari kuhusu yale yayoendelea. Ni kweli kabisa kwamba katika miaka ya nyuma Warusi walishindana vizuri na Marekani hivyo mara nyingi walikuwa mbele.

Ila tayari katika mbio kufika Mwezini walishindwa (1969) wakaacha (hadi leo). Zamani walikuwa mbele katika ugunduzi wa Mirihi na Zuhura - yote historia iliyopita. Wapi magari ya Kirusi kwenye sayari na miezi?

Na kuhusu roketi - kuna ile injini moja ya RD180 ya Kirusi iliyotumiwa kwenye roketi za Atlas za Marekani (pia tekinolojia ya zamani inayokwisha sasa) - wapi roketi za kizazi cha kisasa ? Zile zinazorudi (badala ya kutupwa) na kutumiwa tena?

Wapi mradi wa Kirusi kufika Mwezini (Marekani wanaandaa safari mwaka ujao)? Ukipenda kujifariji, basi soma historia iliyopita.

Habari za leo - kuna nini?
 
Source yangu naiamini 100% kwa kuwa kwanza ni independent source na haina conflict of interest on either side.Wewe unatetea mafedhuli wa Ukraine kwa kuwa una conflict of interest.What I have reported is nothing but the truth.
 
Source yangu naiamini 100% kwa kuwa kwanza ni independent source na haina conflict of interest on either side.Wewe unatetea mafedhuli wa Ukraine kwa kuwa una conflict of interest.What I have reported is nothing but the truth.
Ila je nakumbuka sawa kwamba wewe ulitangaza kuna special forces za NATO kwenye handaki chini ya Mariupol??
 
Ivi unaelewa unachoandika kweli old teknoloji ni ipi unayosemea ww kwa ufupi bado russia anarusha satelite za nchi nyingine angani kwa kulipwa na nchi mbalimbali russia hanaga mbwembwe kama awoo wengine mabadiliko ya teknolojia ya saivi ambayo musk anaitumia si kwamba rusia au china hawajaanza kuzimasta ni jambo la mudaa tu wataanza kutumia wenzetu si mbumbumbu kama sisi tunao chelewa kwenda na dunia ilivyo

Kuwa na miradi mbali mbali kwenye mwezi au kwenye sayari nyingne ivyo ni vipaumbele vya nchi husika tka safari yao ya kwenda mwezini ilipofel russia hana matamanio hayo ya kwenda uko

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
[emoji778]️ماکرون: اوکراین نباید با تسلیحات غرب به خاک روسیه حمله کند

[emoji617] رئیس جمهور فرانسه با بیان اینکه فعلا درخواست جدیدی از اوکراین برای دریافت تسلیحات بیشتر ندارند، گفت که کی‌یف نباید با سلاح‌هایی که کشورهای غربی به او داده‌اند، به قلمرو روسیه حمله کند.

[emoji778]️Macron: Ukraine should not attack Russian territory with Western weapons

[emoji617] President of France stated that they do not have a new request from Ukraine to receive more weapons, and said that Kiev should not attack Russian territory with the weapons given to it by Western countries.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe unagusa jambo tofauti ni kweli hadi miaka kadhaa Urusi ulirusha pia satelaiti angani maana walikuwa na roketi zao zilizokuwa na guvu ya kutosha, pia walitoa huduma hiyo kwa bei nafuu kuloko tuseme NASA ya MArekani. Ila kizazi kipya kinaleta bei nafuu zaidi kwa sababu Musk hatupi tena roketi zake anazitumia tena. Hivyo bei zake zinashuka chini ya zile za Urusi. Roketi nafuu ya Urusi ni Proton ambako unlipa $4,320 kwa kupeleka kilogramu 1 hadi angani. Linganisha na Falcon ya Musk inayofana kazi hiyohiyo chini ya nusu (Falcon Heavy: $ 1400 kwa kilogramu 1).

Bila shaka Warusi watajitahidi kuiga mafanikio yake ila hadi sasa hawana tekinolojia hiyo. Hata NASA hawana, wala Wachina. Programu ya Urusi imekuwa nyuma sana kulingana na Marekani na China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…