mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Hahahaaaa!Mbengo zikafongoke chioni ya leo rabababaaa haleloyaaaa shaghabalaga katumbobwii
Kwabi uturuki na islaer wako kwenye uwanja wa vita?? Tunawasikiliza wale walioshikilia usukani wa vita, hizi nyingine ni mboyoyo zenu tu
Ninachosema, usichonganishwe ukachonganika. Sio nchi tu, hata katika maisha ya kawaida asitokee mtu akasababisha ukapigana na jirani au ndugu yako kwa maslahi yake. Ukiruhusu hilo, nyinyi mnaotwangana ndo majinga sio yule aliyewapandisha joto mkawa kwenye heat.Halaf utakuja kusema huna upande kwa hapa umeegemea upande maalum
Unapochonganisha watu wapigane na kweli wakapigana wakaumizana matokeo kesi ikaamuliwa kwa mtoa hukumu wa haki
Lazima atataka kujua chanzo na chanzo ikiwa mmegombanishwa tutaanza kuhoji nani alowagombanisha na kwanini afanye hvyo tutadeal na mchochea ugomvi
Jengine hapo kwenye maslahi kwasasa RUSSO na UKRAINE wanapigana ila pia haya mapigano yamegeuka fursa kwa US na RUSSIA ingawaje RUSSO hakuitaka hii SMO ila kaigeuza kua fursa nandio maana anashinda ndani na nje ya SMO yake
Ukisikia kuifanya changamoto kua fursa ndio hiki anachokifanya kwasasa RUSSIA maana mambo yamekua upande wake zaidi ya watesi wake!
Ahsante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepewa ukweli ukaumia. Pole kwa maumivuKwabi uturuki na islaer wako kwenye uwanja wa vita?? Tunawasikiliza wale walioshikilia usukani wa vita, hizi nyingine ni mboyoyo zenu tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa kabla ya invasion Ukraine alikuwa na Tanks 980 Pekee.
Bado unakoseaNinachosema, usichonganishwe ukachonganika. Sio nchi tu, hata katika maisha ya kawaida asitokee mtu akasababisha ukapigana na jirani au ndugu yako kwa maslahi yake. Ukiruhusu hilo, nyinyi mnaotwangana ndo majinga sio yule aliyewapandisha joto mkawa kwenye heat.
Vifike kwa harakaVifaru na silaha zitaingizwa mapema maana Russia ana plan another Attack.
Wakuu, hapa mnashangilia data bila kujali akili. Ukraine ilikuwa na vifaru 6000 vilivyoharibika na Urusi???? Namba kama hii mnasamabaza na kuamini ????????????
Utakuwa sahihi iwapo Urusi vita haimuumizi au hakuwa na resources za kuishawishi ukraine kidiplomasia isidanganyike na mataifa mengine.Bado unakosea
RUSSIA angezuiaje kuchonganishwa alipokua anafanyiwa UKRAINE sababu UKRAINE ilikua nchi huru ila ilikua inautumia uhuru wake vibaya RUSSIA akaone alinde usalama wake
Hio statement yako inaweza kutumika kama mapigano yanatokea ndani ya nchi fulani ila sio kwa nje ya nchi
Kwahili UKRAINE ndio wakulaumiwa sababu kakubali kuchonganishika dhidi ya RUSSIA hatimae wenzake kwao wanaishi safi tu kwao hakukaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndege ikitua Kiev kushusha kifaru hicho utujulishe kwa picha kama hivi ikiwezekana tuwekee na video kabisa.Hii ni Air force aircraft ya Canada ikibeba kifaru Cha reopard 2 tayari kwa kusafirishwa kuelekea Ukraine..,mzigo unazidi kuandaliwa .., super pawer wa kwenye makaratasi lazima achakae kwa jinsi wanaume walivyompania🥱🥱View attachment 2507360View attachment 2507362View attachment 2507361
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usisahau kutujulisha vikifika.Mzigo unazidi kutumwa..,Kuna watu walijifariji wakisema vifaru vitafika Ukraine mwezi wa 5 [emoji28]View attachment 2507365
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawa Jamaa wanaumizwa na takwimu tunazowaletea kila siku hapa, hivyo wanajitaid kwa Kila Hali kuficha aibu ya hasara aliyolamba super pawer 🥱[emoji848]Kwa taarifa kabla ya invasion Ukraine alikuwa na Tanks 980 Pekee.
Sasa hizo mmetoa wapi?
Artillery alikuwa nazo 300 pekee
Hiyo idadi mmeitoa wapi
Mnaulizwa , mbona idadi ya hizo tanks zilizoharibiwa Inazidi idadi aliyokuwa nayo Ukraine kabla ya uvamizi?? [emoji16][emoji28]Umepewa ukweli ukaumia. Pole kwa maumivu
Siyo kwamba ni mwaka Mmoja Ukraine akisaidiwa na NATO bado anapigana na "mateja" kama alivyoelekeza MK254 !Mwaka mmoja Russia bado anapigana na Ukraine